Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

Tell me dear friend, serikali ikipambana na mtu anayehamasisha watu kuvamia viwanja vya watu na kuvunja uzio kisha kusimama majukwaani na kusema this is the way, itakuwa inapambana na Uislamu au na ujambazi wa kutumia silaha?

Ni haki ya watu fulani kuvunja makanisa na kuyachoma moto?

Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!
 
Ukiona simba amekula binadamu basi kuna tatizo wala tatizo sio simba....
 
Mkapa alikuwa na maamuzi huwezi mfananisha na BABA RIZ anayewaza kuwaweka watoto na vimada wake madarakani
 
Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....

wewe acha kutisha watu waislam ni nani mpaka washikilie amani ya nchi hii?ni nani anachoma makanisa?kama c chuki,wivu,ubinafsi dhidi ya wakristo ndo dini ya kislam inavyotaka mi nakerwa na hali ya uvunjivu wa amani wanaofanya waislam.hii ni imani ya ajabu sana duniani na tanzania.ona somalia,sudan,nigeria nk yanayofanyika huko ndo wanaleta hapa...alaf unasema wavumilivu?naona wakristo ndo wavumilivu nchi hii mtu wanavamia makanisa yao wanaishia kusamehe ki ujumla nawaona ni wavunjifu wa amani
 
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!

Hata mimi sikusema dini ya mtu, nilizungumzia Ponda na UAMSHO.

Namjua Ponda kwa uchochezi wake na si kwa dini yake. Hayo ya dini ya Ponda mimi sijayasema.

Naijua UAMSHO kwa kadhia iliyofanya Zanzibar na sio kwa dini yake.

Wewe umerukia kwenye dini kwa kuwa ndio silaha ya watu wajinga. Facts kwao hazina maana zaidi ya imani. Ukifuata facts utakubaliana na mm kuwa Ponda ni mpumbavu na ndio maana anaamini kuwa haki yake ataipata kwa mnunuzi badala ya aliyeuza.

Kuhusu wasomi, huo ni upuuzi mkubwa mkuu. Jambo lililofanyika haliwezi kamwe kufanywa na mtu mwenye elimu nyingine zaidi ya ile aliyonayo Ponda. Hebu niambie ikiwa unaamini yule Dr. Twalib Ngoma anaweza kwenda na kundi la watu kudai mali ya waislamu ambayo tayari imeshauzwa?

Hata wewe ni mjinga, nitakwambia kwa nini. Kama unadhani kuna wasomi wa imani kama yako, mbona usijiulize kwa nini wao hawashiriki mambo yale aliyofanya Ponda kama si kwa sababu ni mambo ya kijinga?

Wote walioko pale na walioshiriki vurugu hizi ni vijana waliofeli maisha baada ya kuzaliwa wengi kwa mzazi mmoja kiasi resources hazikutosha kuwaendeleza, wamama waliokata tamaa ya maisha na wanazuoni wa madrasa ambao madarsa ya elimu ya magharibi yamewaacha, kama alivyo Ponda mwenyewe.

Sidhani mtu na PhD unayoisema anaweza kuvaa suruali fupi. Atajiuliza tu maswali madogo; nivae suruali ichafuke mguu ubakie safi au nivae fupi isichafuke lkn mguu ujae vumbi.

Mwenye PhD anajua kuwa ukimpa Juma mali akulindie, Juma akaiuza kwa Jabiri basi unayetakiwa kumdai ni Juma na sio kwenda kumfanyia fujo Jabiri.

Kutetea ujinga hakuwezi kufanywa na mtu mwenye akili
 
Najua kwamba una Jazba na Chuki ktk nafsi yako dhidi ya Waislamu. Lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba hayo mawazo ulonayo ni ya kipuuzi na kishenzi. Nitakwamibia ni kwanini.
1. Kama kweli wewe unapenda amani, hapa usingemtukana Sheikh Ponda kwa kumwita mpumbavu. Bilashaka ww ndiye mpumbavu.
2. Unapozungumzia eti muislamu mwenye PhD hawezi kushiriki kwenye maandamano, Je, ww una orodha ya walioshiriki kwenye maandamano? Na unaposema eti hawavai suruali fupi, naomba utambue kwamba kuvaa kwa suruali fupi ama ndefu si kwa lengo la kuchafuka ama kutochafuka kwa miguu ya mvaaji. Je, unataka tukutajie majina ya wenye PhD na MaProfesa wanaovaa suruali fupi??
3. Hivi! Kwa akili yako ulikuwa unategemea kwamba waislamu wote wangeshiriki kwenye hilo lililofnywa na Sheikh Ponda?
Nafikiri kama umesoma/unasoma utakuwa unafahamu kidogo kuwa kwenye taasisi au mradi wowote lazima kuwe na HUMAN RESOURCE na NON-HUMAN RESOURCE. Sasa hao unaowaona wewe hawashiriki kwenye mambo kama hayo ujue kuna namna ambavyo wao wanashiriki.

Achana na Chuki na Roho mbaya.
 
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!

