Umeambiwa bandari inataka kumdhulumu au inataka kodi halali acha udwanzi ww
Put it this way kama mfano
Reference Number 1516320830
Make: LANDROVER
Model: RANGE ROVER AUTOBIOGRAPHY / SUPERCHARGED / WESTMINISTER
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2015
Fuel Type: DIESEL
Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD): 122236.75
Total Import Taxes (USD): 78659
Total Import Taxes (TSHS): 172420528
Vehicle Registration Tax (TSHS): 440000.00
Ukijumlisha custom valuation (maana hawa jamaa awajali gali umelinunua vipi wao wanautaratibu wao mwingine kabisa wakufanya valuation) jumlisha na kodi wanayotaka ina maana gari linathamani ya USD roughly 200,896
Kumbuka haya magari huko yanapotoka yanaendeshwa na matajiri pia na watu wamefanya research zao za price na hiyo bei ndio wanayodhani ni sahihi sasa kwa bongo ukiona mtu anaedesha hilo gari we mueshimu tu maana ata huyo mzungu ajalinunua kwa thamani ya ndugu yetu (mwenye adhabu ya TRA kisa tajiri) let alone ukute huyo mzungu huko keshafanya part exchange na gari lingine halafu bado ana hire purchase payments plan.
Sasa gari uliolipa thamani ya zaidi USD 200,000 kesho ulipeleke auction halafu uliuze kwa lets say USD 100,000 ndio unapata kodi yako hila gari linakuwa ata huko lilikotoka huyo mnunuzi asingelipata kwa hiyo bei na wala cost azilingani kabisa na gharama ambazo zingemkuta aliyelileta.
Wakati mwenye gari kashindwa kuligomboa kwa sababu tayari kuna hela za manunuzi ata yeye mwingine akileta ukimpa kodi zako akashindwa ukalipeleka mnadani analimudu easily kwa hivyo inakuwa mazingira ya kuviziana kisa ushuru wa TRA.
Unaona unfairness inapokosekana lets face it TRA sio bank, wao wanapofanya hivyo kuchukua nyumba na kuzinada ni kama mali yao maana wameilipia wao ndio maana wanaipiga mnada ukishindwa kulipa ili waweze kuchukua chao.
Hawa TRA wamechangia wapi kwenye hizo USD 122,237 za kununua gari mpaka wapate uhalali wa kuliuza chini ya thamani halisi kwa criteria walizoziweka wao hapo ndio kasoro zilipo. Gari lisiuzwe chini ya thamani waliyotaka kuna gharama za mtu tayari ndio maana mwingine anaweza linunua mnadani wakati nayeye angefanya kama mwenzie pengine yangemkuta mazingira hayo hayo this why the whole thing is immoral.