Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.
Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.
Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.
SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA
1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao
Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai AMSHUKURUNYERERE EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI..EBOOO!!! NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI