Bernad Camillius MEMBE ndiye RAIS WA TZ 2015

Status
Not open for further replies.
Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.

Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.

Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.

SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA

1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao

Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai “AMSHUKURUNYERERE” EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti “NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI”..EBOOO!!! NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI

Safari hii basi Umeingia Choo cha kike. Membe akiwa rais nahama Tanzania!
 
Safari ya matumaini inakaribia.Tulifurahi pamoja,Tulihuzunika pamoja na Tutashinda pamoja!
 
Safari ya matumaini itaishia hospitali ya ujerumani, magogoni lowasa itapakaribia akiwa anaenda feri
 
Mzee wa masauti

unasema membe akiwa rais unahama tz, je pussy kama wewe akihama nani atajua??

Kuna pussy kama wewe1995 zilimtaka malecela zilisema mkapa akiwa rais zitahamia somaia but hadi le bado znauza madafu, mihogo kariakoo
 
"membe hapendwi na hauziki" hata kwa mkapa mlisema hivyohivyo but the rest is history. Njaa zenu zitawaua
 
Mkuu ocampo four kula like kubwa sana.......Kumshindanisha lowassa na Membe ni sawa sawa na kumshindanisha Jenerali Ulimwengu na Ramadhani Semtawa kwenye tasnia ya uandishi wa habari.....au kwa lugha nyepesi ni sawa na kumlinganisha Tembo na sisimizi

id yako inakusuta.
Mkuu Remote, tatizo ni kwenye RED hapa chini----
Vijana wake wanalalamika kuwa jamaaa hapokei simu zao.....yeye upokea simu ya JK, Riz, na Nyalandu sababu kubwa ni kujisikia kwake kwa sana, ndiyo mana vijana wake wengi wamekimbilia kwa Pinda......Yani mkuu funza kumpa Membe urais ni ndoto na sikufichi Dr Slaa atashinda kwa uraisi sana ccm ikikosea kumleta Membe kwa wananchi, kwanza hata ndani ya chama hana pa kupenyea.
Nadhani umenielewa kwahiyo usishangae kuona mtu anajiita Membe for 2015 lakini hapa yupo mstari wa mbele kumponda Membe... jibu lipo hapo kwenye RED!
 
Lowasa ataendelea kutoa michango akila za uso?
 
kuwaza wakat ujao napo sio mbaya kivileeee na ck zote there is two option iwe au isiwe
 
Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.

Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.

Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.

SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA

1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao

Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai “AMSHUKURUNYERERE” EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti “NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI”..EBOOO!!! NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI

Kuna uhalali gani wa Kuwa Waziri wa mambo ya nje na Kuwa Rais wa nchi ,Galiya Ama umekariri pole sana Kwa kufikiria mh Alhaj Ben membe Kuwa Rais katika Taifa hili ,tumechoshwa na mizigo tuwape nchi watu Wenye uthubutu katika kufanya maamuzi magumu ,
 
KWANINI:
1. Ni muadilifu
2.Anaijua diplomasia ya Tanzania na mataifa mengine kiuhakika
3.Ni mtaalamu wa usalama (hii ni sifa MUHIMU kwa mtu kuwa kiongozi mkuu wa nchi)
4.Ana uwezo thabiti wa kutafuta suluhu ya changamoto,,,zingatia yeye na mawaziri wengine walivyoshughulikia migogoro ya Madagascar,Burundi,Congo,Tz vs Malawi,S.Sudan nk.
5.Membe Ana haiba ya Kiongozi mkuu wa nchi...He's presentable
6.Membe Ana hekima,,,si mtu wa siasa chafu
7.Ni mcha Mungu,,,zingatia kauli yake baada ya kunusurika ajali ya ndege anasema yeye humtanguliza Mungu kwa kila jambo.
8. Membe anaifahamu miiko ya uongozi wa juu ukizingatia amekuwa akiiwakilisha Tz kimataifa Mara kadhaa
9. Membe anaielewa shida ya watanzania...amekulia mazingira ya Mtz wa kawaida,,,sio mkwasi.
10.Watanzania wanamfahamu Membe,,,na CCM ikimpitisha kura za upinzani nyingi zitarudi CCM.

Hivyo kwa sifa hizo chache na nyingine nyingi ambazo sikuzitaja hapo nahitimisha kwamba Mhe. Benard Membe ndie HASA atakaekuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha 2015/2025.

Membe for the URT Presidency...Andaa saikolojia yako kumpokea Rais ajae wa Tanzania.
 
membe hata kwenye cc hafki wala hajui siasa anafanya siasa za majungu ,fitina na uzandiki anafanya siasa za majitaka
 
Membe kashajitoa effectively kwa kusema publicly kwamba akishindwa atamu endirse Mwandosya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom