UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
Haha aisee hiyo ni Bentley continental ??? Kama Vitz ??Mmmmh used ni kama Vitz tu nlizani jipya aseee atalikuta tu, by da way naskia mondi nae alikua akitaka kununua akalikomboe tu
Haha aisee hiyo ni Bentley continental ??? Kama Vitz ??Mmmmh used ni kama Vitz tu nlizani jipya aseee atalikuta tu, by da way naskia mondi nae alikua akitaka kununua akalikomboe tu
Used kakaaa hyo ingekua mang'anyu sawa hamna lolote au kama vipi auze clouds fm kwa lowassa akomboe gariHaha aisee hiyo ni Bentley continental ??? Kama Vitz ??
Haha sawa Shark ,huyo jamaa sidhani kama amekosa hela ya kulipia hiyo gari ,sema ni kwa sababu alizoea vya kunyonga ndio alikua anacheki upepo unaelekea wapiUsed kakaaa hyo ingekua mang'anyu sawa hamna lolote au kama vipi auze clouds fm kwa lowassa akomboe gari
Halipii chochote zaidi ya ushuru unaotakiwa. Labda atokee mtu waanze kupandishana dauHata hivyo kwake itakuwa ni hasara tu maana kaliagiza kwa pesa zake, halafu alinunue tena...!!!
hii ni bentley continental flying spur......expensive than bentley continental GTHaha sawa Shark ,huyo jamaa sidhani kama amekosa hela ya kulipia hiyo gari ,sema ni kwa sababu alizoea vya kunyonga ndio alikua anacheki upepo unaelekea wapi
Hebu cheki hiyo list ya used Bentley continental kabla ya kulipiwa ushuru halafu piga na mahesabu baada ya kulipiwa ushuru ,niambie unanunua Virtz ngapi
Oh sawa hiyo price niliyoweka ni ya Bentley continental GT ,nlikua najaribu kumwonyesha shark anayesema ni sawa na Vitz tu ,hii ni bentley continental flying spur......expensive than bentley continental GT
GT ni sporty coupe[two doors].....FS ni four dour saloon in fact the fastest four door saloon in the world over 200MPHOh sawa hiyo price niliyoweka ni ya Bentley continental GT ,nlikua najaribu kumwonyesha shark anayesema ni sawa na Vitz tu ,
Nina swali hapa Features za GT na FS kwa mbele tofauti yake ni nini ??
GT zipo kama tano hapa town ila FS ipo moja tu ina private plate ARISOh sawa hiyo price niliyoweka ni ya Bentley continental GT ,nlikua najaribu kumwonyesha shark anayesema ni sawa na Vitz tu ,
Nina swali hapa Features za GT na FS kwa mbele tofauti yake ni nini ??
Huyu alizoea kupitishia mlango wa nyuma, pengine mpaka hivi inacheleweshwa ni kua alikua akijaribu kufanya manuva, ambayo yamegonga mwamba. Ila kaka hizi gari bana ukikomaa haziko expensive kivile.Haha sawa Shark ,huyo jamaa sidhani kama amekosa hela ya kulipia hiyo gari ,sema ni kwa sababu alizoea vya kunyonga ndio alikua anacheki upepo unaelekea wapi
Hebu cheki hiyo list ya used Bentley continental kabla ya kulipiwa ushuru halafu piga na mahesabu baada ya kulipiwa ushuru ,niambie unanunua Virtz ngapi
Hahah ni kweli Shark ukikomaa sio ishu ,Shark unamiliki migodi nini ??Huyu alizoea kupitishia mlango wa nyuma, pengine mpaka hivi inacheleweshwa ni kua alikua akijaribu kufanya manuva, ambayo yamegonga mwamba. Ila kaka hizi gari bana ukikomaa haziko expensive kivile.
GT ni sporty coupe[two doors].....FS ni four dour saloon in fact the fastest four door saloon in the world over 200MPH
Oh asante sana kwa ufafanuzi ,unaposema ndio Fastest 4 Door Saloon ,vipi kwa S500 au S600 au pengine S350 ??GT zipo kama tano hapa town ila FS ipo moja tu ina private plate ARIS
Mpaka sasa ni ngumu bado kuyatumbuaKuna majipu mengine yalikuwa sehemu nyeti.