Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

!
!
Ulitaka kusemaje mkuu. Just go streight tu?
Lait ungewah pambana Nayo usingetoa huo ushauri ...coz jambazi anapokua na silaha either akuue wewe au wewe umuue yeye....so akipona ni bahati yake...but the first intention ni kuua...coz hayanaga mzaa haya majitu....
 
Hivi majambazi wakiona tangazo kuwa wateja wote (ikiwemo na majambazi) wote wanarekodi ktk kanda za CCTV na Polisi wanaona remotely na bado wanafanya uhalifu wa kutumia nguvu na mtutu hawa si wanakuwa wamejitoa mhanga.

Manake matawi ya benki ni mengi na wateja wa kuchukua fedha nyingi katika shughuli za uchumi wetu ambao shughuli nyingi ni cash only huu ni mtihani mkubwa sana.
 
zi
 

Attachments

  • 1456508616755.jpg
    1456508616755.jpg
    35.1 KB · Views: 162
Lait ungewah pambana Nayo usingetoa huo ushauri ...coz jambazi anapokua na silaha either akuue wewe au wewe umuue yeye....so akipona ni bahati yake...but the first intention ni kuua...coz hayanaga mzaa haya majitu....
!
!
Post za awali zilisema wamekamatwa, polisi walikuwa wakiwapiga. Sasa ndio hapo mimi nilikuwa naona sio sawa kuwapiga. Wamewakamata inatosha wawapeleke kwenye vyombo vya sheria.
 
Nikiwa mataa ya chang'ombe nikakutana na msafara wa magari ya kubebea wagonjwa mawili ya wilaya ya temeke yakisindikizwa na pick up ya police akili ikaniambia huu si msafara wa kawaida na inavyoelekea ulikuwa unaenda muhimbili je majambazi yaliuwawa ama kuna raia ama askari waliodhurika?
 

Kama kuna JAMBAZI humu JF(lazima wapo) namshauri atafute kazi nyingine
tu
1456508616755-jpg.325850





Napendekeza kuwe na utaratibu wa kuwapa zawadi polisi au wananchi wanaofanikisha kuzuia au kupambana na majambazi kama hivi]
 
Mimi nipo hapa hapa Mbagala Rangi 3, na kwa taarifa rasmi, hawa majambazi hawajaua mtu yeyote, na wala hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha fedha (meneja chonde-chonde, usije jitwalia akiba zetu).

Hongera kwa walinzi wa benki, maana ndio wamepambana na majambazi kwa muda mrefu, hadi majambazi walipoanza kukimbia, na baada ya muda wakazingirwa na askari, na kuanza kukimbia ovyo.

Nitaendela kuwajuza, maana kuna nyumba wameingia, na imezingirwa na polisi... japo mwenye nyumba amekamatwa na anadai hakuna jambazi aliyengia ndani kwake...!
Mkuu
Zile fedha walizoangusha pale mzinga ziliibwa wapi?

Uhakika ni kweli wameiba nami nilipita eneo hilo na kutrack route hadi mzinga walipozitupa hizo hela.

Majambazi zaidi ya watatu wameuawa.

Majambazi yaliua hapo bank
 
Mkuu
Zile fedha walizoangusha pale mzinga ziliibwa wapi
Uhakika ni kweli wameiba nami nilipita eneo hilo na kutrack route hadi mzinga walipozitupa hizo hela.

Majambazi zaidi ya watatu wameuawa.

Majambazi yaliua hapo bank
Mkuu tujuze..hela walitupa wapi???
 
ila hawa majambaz cjui wanakuwaga na roho za aina gani?? mbn kazi ziko nyingi tuu

nawapongeza hao polisi walofanikisha kuwaua
 
Za leo wanajamvi, nimepita eneo la mbagala rangi tatu muda huu na kuona watu vikundi vikundi karibu na access bank. Pia Bank hiyo iko wazi na kumezungushiwa na polisi. Mlio jirani na hapo tunaomba mtujuze zaidi.
weka picha mkuu
 
Mi naona ni sawa tu kwa watu wakatili kama majambazi kutolewa uvivu kidogo ili mradi tu wasiuwawe ili sheria ichukue mkondo wake.
Siku ukivamiwa ndo itajua ubaya wa hawa watu
You are right mzee usiombe uvamiwe na hawa watu. Mimi siku ya kwanza kusikia mlio was risasi karibu yangu ilikua kutoka kwa hawa watu walituvamia bar wakapiga risasi za hatari wakatupora simu wallets mikufu Pete na pesa za mauzo then wakapiga risasi nyingine hewani wakasepa. Ilinichukua wiki nzima naota tu. They shaped my drinking habits though nilianza kununua bia nanywea ndani tu bar nikawa napaona kama ahela vile. Ila baadae nilirudia bar tena lakini nikiona anaingia mtu haeleweki yani nakua siko comfortable kabisa. Achana na hao watu aisee. Wanatisha
 
yaan haipiti siku bila kusikia wap wamechukua pesa...but kama police wako kimya sana hiv
 
Back
Top Bottom