Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

Nimemwona kwenye Tuzo za wanamichezo bora wa 2010,Jamaa ana point,anajiamini na anajua anachokiongea.Mkapa juko juu sana,amesema uwanja wa mkuu wa Taifa ni jitihada zake.Atakumbukwa daima,anayekaribiana nae ni Dr Slaa tu
 
Kwangu mimi atabaki kama raisialiependa kulifanya taifa bora alipinga pesa kutokua na thamani mkapa ndie huyo alipunguza deni kubwa la nchi
 
Huenda mimi siyo mtanzania kwa vile sintamkumbuka Mkapa kwa lolote jema kama anavyotaka, ila labda kwa mabaya tu. Baya zaidi ya yote lilikuwa lile la kumruruhusu huyu Bulicheka kuwa rais wetu.

Ahsante sana Mkuu. Alipoomba alikuwa mnyenyekevu sana na baada ya kuingia Ikulu tu akaunda tume ya Warioba ya kuchunguza rushwa kisha ripoti yake ilipotolewa akaamua kutoitoa hadharani wala kuifanyia kazi.

Aliita awamu yake "Awamu ya uwazi na ukweli" kumbe hakukuwa na uwazi wala ukweli wowote zaidi ya kutuibia Watanzania ili kujitajirisha yeye, familia yake, ndugu wa karibu, jamaa na marafiki kwa kutumia rasilimali za Watanzania. Hastahili kukumbukwa kwa lolote huyu.
 
Baada ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimenunuliwa na genge la mtandao kumsakama sana kwa habari nyingi za kumponda. Mkapa aliwahi sema maneno machache sana kuwa Watanzania tutamkumbuka.

Kwa kweli hali ya nchi iliyopo saizi hakika jamaa tutamkumbuka tu, tutake tusitake. Nchi kila kitu kinaenda hovyo, na wanaonufaika ni wachache waliokuwa vinara wa hilo genge. Hakika sipati picha itakapofika 2014 hali itakuwaje. Saizi hela haina thamani kabisa, naamini soon BOT itaprint note zingine za elfu 20 na elfu 50. Ki ukweli buku 10 haina thamani tena. Ukishachenji imeisha.

Nchi huwa haiongozwi kwa blabla bali inahitaji commitment ya hali ya juu sana.
Kila la kheri.....

tutamkumbuka kwa mazuri mengi lakini pia aliuza nyumba za serikali, EPA, IPTL na alianzisha kampuni akiwa ikulu (ANBEN) na kujipa mgodi wa kiwira kwa bei ya ashkrimu ipo siku atapanda kizimbani kujibu madudu hayo yaliyofanyika chini ya utawala wake, Mkapa asichukulie udhaifu wa kikwete ambaye ni mwana magamba mwenzake kuwaaminisha watanzania kuwa yeye alikuwa ni kiongozi mzuri kwa watanzania
 
Mtu anayefanya tumkumbuke Mkapa kwa mazuri ni JK.Jyes bcs he is not performing.

Mrithi wa JK itabidi afanye nini ili tumumbuke JK kwa mazuri.

teh teh teh
 
Baada ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimenunuliwa na genge la mtandao kumsakama sana kwa habari nyingi za kumponda. Mkapa aliwahi sema maneno machache sana kuwa Watanzania tutamkumbuka.

Kwa kweli hali ya nchi iliyopo saizi hakika jamaa tutamkumbuka tu, tutake tusitake. Nchi kila kitu kinaenda hovyo, na wanaonufaika ni wachache waliokuwa vinara wa hilo genge. Hakika sipati picha itakapofika 2014 hali itakuwaje. Saizi hela haina thamani kabisa, naamini soon BOT itaprint note zingine za elfu 20 na elfu 50. Ki ukweli buku 10 haina thamani tena. Ukishachenji imeisha.

Nchi huwa haiongozwi kwa blabla bali inahitaji commitment ya hali ya juu sana.

Kila la kheri.....

