Bentley la Joseph Kusaga kupigwa mnada

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,412
20,684
Endapo halitatolewa bandarini ndani ya siku 30 basi hapo tarehe 4/4/2016 litapigwa mnada na mamlaka ya mapato Tanzania.

bentley.png


new.jpg
 
Huyu si ndio alikuwa anajipendekeza sana kwa yule jamaa wa msoga ! Media zake zilokuwa zinaibeba CCM. Alipe tu hamna namba nyingine
 
Liko wap picha hazfunguki,inaweza kunifaa kumpa mwanangu zawad cku yake ya kuzaliwa ni tarehe hyohyo ya mnada!
 
Aisee hilo dude ni hatari sana.. Dah.. Siku ya mnada kama vipi aende akalinunue mwenyewe
 
Hii nitaifuatilia mpaka nihakikishe amelipa.Ole wao walete ujanja,Uzuri wa majipu yote yameota kwa mi Ccm yenyewe na mi kada yao.
 
Atalinunua mnadani kwa bei ya kutupwa
Unajua sheria za mnada wa TRA? Wao wanachotaka ni hela yao ya ushuru tu. Kama walikadiria ushuru 100m mnada ukifika 100m linauzwa. Hasara anapata alielilta maanake mnunuzi mpya atatoa 100m wakati bei jumla ingefika 300m[ mfano tu sio bei halisi].
 
Aisee hilo dude ni hatari sana.. Dah.. Siku ya mnada kama vipi aende akalinunue mwenyewe
Mmmmh used ni kama Vitz tu nlizani jipya aseee atalikuta tu, by da way naskia mondi nae alikua akitaka kununua akalikomboe tu
 
Duh, kila enzi na wakuu wake. Hawa wazee waliionja pepo wakati wao na kibaya waliamini ccm ni ile ile wakiamini push-ups za JPM ilikuwa janja ya kuingia tu ikulu kama mtangulizi wake alivyotuzuga. Sijui ndiko kuisoma namba kwenyewe huku!
rady JD atakuwa na la kusimulia nadhani katika hili.
 
Back
Top Bottom