Bentley la Joseph Kusaga kupigwa mnada

Bentley la Joseph Kusaga kupigwa mnada

Daah...hii atakuwa anadaiwa kodi ndefu. Jamaa aliagiza Posche Cayene (SUV) ya 2010 alidaiwa 60+mil. Sasa hii Bentley mkasi wake utakuwa hataree

Ivi kumbe ni gari kali ki-vile eeeh!
 
Importation ya haya magari yanatumia dola nyingi sana kupelekea kushusha thamani ya Tshs.
Najivunia kumchagua Dr.Magufuli maana dhambi za fiesta zimepungua sana. Kila mkoa kwny fiesta walikuwa wanaokota Pipa la Condom ukizidisha idadi ya Mikoa unapata karibia pipa 30!!!!!
Hapo hujaweka ambao walikua wakipiga kavu kavu, hao ni zaidi ya hao wa pipa 30. Ukimwi na STDs zimesambaa sana thru Fiestana ofcoz mbio za Mwenge
 
Nimeona niweke "bei elekezi" ya hio gari ikiwa used huko Uingereza, kabla le KING hajapiga nayo picha na kudai "gari ina thamani ya mil 600 na atayebisha ni mburulazz!" 😀😀

AETV17392368_1c.jpg

Price Reduced
2005 (Y) - Bentley Continental Flying Spur Flying Spur 5 Seats Auto 4-Door
£27,995
  • 6L
  • Saloon
  • Automatic
  • Petrol
  • 63,000 miles
Reduced by £1,000 was £28,995

source: http://www.motors.co.uk/used-cars/bentley/continental-flying-spur/?page=1&sort=1
 
Unajua sheria za mnada wa TRA? Wao wanachotaka ni hela yao ya ushuru tu. Kama walikadiria ushuru 100m mnada ukifika 100m linauzwa. Hasara anapata alielilta maanake mnunuzi mpya atatoa 100m wakati bei jumla ingefika 300m[ mfano tu sio bei halisi].
Umekosea. Mnada wa TRA wanajumlisha CIF na kodi zote ndii inakuwa bei ya kuuzia mnadani. Aliyenunua mnadani akishalipa TRA inachukua stahiki yake ya kodi. Zilizobaki zinarudishwa kwa mmiliki wa kwanza ikiwa atadai ndani ya mwaka mmoja. Lakini, kabla ya mmiliki huyo kulipwa gharama za bandari lazima zikatwe. Hapo ndio unaambulia zero.
 
Umeshawahi kununua gari kwenye mnada wa TRA? Kama hivyo usemavyo ndivyo basi kusingekuwa na faida yoyote kununua gari mnadani.
 
Umeshawahi kununua gari kwenye mnada wa TRA? Kama hivyo usemavyo ndivyo basi kusingekuwa na faida yoyote kununua gari mnadani.
Mnada wa TRA hauna maana ya kununua kwa bei rahisi. Mimi ni mdau mkubwa wa kodi za forodha. Niko sahihi, jaribu kuuliza. Na kama wakati wa kuuza hakuna mnunuzi aliyefika bei waliyopanga haliuzwi. Ikitokea hivyo sheria inataka liharibiwe ili lisitumike popote.
 
Mnada wa TRA hauna maana ya kununua kwa bei rahisi. Mimi ni mdau mkubwa wa kodi za forodha. Niko sahihi, jaribu kuuliza.
Asante kwa taarifa,nitafanya uchunguzi zaidi.
 
Siku nyingine ukiwa na swali kuhusu uingizaji wa mzigo au gari niulize. Majibu yako kichwani.
Nimehudhuria hio minada kuna magari nilitaka kununua nikashindwa yaliuzwa kwa gharama zake za ushuru tu sasa sijui ilikuwaje.
 
Nimeona niweke "bei elekezi" ya hio gari ikiwa used huko Uingereza, kabla le KING hajapiga nayo picha na kudai "gari ina thamani ya mil 600 na atayebisha ni mburulazz!" 😀😀

AETV17392368_1c.jpg

Price Reduced
2005 (Y) - Bentley Continental Flying Spur Flying Spur 5 Seats Auto 4-Door
£27,995
  • 6L
  • Saloon
  • Automatic
  • Petrol
  • 63,000 miles
Reduced by £1,000 was £28,995

source: http://www.motors.co.uk/used-cars/bentley/continental-flying-spur/?page=1&sort=1
Bei elekezi ndio uchague 11yrs old Bentley? Ungechagua hata ya 2010 hivi maanake uchakavu wa GBP 28,000(tzs 95m) sio mchezo!
 
Huyo aliyetoa siri hii..Awajibishwe haraka sana.Sidhani kama kisheria inaruhusiwa hii..
 
Alijua litapita kirahisi huyo. Magari yote ya kifahari ingekuwa vyema kuchunguzwa kama yamelipiwa kodi.
 
Kama mimi ndio Joseph kusaga na nina chenji zangu za kuweza kupambana na hii dhuluma ningehakikisha bandari sijui TRA awauzi chini ya bei nilionunua + jumlisha na kodi waliyotaka alipe yeye.

Huu ni utapeli kwakweli unakuta mtu kanunua gari $100,000 + $50,000 ya ushuru or more; halafu eti linauzwa kwa mnada chini ya hata huo ushuru tu waliokuwa wanautaka achilia mbali thamani ya gari yenyewe its not fair at all Joseph kusaga ana chenji ya kuweza kupambana na huu utaratibu sio wale ndugu zangu wa magari ya £2000.

Huu ujinga ndio unaofanya Q7, Vogue na Cayene za 2007 zilizoshuka thamani mpaka kwa £4000 unaweza kuifuma nchi za nje bongo bado yaonekane magari ya thamani kodi za bandari ni kichefu chefu.
 
Back
Top Bottom