Acha UONGO wako, hivi sasa wewe ni mtu mzima na unachokiongea hakiendani kabisa na umri wako!
 
Nimeipenda hii m4c movement for church. Kumbe ndo maana mnaoanisha uamsho na dini
 
Hata mimi sikusema dini ya mtu, nilizungumzia Ponda na UAMSHO.

Namjua Ponda kwa uchochezi wake na si kwa dini yake. Hayo ya dini ya Ponda mimi sijayasema.

Naijua UAMSHO kwa kadhia iliyofanya Zanzibar na sio kwa dini yake.

Wewe umerukia kwenye dini kwa kuwa ndio silaha ya watu wajinga. Facts kwao hazina maana zaidi ya imani. Ukifuata facts utakubaliana na mm kuwa Ponda ni mpumbavu na ndio maana anaamini kuwa haki yake ataipata kwa mnunuzi badala ya aliyeuza.

Kuhusu wasomi, huo ni upuuzi mkubwa mkuu. Jambo lililofanyika haliwezi kamwe kufanywa na mtu mwenye elimu nyingine zaidi ya ile aliyonayo Ponda. Hebu niambie ikiwa unaamini yule Dr. Twalib Ngoma anaweza kwenda na kundi la watu kudai mali ya waislamu ambayo tayari imeshauzwa?

Hata wewe ni mjinga, nitakwambia kwa nini. Kama unadhani kuna wasomi wa imani kama yako, mbona usijiulize kwa nini wao hawashiriki mambo yale aliyofanya Ponda kama si kwa sababu ni mambo ya kijinga?

Wote walioko pale na walioshiriki vurugu hizi ni vijana waliofeli maisha baada ya kuzaliwa wengi kwa mzazi mmoja kiasi resources hazikutosha kuwaendeleza, wamama waliokata tamaa ya maisha na wanazuoni wa madrasa ambao madarsa ya elimu ya magharibi yamewaacha, kama alivyo Ponda mwenyewe.

Sidhani mtu na PhD unayoisema anaweza kuvaa suruali fupi. Atajiuliza tu maswali madogo; nivae suruali ichafuke mguu ubakie safi au nivae fupi isichafuke lkn mguu ujae vumbi.

Mwenye PhD anajua kuwa ukimpa Juma mali akulindie, Juma akaiuza kwa Jabiri basi unayetakiwa kumdai ni Juma na sio kwenda kumfanyia fujo Jabiri.

Kutetea ujinga hakuwezi kufanywa na mtu mwenye akili

Kudos mkuu!yaan 'LIKE'umemaliza
 
Akiondoka madarakani, Rais Benjamin Mkapa alisema maneno ambayo pengine tuliyaona ya 'kizaramo' sana na hatukuyatilia maanani, lkn naamini sasa yamepata maana akilini mwetu; MTANIKUMBUKA!

Naamini kuwa si Ponda wala UAMSHO wangekuwa na jeuri ya kuipa Serikali ULTIMATUM kwa mambo ambayo sheria na taratibu za nchi zinaelekeza vyema yafanyikaje. Hapa pia namkumbuka Mkapa.

Binafsi naamini Ponda na Uamsho wasingefanya wanavyofanya endapo nchi hii ingekuwa haiongozwi Ki-ubwana Yakhe. Kwa hili nitamkumbuka Mkapa.

Ni imani yangu yapo mengi tu ambayo kwayo Mkapa atakumbukwa. Mazuri kwa mabaya lkn yeto juu ya yote, TUNAMKUMBUKA.

Hali ya sintofahamu juu ya amani ya nchi yetu ni sababu nyingine itanifanya nimkumbuke Rais Mkapa. Naamini kama Mkapa angekuwa magogoni, yule mjane wa Malawi asingetutukana tukicheka na kutabasamu.

Dharau sasa zinatoka nje na ndani ya nchi. Tunadharauliwa hadi na wamama wajane wasio na waume, watu wasioenda shule na magaidi wadogo wadogo wa visiwani.

Mungu umeibariki Tanzania tangu umbiko lake, lkn mbona sasa umeitupa?

Umeongea ya ukweli ila binafsi simkumbuki Mkapa. Sikia, chanzo cha vurugu ndani ya nchi kama hivi sasa hapa Tanzania ni 'Bad Governance,' popote pale duniani nchi ikiongozwa na kiongozi mzembe asiyekuwa na msimamo hata sisimizi watatamba mbele ya mchwa kujivunia wingi wao. Si muheshimiwa karudi kula tende uarabuni jana, basi subirini kama hajakuja kwenye live TV hivi karibuni huku akituchekea, sasa sijuwi anakuwa anatusanifu au vipi. Huyu jamaa wala hana sifa za uongozi kabisa na hii nchi ilimshinda toka miaka kumi iliyopita ila basi tu ana uchu wa madaraka ili aendelee kutuibia. Mwinyi ni muislam, lakini aliendesha nchi kwa makini na uchungu zaidi mpaka akaleta ukapitalisti na watu wakamkumbuka kwa kumbatiza Mze wa ruksa ila ujinga kama unaofanywa sasa na hawa wahuni kulikuwa hakuna kwa sababu Mwinyi alikuwa na msimamo.
 
