Ni kweli kabisa hata ndani ya familia baba akiwa dhaifu ni hatari sana mkapa alisimama kiukweli kama alikwiba basi alijua kula na vipofu kiliko haya eti hata lizimoja anajichukulia tu rasilimali za watanzania kweli tz imekua shamba la bibi wezi wakubwa wanyonyaji viongozi nyinyi hamuogopi hata mungu mnajilimbimizia mali huku umati wa watanzania ukiangamia kwa umasikini vifo elimu duni afya mbovu mtanzania mtumwa ndani ya nchi yake ananyanyaswa anateswa ole wenu enyi viongozi wa dunia msotoa hukumu ya khaki kwa mara ya kwanza naichukia ccm kwa mara ya kwanza namchukia baba mkubwa huyu nilizani tabasam lile ni huruma na upendo kumbe anatumaliza huku anatuchekea nawe mama cholo msaidizi gani usiyemwambia mume hili hapana unakose mpz ktk hali ya mahaba i hate you
wote hovyoooo
sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
Benjamin Mkapa alikuwa ni Reformer,alijitahidi kufanya reforms nyingi sana alipoingia madarakani,na moja ya hizo ni local government reforms,ni maoni yangu kama Serikali ya awamu ya 4 ingeendeleza pale alipoishia sasa hivi tungekuwa tunaongelea mambo mengine,alikuwa na mapungufu yake pia lakini alijitahidi sana.He is a reformer na ana sifa za kuwa reformer,hataki mchezo,na Rais ajae wa Tanzania itambidi afanye radical Economic and Political reforms kwa kweli kututoa hapa tulipo..
mkapa was better than mwinyi and kikwete
Mimi namkumbuka kwa yafuatayo;
1. Kuuza NBC kwa bei ya kutupa kwa makaburu
2. Kupora mgodi wa Kiwira
3. Mauaji ya wapemba
4. Kifo cha Mwalimu Nyerere
5. Vifo vya watanzania kwenye ajali za MV Bukoba na Ajali ya Treni Dodoma
6. NET Group Problem
7. Kukimbia asili yake na kwenda kuweka makazi Lushoto - jasiri haachi asili
8. Baba wa Taifa wa ufisadi wote nchi hii
Nina mengi ya kumkumbuka Mkapa hayo machache tu, kweli ninamkumbuka nadhani ametuachia urithi mzuri wa ufisadi
Umemaliza mkuu !!Umeongea ukweli mtupu. Tatizo la wachangiji wa mada hii naona kama vile hawana info na kumbukumbu za serikali ya mkapa au wanaukwepa ukweli ya mambo makusudi. Watz wengi hatutafiti mambo kupata uharisia wake badala yake uongozwa na ushabiki, itikadi za vyama, dini na ukanda. Jeuri na matumizi ya hovyo ya mali za umma, ufisadi na uzalilishaji wa viongozi wa vyama vya upinzania vilishamili sana ktk utawala wa Ben Mkapa. Watu waongelea kukua kwa uchumi wakati wa Ben lkn wanasahau miundombinu ya reli zetu zimekufa mikononi mwake! Jeuri ya viongozi wa serikali kujimilikisha mali za umma kama magari na nk kwa majina yao binafsi! Viongozi kujiuzia nyumba za umma ktk maeneo nyeti ktk miji mbalimbali nchi hasa DSM. Ufisadi wote mkubwa unaoliteza taifa kwa kiasi kikubwa ulipaliliwa na serikali ya Ben na CCM ya
ke.
Baada ya vyombo vya habari vilivyokuwa vimenunuliwa na genge la mtandao kumsakama sana kwa habari nyingi za kumponda. Mkapa aliwahi sema maneno machache sana kuwa Watanzania tutamkumbuka.
Kwa kweli hali ya nchi iliyopo saizi hakika jamaa tutamkumbuka tu, tutake tusitake. Nchi kila kitu kinaenda hovyo, na wanaonufaika ni wachache waliokuwa vinara wa hilo genge. Hakika sipati picha itakapofika 2014 hali itakuwaje. Saizi hela haina thamani kabisa, naamini soon BOT itaprint note zingine za elfu 20 na elfu 50. Ki ukweli buku 10 haina thamani tena. Ukishachenji imeisha.
Nchi huwa haiongozwi kwa blabla bali inahitaji commitment ya hali ya juu sana.
Kila la kheri.....