Uwezi kuiweka kila nchi katika mizani sawa ushuru wa kuingiza gari mataifa makubwa ni sawa sandakalawe tu kama gari ni kwa matumizi binafsi unless kama linatoka nchi ambayo hakuna maelewano ata hiyo kodi zake ni ndogo sana.
Kikubwa hapo kuna block trade agreements na magari mapya magari yanaagaliwa VAT na kodi za biashara kwa manufacture kwa hivy sio sawa na nchi maskini lakini ata hiyo VAT lazima iangaliwe kwa jicho la unit cost faida mtengenezaji na uwezo wa mnunuzi. Sasa inategemea kama serikari inataka ku-encourage sector kwa sababu ya kulinda ajira wapo tayari kuangalia VAT zao kama kutokana na mazingira ya uchumi if its economic downturn sio ajabu wakazifuta kabisa na kama wapo kwenye neema aina maana ziwe kubwa kiasi kwamba iwe kikwazo kununua gari kutokana na hali halisi ya mfuko wa jamii na segement ya wanunuzi.
Sisi atutengenezi magari na ndio kwanza ni nchi maskini wakati watu wengi magari bado awana ndi maana mtu akiwa na mtumba tu wa Q7 anaweza kuwa sterling kwa sababu ya kodi wakati watu wengi sana wanashindwa kutuma hayo magari sio kwamba wanashindwa kuyanunua bali ongezeko la kodi; kumbuka gari pia linahitaji matengenezo, linanunua mafuta, vitu ambavyo pia vinalipiwa VAT au kodi za kibiashara serikari lazima iwe na ubunifu sio kukakamaa na mikodi mikubwa tu sidhani kama kuna nchi ina kodi kama za Tanzania kwenye magari tunaweza kuwa the most expensive in the world.