hujaelewa nini hapa ndugu ?aliyeripoti ana haraka sana sijamwelewa
Jamani? tena! kwa nini wanaua? kwa nini wasichukue hel waondoke? inasikitisha sana hii.Hata mimi nimesikia breaking news inasemekana wameua watu 4,na wameondoka na kiasi kikubwa cha fedha kwenye Viroba
aliyeripoti redionihujaelewa nini hapa ndugu ?
oh oky nilidhani hujamuelewa mleta madaaliyeripoti redioni
Wameshaambiwa wekeni polisi,hawajali,hutajisikia tena wizi Tpb,Nbc na Nmb kwa kua serikali ina hisa kule imewalazimisha waweke polisiHata mimi nimesikia breaking news inasemekana wameua watu 4,na wameondoka na kiasi kikubwa cha fedha kwenye Viroba
Sasa mbona wanatoa habari za uongo kuwa wameweka hela kwenye pikipiki zikiwa kwenye viroba na wamesepa.Mimi nipo hapa hapa Mbagala Rangi 3, na kwa taarifa rasmi, hawa majambazi hawajaua mtu yeyote, na wala hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha fedha (meneja chonde-chonde, usije jitwalia akiba zetu).
Hongera kwa walinzi wa benki, maana ndio wamepambana na majambazi kwa muda mrefu, hadi majambazi walipoanza kukimbia, na baada ya muda wakazingirwa na askari, na kuanza kukimbia ovyo.
Nitaendela kuwajuza, maana kuna nyumba wameingia, na imezingirwa na polisi... japo mwenye nyumba amekamatwa na anadai hakuna jambazi aliyengia ndani kwake...!
aliyeripoti ana haraka sana sijamwelewa
mkuu tulia hapohapo usiondoke uendelee kutuhabarisha ila ukae kwa machale.Mimi nipo hapa hapa Mbagala Rangi 3, na kwa taarifa rasmi, hawa majambazi hawajaua mtu yeyote, na wala hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha fedha (meneja chonde-chonde, usije jitwalia akiba zetu).