Sikubaliani na wewe hata mara moja. Mkapa, Mwinyi na huyu jk wote ni mafisadi na kama mnataka kulinganisha viongozi angalieni viongozi waliofanikiwa duniani na tuache to put low target za achievements. Kitu cha kuangalia ni nini maana ya leadership? Mkapa na jk wote walichokifanya ni kuendeleza siasa za kuficha siri na kuwaibia watanzania. Vitu vingapi Mkapa kafanya Tanesco? Vitu vingapi Mkapa ameharibu Bank Kuu? Huo wizi wa rada kafanya nani? Migodi na wizi wa madeni kafanya nani? Mtu yeyote aliesimamia ccm baada ya nyerere wote ni mafisadi ya hali ya juu, unafikiri kwanini jk anazuia kuchunguzwa kwa Mkapa? Haya maswala ya kuwa na upeo mdogo wa kisiasa na exposure ndizo zinawafanya watanzania kuona mkapa ni afanyadhali kwa sababu Tanzania wananchi hawajawahi kuona viongozi wa maana, please do some researches na siku hizi kuna bunch of infom online utapata inform nyingi kuhusu viongozi wa dunia. Mkapa alikuwa ana-manipulate currency na kilichomtukuta jk ni kwamba kaingia kwa kuiba kura, this mess him up real bad. Why not placing a bar to Mandela, Obama, Mills of Ghana, Kofi Annan, Nyerere, Lula da Silva of Brazir and others?

"Mind is real a terrible thing to waste"
 
FOR sure President Benjamin Mkapa wa an intelligent person, more focused, pragmatic and with clear vision.During his leadership the national economy prospered, he controled economic shocks such as inflation.And above all, President Mkapa maintained a highest level of discpline within his party.Nowadays things are falling apart in every aspect of life, poor eduation quality, skyrocketing commodity prices, rampant corruption and indiscipline within the state machinery.Kwa kweli tuna kila sababu ya kumkumbuka Mkapa.

You have just exposed one side of him, however Mkapa is the same man who engineered and campaingned for Kikwete, Tanzanians are suffering because of his political machines, we all know that Kikwete was no match to Malecela and company but because of his ruthless and arrogant tactics Mkapa stole the show and put his right hand man Kikwete for sure we will remember him .
God Bless Tanganyika
Chama Gongo la Mboto DSM
 
Hata Mwinyi nae alitamka maneno hayo-hayo wakati anazunguka nchi nzima kuaga wananchi kuwa 'MTANIKUMBUKA'.

Mh nini Mwinyi, JK mwenyewe alisema kwenye kampeni za mwaka 2010 kuwa Watanzania tutamkumbuka

BWM alianza vizuri, akamaliza vibaya, so mara nyingi mabaya ndio yanakumbukwa, lakini pia ukimaliza vibaya, ndio noma zaidi. Alijua JK ana hamu ya kuwa raisi kwa njia yoyote, wakati uwezo wa kuongoza katika nafasi ya uraisi hakuwa nao, so alitakiwa kummaliza nguvu toka mwanzoni. Kifo cha Dr Omari, makamu wa raisi wa BWM kilivuruga sana, na si ajabu juju lilitembea kumuondoa Dr Omari. He was a perfect president for our country after Mkapa!!!!!

Kosa kubwa alilofanya Mkapa ni kuua upinzani. Hakuona mbali kuwa siasa za ushindani zinaweza kuleta tija, akaumaliza upinzani kabisa kabisa. HILO NI DOA KUBWA SANA NA HALITAFUTIKA. LEO HII TUNGEKUWA NA STRONG OPPOSITION KAMA SIO UBABE WAKE--SHAME ON HIM
 
Why should Tanzanians remember him after all the evils he did to them ? He left behind litany of scandals EPA,KIWIRA,KIKWETE REGIME,NET GROUP,he suffocated press freedom,
And with his inborn arrogance we Tanzanians could only wish him BALAA.
 
Tutamkumbuka kwa kuwakabidhi nchi yetu Freemasons, otherwise sioni lolote la maana.
Baada ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimenunuliwa na genge la mtandao kumsakama sana kwa habari nyingi za kumponda. Mkapa aliwahi sema maneno machache sana kuwa Watanzania tutamkumbuka.

Kwa kweli hali ya nchi iliyopo saizi hakika jamaa tutamkumbuka tu, tutake tusitake. Nchi kila kitu kinaenda hovyo, na wanaonufaika ni wachache waliokuwa vinara wa hilo genge. Hakika sipati picha itakapofika 2014 hali itakuwaje. Saizi hela haina thamani kabisa, naamini soon BOT itaprint note zingine za elfu 20 na elfu 50. Ki ukweli buku 10 haina thamani tena. Ukishachenji imeisha.

Nchi huwa haiongozwi kwa blabla bali inahitaji commitment ya hali ya juu sana.

Kila la kheri.....
 
