Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Hehehe ulipota kazi hehe kakimbilia kuandika huku kumbe but watu wanauana amesharipoti anatoka nje wezi wamekamatwa n.a. viroba via mihela kakimbilia ndani kuja kuripoti akirudi nje shughuri imeishaaa hahahaha kazi as watu bana hapa chezeaa siku nyingine unangalia movie mpaka iishe hehe tena unachukua n.a. movie kabisa uhondo utakupita hadi urudi ndani see ngapi
 
Na kweli huenda hawajaiba chochote....wafanyakazi wa benk wakiona majambazi yamevamia na wao hujichotea za kwao kwa mgongo wa majambazi
 
Unaweza kuta hao majambazi njia huko kwenda mtwara.....

Washakimbia hao
 
Watu wanaosadikiwa majambazi wauwa mbagala walipokuwa walipomaliza kupora katika benki ya Access tawi la mbagala na kuna taarifa kwamba walipotupa mabomu
mi nimeona maiti 3 kwa taarifa zaidi tutajulishana.
wewe andika uzuri basi mbona km umepost ukiwa juu ya bodaboda unakimbia
 
Nasikitika kwa sababu kuna wananchi wasio na hatia wamepoteza maisha yao. Poleni wafiwa (lakini sio wafiwa wa majambazi)
 
!
!
Kwa nini wanawapiga sasa? Si washawakamata fujo za nini? Askari wafanye kazi yao hiyo ya kuwahukumu waiachie mahakama. Hao ni watuhumiwa tu mpaka mda huu bado hawajawa majambazi wa kutumia silaha. Waache vyombo vingine vifanye kazi zao.
Polisi wamekosea sana kuwapiga hao majambazi hapo kwenye macho ya watu wengi. Wangewachukua kirafiki tu kisha jioni wanaenda nao kwenye msitu wa mabwepande, maiti wanapeleka mutually au baharini.
 
yaani kila kifo kina sababu asee sasa wake zao hama waume wapo home wanasubiri watu wao watoke kazini mara humuoni kisha baadae unaambiwaa kauwawa na majambazi uwii
IMG-20151214-WA0002.jpg
 
Point of correction!

Niwaombe samahani sana kwa kuwapa taarifa za nilichokiona muda si mrefu.

Wakati nikawa hapa ofisi naandika msg, nimesikia makelele kwa nje, nikatoka mpaka barabarani rangi 3 round about! Sijaamini nilichokiona, wale majambazi wamekamatwa, askari wanawapiga, huku raia wanashangilia. Ilipita helkopter ya polisi muda kidogo, ndio imesaidia kuwakamata wote. Hawa majambazi walikuwa wamejipanga, kumbe walitega mpaka mabomu, askari wanaogopa kuyafuata ili wayategue. Hatari

Hongera kwa jeshi la polisi, leo wamenitoa kimasomaso.

NB: Watu wawili wameuwa, na fedha walibeba na viroba.
Wewe unazingua sasa
 
Point of correction!

Niwaombe samahani sana kwa kuwapa taarifa za nilichokiona muda si mrefu.

Wakati nikawa hapa ofisi naandika msg, nimesikia makelele kwa nje, nikatoka mpaka barabarani rangi 3 round about! Sijaamini nilichokiona, wale majambazi wamekamatwa, askari wanawapiga, huku raia wanashangilia. Ilipita helkopter ya polisi muda kidogo, ndio imesaidia kuwakamata wote. Hawa majambazi walikuwa wamejipanga, kumbe walitega mpaka mabomu, askari wanaogopa kuyafuata ili wayategue. Hatari

Hongera kwa jeshi la polisi, leo wamenitoa kimasomaso.

NB: Watu wawili wameuwa, na fedha walibeba na viroba.
Waliouawa ni Nani?? Askari au majambazi??
 
pamoja na sababu nyinginezo lakini sheria ya kuruhusu baadhi ya watu kumiliki silaha itazidi kutumaliza. Wengi wao machoni ni Watu wema lakini udhibiti wa namna wanavyozitumia silaha hizo umebaki mikononi mwa mmiliki. Je tunajuwa wanayoyafanya nyuma ya pazia? nadhani ipo haja ya kufanya mapitio ya sheria na kubaki na sheria ileile ya kutoruhusu raia YOYOTE kumiliki silaha. Hii itapunguza japo inaweza isimalize tatizo
 
Mtu kama hujui kitu bora utuliee tuu. majambazi wamekimbia na pesa ni wawili ambao walitoka mapema tu huku wenzao wakirushiana risasi na askari ..badae walikimbia kuwakimbilia wenzao walikimbilia barabara ya mtwara walipofika maeneo ya mzinga kupita daraja la mzinga kidogo ..majambazi waliingia barabara ya vumbi kuelekea sehemu moja inaitwa kisasa..bodaboda wa mzinga stand waliwaunganishia na pikipik zao na badae askari FFU walikuja na pik pik na magari yao ikawa kundi kubwa zaidi ndipo majambazi wawili wakipigwa risasi wote walikufa hapo hapo na askari mmoja amepigwa risasi ya mguu.

Eneo la tukio maeneo ya benk kuna watu wamekufa pamoja na askari na mlinz wa benk pamoja na mama ntilie alipigwa risasi ya maeneo ziwa la kulia.
majambazi wawili mmoja wakike mwingine wa kiume wamekimbia na roba la pesa nyingi saana.
 
Back
Top Bottom