Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

huoni nimemtahadharisha awe makini kulinda usalama wake,
lakini hata hivyo kuna waandishi wa jabari ambao hukaa mstari wa mbele kwenye unafikiri wao hawaogopi kufa?
Wale wana Insurance babu kubwa, si kama waandishi njaa wa kwetu hapa unaowafahamu.
 
!
!
Post za awali zilisema wamekamatwa, polisi walikuwa wakiwapiga. Sasa ndio hapo mimi nilikuwa naona sio sawa kuwapiga. Wamewakamata inatosha wawapeleke kwenye vyombo vya sheria.
Kaka kwenye vyombo vya she ria ya ninI? Unadhani jambazi akikuvamia akasema toa hela usipotoa atakushika akupeleke kwenye vyombo vya she ria kukushtaki ulikataa kutoa hela. Yeye jela atakayokupeleka ni kaburini tu na hela kachukua na kama una mke na watoto wadogo ndio wanabaki wakiteseka duniani. Achana na hiyo mambo ya she ria. Unamjua yule jambazi Nyari wa arusha aliua watu wangapi na akapelekwa kwenye vyombo vya she ria na Leo yuko mtaani anadunda? Unakumbuka walivamia gari last NMB morogoro likiwa limetoka kuchukua hela Dar wakalivamia pale ubungo na walimuua jamaa kijana tu mfanyakazi was NMB morogoro huku akiwa ndio Kwanzaa ameoa na mtoto mchanga. Mungu alipenda yule jamaa afe kwa risasi na kuacha mtoto mchanga anayemtegemea na mke? Leo hii unatetea majambazi wakishikwa wasiuawe hapana bwana hujui machungu wanayosababishaga kwa familia hawa watu na unamkuta sinza bar anatanua tu. Usitie huruma na hao watu
 
Sawa ila kuna umuhimu wa kutii sheria si kwa wananchi tu bali hata vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Majambazi wanavunja sheria just like polisi anayempiga mtu ambaye keshakubali kuwa chini ya amri yake. Makosa mawili hayasahihishi. Kwa hiyo basi kama ni kweli walijuwa wanawapiga baada ya kuwakamata mimi binafsi naona sio sawa. Wafikishwe mahakamani wahukumiwe tu kwa mujibu wa sheria. Kuna muda watu wamefanana nguo mkuu mkajikuta mnaua ambaye hahusiki.
 
Unaongelea sheria gani? au na wewe ni miongoni? jipange tafuta kazi nyingne
 
Kulikuwa Kuna mpelelezi mkuu wa Kilimanjaro hanaitwa Joakim (hali Kuwa ni mmbulu)Halikmesha Moshi kina kadogo, Sambeke,Hellija jamaa wengine hili bidi watu wa kimbiye Moshi,HAPAna mchezo hukitumia Silaa your dead man .HaliKuwa single handed hakuna haja ya kupelekana mahakamani ,he shoot on the spot,Kwa hiyo Tanzania Hinahitaji kufanya hivyo kwasababu they are killing innocent people for nothing even wamechukuwa fedha they still kill you.
Jamba wa kutumia Silaa za moto death penalty.
 
Mkuu wewe ni afande...au ndo uliowatungua hao jamaa
 
Point of correction!

Niwaombe samahani sana kwa kuwapa taarifa za nilichokiona muda si mrefu.

Wakati nikawa hapa ofisi naandika msg, nimesikia makelele kwa nje, nikatoka mpaka barabarani rangi 3 round about! Sijaamini nilichokiona, wale majambazi wamekamatwa, askari wanawapiga, huku raia wanashangilia. Ilipita helkopter ya polisi muda kidogo, ndio imesaidia kuwakamata wote. Hawa majambazi walikuwa wamejipanga, kumbe walitega mpaka mabomu, askari wanaogopa kuyafuata ili wayategue. Hatari

Hongera kwa jeshi la polisi, leo wamenitoa kimasomaso.

NB: Watu wawili wameuwa, na fedha walibeba na viroba.
JAMAA MWONGO HUYUU.... Kwani ukikaa kimya utapungukiwa na nin kuliko kutudanganyaa
 
!
!
Nadhani kazi yao ni kulinda raia na mali zao. Sidhani kama wanaruhusiwa kufanya hivyo
threat to death a police is allowed to use extra force including killing. situation ya Mbagala no body will question what happened. polisi wamefanya sawa kabisa.. hujawahi kuvamiwa wewe ndio maana unawatetea wahalifu. ningekuwepo Mbagala ningepiga hata mawe pumb******* zao hao majambawazi
 
Ni kweli Namkumbuka Afande Joackim aliisafisha Moshi hakua akisubiri tukio litokea akipata taarifa kua wewe nijambazi atakukabili na kukupa onyo halafu anakufuatilia,ukiendelea anakuwahi mapema nakumbuka issue ya Kadogoo Moshi miaka 1984/1985 watu walikua wanalala saa 2 lakini jamaa alimfuata msitu wa Njoro alikokua kajificha akamshughulikia
 
kazi nzuri Jeshi la Polisi
Huyu jamaa wa picha ya chini kabisa aliyetoa macho alipigwa pigo la kiufundi sana.
Muda huu aliyemdungua anatembea kifua mbele kwa askari wenzake.
Mpigwaji hakuiona wala kuisikia risasi yake, alikuwa mwenye amani na kujiona yuko sehemu salama.
Aliwindwa kikamilifu na mdunguaji, ila sitashangaa nikisikia hakuwa jambazi ila ni raia tu alienda kuwa shuhuda lkn risasi ikampitia na kuunganishwa na majambazi.

Ova
 
Mwanza nako leo jion kuna tukio la ujambanzi limefanyika watu wametembea na pesa
 
Mimi nipo hapa hapa Mbagala Rangi 3, na kwa taarifa rasmi, hawa majambazi hawajaua mtu yeyote, na wala hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha fedha (meneja chonde-chonde, usije jitwalia akiba zetu).

Hongera kwa walinzi wa benki, maana ndio wamepambana na majambazi kwa muda mrefu, hadi majambazi walipoanza kukimbia, na baada ya muda wakazingirwa na askari, na kuanza kukimbia ovyo.

Nitaendela kuwajuza, maana kuna nyumba wameingia, na imezingirwa na polisi... japo mwenye nyumba amekamatwa na anadai hakuna jambazi aliyengia ndani kwake...!
hapo uliposema chonde chonde umenifurahisha Sana.
mbona kwenye picha Kuna damu? Ni majeruhi Tu?
 
!
!
Sawa ila kuna umuhimu wa kutii sheria si kwa wananchi tu bali hata vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Majambazi wanavunja sheria just like polisi anayempiga mtu ambaye keshakubali kuwa chini ya amri yake. Makosa mawili hayasahihishi. Kwa hiyo basi kama ni kweli walijuwa wanawapiga baada ya kuwakamata mimi binafsi naona sio sawa. Wafikishwe mahakamani wahukumiwe tu kwa mujibu wa sheria. Kuna muda watu wamefanana nguo mkuu mkajikuta mnaua ambaye hahusiki.
Dawa ni kuwatoa uhai tu full stop
Ghafla Nimekumbuka Uwanja Wa Medani

Back
Top Bottom