Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Binafsi naona kama vile hizi kodi azijazingatiwa in terms of volume kama lengo ni mapato zaidi ninachoweza kusema sidhani kama kwa mwaka kuna magari mia yanaingia yenye gharama hizo kwa Tanzania (rough guess) ina maana hakuna faida ya vile za kodi zaidi ya kudeter tu uagizaji wake research inahitajika bandarini ya counter view kupima faida ya kodi za sasa kwa kuangalia upya kipi kinakuja na largest possible estimators ili kuzipanga upya hizi kodi kuna watu wanaacha kuleta magari ya maana kisa kodi tu na valuation za TRA.
Una miss point nzima na jaribu kujiemlimisha tena! Lengo kuu la kuweka hizi kodi siyo mapato ya Serikali, bali lengo ni kuwashinikiza watu waweze kuagiza magari mapya ambayo yametengenezwa kwa teknolojia rafiki wa Mazingira, na hii ni Dunia nzima sema kuna utofauti wa jinsi ya kufanya hili kwa mfano nchi ya Kenya wao hakuna kulipia uchakavu lkn badala yake hauruhusiwi kabisa kuigiiza gari ya zamani nafikiri mwisho miaka 8 na ukileta gari mzee zaidi ya miaka 8 haijalishi ni aina gani hautaitoa bandarini na wataichukuwa na kuisaga saga nimeshuhudia live Mombasa wakisaga Mercedes!
Hivyo hapa kwetu hatufanyi hivyo badala yake unaweza kuagiza hata gari ya mwaka 1966 lkn ni lazima ulipie uchakavu, na ni mkubwa ukiliganisha ba bei uliyonunulia, lkn lengo suiyo kumkomoa mtu au sijui kuongeza mapato HAPANA lengo ni kuleta magari mapya ambayo uchafuaji wake wa mazingira ni mdogo kulinganisha na ya zamani hilo ndiyo lengo na ndiyo maana ukinunua gari brand new haulipii uchakavu bali unalipia tu kodi ya kawaida ambayo ni ndogo, hilo ndilo lengo natumaini nimeweza kukuelezea vizuri!