dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,531
Ndomanake kitu ambacho mpaka sasa nimemsifu Magufuli....niile Style yake takutoingilika kiRAHIS kuna jamaa 1 Mzee wa matamasha alipiga Hela sana Enzi ya Mkwere sasa alipoingia Magufuli alijipitisha sana kutaka akubalike kwake lkn kaangukia PUA mbwembwe zote zimekwisha so hao jamaa waliwekeza sana kuinadi CCM wakiamini wataendeleza kula peke yaoDuh....anaisoma namba na yeye?