Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Hawa majambazi wanaroho ngumu kweli,Ile sura ya Magufuli tu,Wenzao wengi walishaacha hizo kazi
 
Sio big deal tunawekana sawa tuu
Kama hujakasirika poa, ila mimi maana yangu ni kuwa kwenye tukio kama lile ni nadra sana mtu kuweza kupiga picha.. Nadhani hukunielewa vizuri .. But sikuwa na nia mbaya labda kwa vile nilitumia lugha ambayo imekuwa ngumu kwako na kunielewa kiubaya but sikuwa na nia mbaya kiongozi
 
Mimi nipo hapa hapa Mbagala Rangi 3, na kwa taarifa rasmi, hawa majambazi hawajaua mtu yeyote, na wala hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha fedha (meneja chonde-chonde, usije jitwalia akiba zetu).

Hongera kwa walinzi wa benki, maana ndio wamepambana na majambazi kwa muda mrefu, hadi majambazi walipoanza kukimbia, na baada ya muda wakazingirwa na askari, na kuanza kukimbia ovyo.

Nitaendela kuwajuza, maana kuna nyumba wameingia, na imezingirwa na polisi... japo mwenye nyumba amekamatwa na anadai hakuna jambazi aliyengia ndani kwake...!
Uko sawa nasikia wameuawa majambazi 2 na wengine 4 wamekamatwa.
 
Hawa majambazi wanaroho ngumu kweli,Ile sura ya Magufuli tu,Wenzao wengi walishaacha hizo kazi

Mwenyewe nimeshangaa pamoja na mkwala wa magufuli watu bado wanapiga matukio
 
Kama hujakasirika poa, ila mimi maana yangu ni kuwa kwenye tukio kama lile ni nadra sana mtu kuweza kupiga picha.. Nadhani hukunielewa vizuri .. But sikuwa na nia mbaya labda kwa vile nilitumia lugha ambayo imekuwa ngumu kwako na kunielewa kiubaya but sikuwa na nia mbaya kiongozi
Am okey wala usiwaze kaka hatukuelewana tuu.
We are gud.
Sijakukasirikia
 
Mtu kama hujui kitu bora utuliee tuu. majambazi wamekimbia na pesa ni wawili ambao walitoka mapema tu huku wenzao wakirushiana risasi na askari ..badae walikimbia kuwakimbilia wenzao walikimbilia barabara ya mtwara walipofika maeneo ya mzinga kupita daraja la mzinga kidogo ..majambazi waliingia barabara ya vumbi kuelekea sehemu moja inaitwa kisasa..bodaboda wa mzinga stand waliwaunganishia na pikipik zao na badae askari FFU walikuja na pik pik na magari yao ikawa kundi kubwa zaidi ndipo majambazi wawili wakipigwa risasi wote walikufa hapo hapo na askari mmoja amepigwa risasi ya mguu.

Eneo la tukio maeneo ya benk kuna watu wamekufa pamoja na askari na mlinz wa benk pamoja na mama ntilie alipigwa risasi ya maeneo ziwa la kulia.
majambazi wawili mmoja wakike mwingine wa kiume wamekimbia na roba la pesa nyingi saana.

Kama wawili wamefariki bas ushaidi amna tena waliokimbia na pesa wanaenda kutumia
 
pamoja na sababu nyinginezo lakini sheria ya kuruhusu baadhi ya watu kumiliki silaha itazidi kutumaliza. Wengi wao machoni ni Watu wema lakini udhibiti wa namna wanavyozitumia silaha hizo umebaki mikononi mwa mmiliki. Je tunajuwa wanayoyafanya nyuma ya pazia? nadhani ipo haja ya kufanya mapitio ya sheria na kubaki na sheria ileile ya kutoruhusu raia YOYOTE kumiliki silaha. Hii itapunguza japo inaweza isimalize tatizo
Hakuna mtu anayeruhusiwa kumiliki smg..... Labda tungeulizana tu wanazitoa wapi?
 
Mtu kama hujui kitu bora utuliee tuu. majambazi wamekimbia na pesa ni wawili ambao walitoka mapema tu huku wenzao wakirushiana risasi na askari ..badae walikimbia kuwakimbilia wenzao walikimbilia barabara ya mtwara walipofika maeneo ya mzinga kupita daraja la mzinga kidogo ..majambazi waliingia barabara ya vumbi kuelekea sehemu moja inaitwa kisasa..bodaboda wa mzinga stand waliwaunganishia na pikipik zao na badae askari FFU walikuja na pik pik na magari yao ikawa kundi kubwa zaidi ndipo majambazi wawili wakipigwa risasi wote walikufa hapo hapo na askari mmoja amepigwa risasi ya mguu.

Eneo la tukio maeneo ya benk kuna watu wamekufa pamoja na askari na mlinz wa benk pamoja na mama ntilie alipigwa risasi ya maeneo ziwa la kulia.
majambazi wawili mmoja wakike mwingine wa kiume wamekimbia na roba la pesa nyingi saana.

Jina lako na ulichokiandika ni sawa sawa mkuu Mimi nimekuamini Caz nilipita na basis nikitokea mkoa na kusikia habari kama yako ila umesahau moja, kuna boda boda mmoja kapigwa risasi baada ya kukataa kuwabeba.
 
Wakati flani hii tabia ya kujipatia kipato kwa njia ya mkato ni hatari kiasi hiki. Bora kujifunza kuishi kwa jasho na kuridhika na kile kipato kidogo Mungu alichokujalia.
 
Za leo wanajamvi, nimepita eneo la mbagala rangi tatu muda huu na kuona watu vikundi vikundi karibu na access bank. Pia Bank hiyo iko wazi na kumezungushiwa na polisi. Mlio jirani na hapo tunaomba mtujuze zaidi.
 
Hawa majambazi ni wazembe kwani wametumia zaidi ya dk 40 na inasemekana walichukua muda sana ndani ya benki katika kufungua na kubeba mafulushi ya fedha kitu kilichodababisha mpaka polisi kutoka kituo cha maturubai kizuiani kuwakuta na kuanza kurushiana risasi, majambazi wa tatu wameuwawa,mama lishe na kijana mmoja na baadhi ya polisi walinzi wa benki, mpaka sasa haijulikani ni kiasi gani cha fedha wamechukua na haijajulikana majambazi walikuwa wangapi na idadi kamili ya marehemu na majeruhi.
Walikuwa wanarushiana risasi kama wapo kwenye muvi. Leo ilikuwa live bila chenga
 
Back
Top Bottom