Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
- Thread starter
-
- #101
JF nini kumetokea??
takribani Miaka 2 iliyopita nilimtetea sana Mkapa ,humu ndani waumini wengi walinishambulia sana ati sikitakii kizazi cha watanzania yaliyo mema kwa kumtetea fisadi na tena hadi wakuu wakafikia kufananisha jina hili langu na la mkapa .
Sasa leo nauliza nini kinatokea? Siamini kuona watetezi wameongezeka kiasi hiki.
...The B.W.Mkapa I know couldn't win The Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership. There must be some underlying reasons!!
Je kuna ukweli hapa?....$1,000 kwa mwaka???
Choveki,
Kwa nini usi-type kwenye GOOGLE na utapata habari zote hizi. Acheni uvivu jamani wa utafutiwe hata habari kama hizi.
Haya spma hapa:-
KILIMANJARO AIRPORT UP FOR GRAB FOR JUST 1000 USD
There are allegations that the second largest airport in Tanzania (Kilimanjaro International airport KIA) better known as the Gateway to Africa 's wildlife can be operated by any middle class African as long as they can raise a 1000 USD.
While in Kenya the controversy surrounding the lease of the Old Embakasi airport quoting millions is hitting headlines, on the other side of the national limes Tanzanian are waking up in shock after learning that the KIA is been leased to private investors KADCO for a mere 1000 USD (One thousands dollars) per year.
The airport that handles numerous international airlines is believed to serve over 500.000 passengers per year.
from:
AfricaNews - KILIMANJARO AIRPORT UP FOR GRAB FOR JUST 1000 USD - Jerry
Anayeongelewa ni huyu:
Benjamin William Mkapa nimjuaye...(kama kielezavyo kichwa cha habari) kuna mijadala lukuki ya JK, kwanini na huu tuupeleke kwa JK? QUOTE]
mnapenda kulazimisha mambo! haya maoni ya watu, akili zao, muda wao, malengo yao, huwezi kuwapangia watu waseme nini na lini, wala usijione una akili, nionyeshe thread moja tu ya JF ambayo watu waliajadili same thing bila kwenda nje kidogo ya maada!
utapata pressure za bure kuhangaika kuwa kiranja humu! sema ulilonalo moyoni usaidiwe! acha kutapatapa!
Waberoya:
mzee bado uko na hiyo prize, haujui kuwa inatudhalilisha mkuu!
Ukweli unabaki palepale kuwa Mkapa alikuwa makini kuzidi Jk
Kumuita jambazi pia ni haki yake. Aliyoifanyia Tanzania ni worse than ujambazi.BWM, alifanya mengi mazuri ya kuzungumzwa na yanapaswa kuendelezwa. Kuitwa second JKN ni haki yake, kuitwa msomi ni haki yake, kuitwa mwanadiplomasia makini ni haki yake, kuitwa kiongozi shupavu ni haki yake na kuitwa mwokozi wa pili wa Tanzania baada ya JKN ni haki yake.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 tu, nimekuwa nikiudhiwa sana na wanasiasa na baadhi ya wananchi wenye mtazamo hasi kwa Mh. rais mstaafu BWM na na kwa mawazo yangu mimi, katika umri wa kitoto nilimkubali na kwa umri huu ambao niko katika taasisi ya elimu ya juu, nasisitiza kuwa nitakuwa tayari kumulinda na kumtumikia BWM kama rais mstaafu, nitakuwa tayari kuwashawishi vijana wenzangu kumlinda BMW kwa namna yeyote ile. Ole wa wale watakao pelekea huyu BWM kufikishwa mahakamani au kuondolewa kinga, ikibidi amani yetu itapumzishwa kwa kitambo ili kuingia msituni kupambana na watu wasiokumbuka fadhila za mh rais mstaafu,
MUNGU MUBARIKI NA KUMEPUSHA KUJIBU SHUTUMA PAMBIKIZI MH BWM .
negative za mkapa wala huhitaji ku-dig deep, ni zile za juu juu sasa uki-dig deep basi wananchi wengi tu watachanganyikiwa eg issue ya net group mpaka ffu wakatumika kuwaingiza, issue ya madini ambayo nyerere alijaribu kunegotiate kwa more than 50% iwe yetu na nyingine ndio mwekezaji achukue, kilicho tokea eti tunapewa royality tu ya 3% na wewe na ukijana wako na uko elimu ya juu unaona ni sawa kweli akili ni nywele kila mtu anazake, raisi na akili zake na mshahara mzuri anaona heri watu wake wale majani yeye anunuliwe ndege na zaidi ya hapo waweke cha juu, radar ya milatary itumike commercial na cha juu kiwekwe, EPA , TANGOLD, MEREMETE, kuharibu ni dhamu ya jeshi, usalama wa taifa, na hata rai wa kawaida na wewe unamuona mtu huyo kama alikuwa analitakia mema taifa hili? au alikuwa na akili nzuri? Leo hii yeye mwenyewe anakiri uchumi umemilikiwa na wageni, je wewe lini utapata fursa ya kutimiza malengo yako? labda kama ni mwana wa fisadi basi utaokoteza makombo aliyo acha au atakayo acha mzazi/wazazi wako.BWM, alifanya mengi mazuri ya kuzungumzwa na yanapaswa kuendelezwa. Kuitwa second JKN ni haki yake, kuitwa msomi ni haki yake, kuitwa mwanadiplomasia makini ni haki yake, kuitwa kiongozi shupavu ni haki yake na kuitwa mwokozi wa pili wa Tanzania baada ya JKN ni haki yake.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 tu, nimekuwa nikiudhiwa sana na wanasiasa na baadhi ya wananchi wenye mtazamo hasi kwa Mh. rais mstaafu BWM na na kwa mawazo yangu mimi, katika umri wa kitoto nilimkubali na kwa umri huu ambao niko katika taasisi ya elimu ya juu, nasisitiza kuwa nitakuwa tayari kumulinda na kumtumikia BWM kama rais mstaafu, nitakuwa tayari kuwashawishi vijana wenzangu kumlinda BMW kwa namna yeyote ile. Ole wa wale watakao pelekea huyu BWM kufikishwa mahakamani au kuondolewa kinga, ikibidi amani yetu itapumzishwa kwa kitambo ili kuingia msituni kupambana na watu wasiokumbuka fadhila za mh rais mstaafu,
MUNGU MUBARIKI NA KUMEPUSHA KUJIBU SHUTUMA PAMBIKIZI MH BWM .
Sio PM wala Jk wala Bunge wanaoweza kumsafisha Mkapa but ni Wananchi ndio watu pekee wanaweza kufanya hivyo. Kuna haja ya kura za maoni ziitishwe ili tujue kama kweli wananchi wanamchukia Mkapa au vipi??

BWM, alifanya mengi mazuri ya kuzungumzwa na yanapaswa kuendelezwa. Kuitwa second JKN ni haki yake, kuitwa msomi ni haki yake, kuitwa mwanadiplomasia makini ni haki yake, kuitwa kiongozi shupavu ni haki yake na kuitwa mwokozi wa pili wa Tanzania baada ya JKN ni haki yake.