Akumbukwe kwa nini naye huyo? Kuna tofauti gani ya maisha baina ya utawala wake na ule wa Mwinyi na Kikwete? Rumba bado ni kali tu na Tanzania hatujawahi kuwa na ahueni ya maisha hata siku moja. Na hapo wala sijagusia mambo mengine….

Mkuu ukishindwa kutofautisha maisha ktk awamu hizo 4 wewe si mtanzania inawezekana kabisa ni FOREIGNER.
 
Mimi nitamkumbuka kwa yafuatayo:
  • kudhibiti mfumuko wa bei, aliingia madarakani sukari ikiwa sh. 400 na aliondoka miaka 10 baadaye ikiwa sh.400
  • ujenzi wa barabara, dar-mwanza, shinyanga-bukoba, dar -kusini + daraja la mkapa,na nyingine nyingi
  • ujenzi wa shule za sekondari kila kata
  • mfanya kazi wa serikali aliheshimika
  • kimsingi mambo yake yanapimika
  • ujenzi wa uwanja wa mpira wa mguu (taifa -dar), nashindwa ni kuelewa ni kwa nini haujaitwa kwa jina lake
Baba Mkapa tutakukumbuka daima
 
Huenda mimi siyo mtanzania kwa vile sintamkumbuka Mkapa kwa lolote jema kama anavyotaka, ila labda kwa mabaya tu. Baya zaidi ya yote lilikuwa lile la kumruruhusu huyu Bulicheka kuwa rais wetu.

Bulicheka? teh teh teh!
 
Mimi ninamkumbuka kwa sababu huyu jamaa tuliyanaye sasa ni dhaifu sana.kuliko yeye lakin ni muendelezo wa madudu ya ccm,lakini mkapa alikua mkandamizaji no.1 wa vyombo vya habari for sure!
 
You have just exposed one side of him, however Mkapa is the same man who engineered and campaingned for Kikwete, Tanzanians are suffering because of his political machines, we all know that Kikwete was no match to Malecela and company but because of his ruthless and arrogant tactics Mkapa stole the show and put his right hand man Kikwete for sure we will remember him .
God Bless Tanganyika
Chama Gongo la Mboto DSM
I think chama you are a little bit out of Tanzaian politics if you had known you would not say this.I advice you to go a little bit deeper into it.
 
Baada ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimenunuliwa na genge la mtandao kumsakama sana kwa habari nyingi za kumponda. Mkapa aliwahi sema maneno machache sana kuwa Watanzania tutamkumbuka.

Kwa kweli hali ya nchi iliyopo saizi hakika jamaa tutamkumbuka tu, tutake tusitake. Nchi kila kitu kinaenda hovyo, na wanaonufaika ni wachache waliokuwa vinara wa hilo genge. Hakika sipati picha itakapofika 2014 hali itakuwaje. Saizi hela haina thamani kabisa, naamini soon BOT itaprint note zingine za elfu 20 na elfu 50. Ki ukweli buku 10 haina thamani tena. Ukishachenji imeisha.

Nchi huwa haiongozwi kwa blabla bali inahitaji commitment ya hali ya juu sana.

Kila la kheri.....

Itatuchukuwa muda mrefu kupata rais kama mkapa umakini wake na kutopenda kuchekacheka na nyani vilifanya serikali yake ijipatie heshima nchini hata nchi za nje. Hivyo mkapa nitamkumbuka sana tu.
 
You have just exposed one side of him, however Mkapa is the same man who engineered and campaingned for Kikwete, Tanzanians are suffering because of his political machines, we all know that Kikwete was no match to Malecela and company but because of his ruthless and arrogant tactics Mkapa stole the show and put his right hand man Kikwete for sure we will remember him .
God Bless Tanganyika
Chama Gongo la Mboto DSM

Acheni kuzuga watu.

Kikwete mlimpenda ninyi wote, tena nyie vigeugeu baada ya kuingia mkenge ndo mnataka kumrushia kwamba Mkapa ndo alimpigia more than 80% za vote?

Kwani 2015 JK akimpigia kampeni Chenge mtampa 80% za vote? Kifupi alishiriki kidogo ktk kampeni kwa sababu angemkataa JK wakati huo naamini mgemtoa macho Mkapa, ninyi leo mnaojidai mnauchungu na nchi.

Tatizo ni kufanya na kufuata siasa za MIZUKA ndo kina cost nchi hii. angalia Mzuka wa Mrema thanks to Nyerere, Mzuka wa Kikwete na sahizi mzuka wa Slaa.
 
Back
Top Bottom