Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Sasa mbona wanatoa habari za uongo kuwa wameweka hela kwenye pikipiki zikiwa kwenye viroba na wamesepa.
Ukituma picha utasaidia sana
Mkuu, hakuna haja ya picha, mimi ofisi yangu ipo hapa hapa rangi 3, na majambazi wakati wanakimbia na pikipiki, wamezunguka wakaja kutokea hapa kwenye kituo kidogo cha polisi Charambe, kulikuwa na askari wameweka doria pale, wakawaftatulia risasi, wakaacha pikpiki 2 pale wakakimbia kwa miguu. Ambapo walisema wameingia kwenye nyumba za hapo hapo jirani, na askari kumshika mwenye nyumba kwa mahojiano.
Ila watu walikuwa wengi sana, kama unavyojua Mbagala, inawezekana wezi wamejichanganya na raia wema..!
 
Jamani? tena! kwa nini wanaua? kwa nini wasichukue hel waondoke? inasikitisha sana hii.
kwa kumbukumbu zangu zinaonyesha wote walioua wakiiba wanakamatwa ila yasipotokea mauaji sahau kuhusu fedha
 
Mmmmmmmh! hivi Access wanatumia walinzi toka Security group au!
 
Mkuu, hakuna haja ya picha, mimi ofisi yangu ipo hapa hapa rangi 3, na majambazi wakati wanakimbia na pikipiki, wamezunguka wakaja kutokea hapa kwenye kituo kidogo cha polisi Charambe, kulikuwa na askari wameweka doria pale, wakawaftatulia risasi, wakaacha pikpiki 2 pale wakakimbia kwa miguu. Ambapo walisema wameingia kwenye nyumba za hapo hapo jirani, na askari kumshika mwenye nyumba kwa mahojiano.
Ila watu walikuwa wengi sana, kama unavyojua Mbagala, inawezekana wezi wamejichanganya na raia wema..!
Mimi nipo hapa hapa Mbagala Rangi 3, na kwa taarifa rasmi, hawa majambazi hawajaua mtu yeyote, na wala hawakufanikiwa kuiba kiasi chochote cha fedha (meneja chonde-chonde, usije jitwalia akiba zetu).

Hongera kwa walinzi wa benki, maana ndio wamepambana na majambazi kwa muda mrefu, hadi majambazi walipoanza kukimbia, na baada ya muda wakazingirwa na askari, na kuanza kukimbia ovyo.

Nitaendela kuwajuza, maana kuna nyumba wameingia, na imezingirwa na polisi... japo mwenye nyumba amekamatwa na anadai hakuna jambazi aliyengia ndani kwake...!
Acha uongo wewe.. haupo hapo
 
Ndakilawe;
Upo sehemu nyingine au hiyo Bank ya Access?? Wenzio walioripoti kwanza wanasema askari 4 hawana uhai, wanasema fweza iliwekwa kwa viroba na maroba wenyewe wakachimba. Weye watuambia ati hakuna hata mia ilichukuliwa, yaonyesha weye ulichelewa kufika ukakuta vijana wa Sirro weshaondoa eksibiti (Maiti zao).
Haiwezekani, watu wazingirwe halafu hakuna majeruhi. Huenda weye ni miongoni mwa vijana wa Siro. Sio bureeee. Kila la kheri, muyakamate hayo ma-robbers.
 
Point of correction!

Niwaombe samahani sana kwa kuwapa taarifa za nilichokiona muda si mrefu.

Wakati nikawa hapa ofisi naandika msg, nimesikia makelele kwa nje, nikatoka mpaka barabarani rangi 3 round about! Sijaamini nilichokiona, wale majambazi wamekamatwa, askari wanawapiga, huku raia wanashangilia. Ilipita helkopter ya polisi muda kidogo, ndio imesaidia kuwakamata wote. Hawa majambazi walikuwa wamejipanga, kumbe walitega mpaka mabomu, askari wanaogopa kuyafuata ili wayategue. Hatari

Hongera kwa jeshi la polisi, leo wamenitoa kimasomaso.

NB: Watu wawili wameuwa, na fedha walibeba na viroba.
 
Mkuu, hakuna haja ya picha, mimi ofisi yangu ipo hapa hapa rangi 3, na majambazi wakati wanakimbia na pikipiki, wamezunguka wakaja kutokea hapa kwenye kituo kidogo cha polisi Charambe, kulikuwa na askari wameweka doria pale, wakawaftatulia risasi, wakaacha pikpiki 2 pale wakakimbia kwa miguu. Ambapo walisema wameingia kwenye nyumba za hapo hapo jirani, na askari kumshika mwenye nyumba kwa mahojiano.
Ila watu walikuwa wengi sana, kama unavyojua Mbagala, inawezekana wezi wamejichanganya na raia wema..!
Hizi ndo zinakuwa story kama zile za panya road watu wanakuza sana hizi mambo kifupi clouds wamekurupuka
 
  • Thanks
Reactions: DRM
Watu wanaosadikiwa majambazi wauwa Mbagala walipokuwa walipomaliza kupora katika benki ya Access tawi la Mbagala na kuna taarifa kwamba walipotupa mabomu
mi nimeona maiti 3 kwa taarifa zaidi tutajulishana.
 
Ndakilawe;
Upo sehemu nyingine au hiyo Bank ya Access?? Wenzio walioripoti kwanza wanasema askari 4 hawana uhai, wanasema fweza iliwekwa kwa viroba na maroba wenyewe wakachimba. Weye watuambia ati hakuna hata mia ilichukuliwa, yaonyesha weye ulichelewa kufika ukakuta vijana wa Sirro weshaondoa eksibiti (Maiti zao).
Haiwezekani, watu wazingirwe halafu hakuna majeruhi. Huenda weye ni miongoni mwa vijana wa Siro. Sio bureeee. Kila la kheri, muyakamate hayo ma-robbers.
Ni kweli Mkuu, maana muda nilisikia risasi zikilia ovyo, nilipotoka nikakutana nao hapa Kituo kidogo cha polisi charambe, na zile risasi zilizokuwa zinasikika walikuwa wanapiga kujihami, watu wasisogee, askari wa mwanzo kukutana nao ni hawa hapa kituoa cha Charambe...! Wamekamatwa, na nimewaona kwa macho yangu,askari wanawapiga mangumi ya hatari, raia wanashangilia balaa...
 
Wanaua pale wanapoona wanazidiwa.....ila hiyo yakuua sio kusudio lao..kusudio kuu ni kupora...
 
Wafe salama salmini......

Bwana alitwa na Bwana ametwaa....jila la Bwana lihimidiwe
 
Ni kweli Mkuu, maana muda nilisikia risasi zikilia ovyo, nilipotoka nikakutana nao hapa Kituo kidogo cha polisi charambe, na zile risasi zilizokuwa zinasikika walikuwa wanapiga kujihami, watu wasisogee, askari wa mwanzo kukutana nao ni hawa hapa kituoa cha Charambe...! Wamekamatwa, na nimewaona kwa macho yangu,askari wanawapiga mangumi ya hatari, raia wanashangilia balaa...

!
!
Kwa nini wanawapiga sasa? Si washawakamata fujo za nini? Askari wafanye kazi yao hiyo ya kuwahukumu waiachie mahakama. Hao ni watuhumiwa tu mpaka mda huu bado hawajawa majambazi wa kutumia silaha. Waache vyombo vingine vifanye kazi zao.
 
Back
Top Bottom