Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,804
TUMEFANYA TUKIO NA HATUJAKAMATWA UZUSHI HUU UPUUZWE!
UNA MAANISHA??? AU SIJAELEWA,KWAMBA NI MUHUSIKA WA ILO TUKIO AU,,,
TUMEFANYA TUKIO NA HATUJAKAMATWA UZUSHI HUU UPUUZWE!
achinguzwe mkuuuUNA MAANISHA??? AU SIJAELEWA,KWAMBA NI MUHUSIKA WA ILO TUKIO AU,,,
Ndio hao wanatumikaMmmmmmmh! hivi Access wanatumia walinzi toka Security group au!
siku raia watakapoanza kulipwa kama ulaya na libyaSijui ni lini usalama wa nchi hii kwenye bank zetu utakuwa wa kiwango cha juu
Benki ya Access Tawi la Mbagala Rangi Tatu kuna tukio la Ujambazi limetokea muda huu!
View attachment 325804
Chanzo: CloudsFm
============
Kwa mujibu wa polisi kanda maalum, majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na polisi na kuzidiwa nguvu.
nimepita hapo nimekuta watu wengi nasikia wàmekufa wengiPicha please!
Dili LA wafanyakazi wasio waaminifu na majambaziSijui ni lini usalama wa nchi hii kwenye bank zetu utakuwa wa kiwango cha juu
Hii taarifa nimeipokea kwa mchungu sana mkuu!! Nadhani jeshi LA polisi litafanya uchunguzi na litawatia ndani wote waliohusika!! Niwape tu pole familia za ndugu zetu waliopoteza maishaKakaJambazi na Jambazi hivi hakuna kauwezekano muwe mnakomba salio kimya kimya bila ya kutoa raia wasio na hatia uhai?
"AFANDE RINOTE HIRI RIJAMAA...RITASAIDIA UCHUNGUZI"TUMEFANYA TUKIO NA HATUJAKAMATWA UZUSHI HUU UPUUZWE!