Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Kazi nzuri FFU na wananchi woote waliosimama kidete kuwazima hawa mahantaramwe.
Ila kuna kazi ngumu humu duniani jamani!? Hebu imagine risasi zinarindima na mamilio yake ya kutisha ya kuzimu yale then unaambiwa uzifuate zinakotokea? Mbaaya zaidi hata ujajiandaa saikolojikale kupambana in a close quater battle...aseee!! Kwa mimi sisonhi mbele ng'o! Over my dead body!! Pongezi saana FFU..ur da man.
Rais Magufuli waghasia( FFU) hawahitaji mabomu ya machozi kwa sasa bali maslahi bora maana washaifanyia serikali mengi saana, wamekuwa loyal saana kwa serikali kwa kutumiminia mabomu na virungu vipindi vyoote vya uchaguzi mfululizo tirelesly, hawalali kuhakikisha amani iliyopo inaendelea kuwepo n.k they deserves something better than more tasks.
Kudos FFU!