Me naona haina haja ya kulaum uislam kwa k uchoma moto makanisa coz kwenye misafu yao hakuna mahali palipo andikwa wachome makanisa mi naona ni janja ya kina ponda,farid etc
Najua kwamba una Jazba na Chuki ktk nafsi yako dhidi ya Waislamu. Lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba hayo mawazo ulonayo ni ya kipuuzi na kishenzi. Nitakwamibia ni kwanini.
1. Kama kweli wewe unapenda amani, hapa usingemtukana Sheikh Ponda kwa kumwita mpumbavu. Bilashaka ww ndiye mpumbavu.
2. Unapozungumzia eti muislamu mwenye PhD hawezi kushiriki kwenye maandamano, Je, ww una orodha ya walioshiriki kwenye maandamano? Na unaposema eti hawavai suruali fupi, naomba utambue kwamba kuvaa kwa suruali fupi ama ndefu si kwa lengo la kuchafuka ama kutochafuka kwa miguu ya mvaaji. Je, unataka tukutajie majina ya wenye PhD na MaProfesa wanaovaa suruali fupi??
3. Hivi! Kwa akili yako ulikuwa unategemea kwamba waislamu wote wangeshiriki kwenye hilo lililofnywa na Sheikh Ponda?
Nafikiri kama umesoma/unasoma utakuwa unafahamu kidogo kuwa kwenye taasisi au mradi wowote lazima kuwe na HUMAN RESOURCE na NON-HUMAN RESOURCE. Sasa hao unaowaona wewe hawashiriki kwenye mambo kama hayo ujue kuna namna ambavyo wao wanashiriki.
Achana na Chuki na Roho mbaya.
Tell me dear friend, serikali ikipambana na mtu anayehamasisha watu kuvamia viwanja vya watu na kuvunja uzio kisha kusimama majukwaani na kusema this is the way, itakuwa inapambana na Uislamu au na ujambazi wa kutumia silaha?
Ni haki ya watu fulani kuvunja makanisa na kuyachoma moto?
In this world muslims have failed to identify their real enemy, what do the buildings have to do we the urination on the quran? I7 the the love/command of your Allah that "kill". This is likely to resemble the "LUDISM"
lazima mtamkumbuka mkapa kwa sababu kama ni kuwaua waislamu basi aliwaua sana halafu kitu ninachojifunza hapa ni kwamba makafiri wa kikristo mnapenda kuona waislamu wakinyanyaswa basi na hata hiyo 2015 akipatikana rais kafiri mapambano yataendelea tu
Sheikh Maulid Bin Kafiir (Daniel), kutokana na upeo wako juu ya mgogoro unaoendelea hivi sasa hapa tanzania, tafadhali naomba uniambie ni nini haswa mnachokipigania. Na mnanyanyaswa kivipi? Maana kama ni shule kila mmoja wetu aliweza kusoma bure enzi za Nyerere, wazazi wenu kutokana na ignorance yao waliona shule haina umuhimu katika maisha yenu bali madrasat. Sasa unataka uajiliwe serikalini kwa kujuwa Quran tu? Na nani atakaye kuajili wewe kwa elimu ya Mohammed na wafuasi wake? Jamani, rudini shule mtoe matongotongo japo hata kidogo
Sheikh maulid bin kafiri''''!!!! Nimeipenda hiyo
Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....
Wewe huna akili kabisa