lazima mtamkumbuka mkapa kwa sababu kama ni kuwaua waislamu basi aliwaua sana halafu kitu ninachojifunza hapa ni kwamba makafiri wa kikristo mnapenda kuona waislamu wakinyanyaswa basi na hata hiyo 2015 akipatikana rais kafiri mapambano yataendelea tu
 
Mkapa alikuwa na maamuzi huwezi mfananisha na BABA RIZ anayewaza kuwaweka watoto na vimada wake madarakani

Ni kweli, anaweka watoto wa vimada na vimada wake madarakani matokeo yake serikali inakuwa haina watu wenye ujuzi kwenye taasisi zake kwa ajili ya huu ujinga. We have too many incompetent people hapa nchini na ndiyo maana ukienda kufuatilia jambo fulani kwenye hizi taasisi utaambiwa muhusika hayupo katoka kidogo sasa wewe unayeniambia muhusika hayupo kazi yako nini? Ukifuatilia, utakuta Mze mzima kamweka pale ili ajaze namba. Yaani unaajiri mtu kutokana na kumchapa mama yake?
 
Akiondoka madarakani, Rais Benjamin Mkapa alisema maneno ambayo pengine tuliyaona ya 'kizaramo' sana na hatukuyatilia maanani, lkn naamini sasa yamepata maana akilini mwetu; MTANIKUMBUKA!

Naamini kuwa si Ponda wala UAMSHO wangekuwa na jeuri ya kuipa Serikali ULTIMATUM kwa mambo ambayo sheria na taratibu za nchi zinaelekeza vyema yafanyikaje. Hapa pia namkumbuka Mkapa.

Binafsi naamini Ponda na Uamsho wasingefanya wanavyofanya endapo nchi hii ingekuwa haiongozwi Ki-ubwana Yakhe. Kwa hili nitamkumbuka Mkapa.

Ni imani yangu yapo mengi tu ambayo kwayo Mkapa atakumbukwa. Mazuri kwa mabaya lkn yeto juu ya yote, TUNAMKUMBUKA.

Hali ya sintofahamu juu ya amani ya nchi yetu ni sababu nyingine itanifanya nimkumbuke Rais Mkapa. Naamini kama Mkapa angekuwa magogoni, yule mjane wa Malawi asingetutukana tukicheka na kutabasamu.

Dharau sasa zinatoka nje na ndani ya nchi. Tunadharauliwa hadi na wamama wajane wasio na waume, watu wasioenda shule na magaidi wadogo wadogo wa visiwani.

Mungu umeibariki Tanzania tangu umbiko lake, lkn mbona sasa umeitupa?

In this world muslims have failed to identify their real enemy, what do the buildings have to do we the urination on the quran? I7 the the love/command of your Allah that "kill"
 
Akiondoka madarakani, Rais Benjamin Mkapa alisema maneno ambayo pengine tuliyaona ya 'kizaramo' sana na hatukuyatilia maanani, lkn naamini sasa yamepata maana akilini mwetu; MTANIKUMBUKA!

Naamini kuwa si Ponda wala UAMSHO wangekuwa na jeuri ya kuipa Serikali ULTIMATUM kwa mambo ambayo sheria na taratibu za nchi zinaelekeza vyema yafanyikaje. Hapa pia namkumbuka Mkapa.

Binafsi naamini Ponda na Uamsho wasingefanya wanavyofanya endapo nchi hii ingekuwa haiongozwi Ki-ubwana Yakhe. Kwa hili nitamkumbuka Mkapa.

Ni imani yangu yapo mengi tu ambayo kwayo Mkapa atakumbukwa. Mazuri kwa mabaya lkn yeto juu ya yote, TUNAMKUMBUKA.

Hali ya sintofahamu juu ya amani ya nchi yetu ni sababu nyingine itanifanya nimkumbuke Rais Mkapa. Naamini kama Mkapa angekuwa magogoni, yule mjane wa Malawi asingetutukana tukicheka na kutabasamu.

Dharau sasa zinatoka nje na ndani ya nchi. Tunadharauliwa hadi na wamama wajane wasio na waume, watu wasioenda shule na magaidi wadogo wadogo wa visiwani.

Mungu umeibariki Tanzania tangu umbiko lake, lkn mbona sasa umeitupa?

In this world muslims have failed to identify their real enemy, what do the buildings have to do we the urination on the quran? I7 the the love/command of your Allah that "kill". This is likely to resemble the "LUDISM"
 
Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....
Siyo kupambana na uislam bali kupambana na Hooliganism. uislam gani wa kuchoma na kuiba vitu makanisani? Kama kufumbia macho vitendo viovu ni busara , yamkini basi hili neno "busara" linatakiwe liwe redefined.
 
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!

Kusoma ni kitu kimoja na kuelimika ni kitu kingine, na kujua kuwa mtu amesoma na kuelimika unaona matokeo ya anayoyafanya. Waislam wamesoma sana bali bado hawajaelimika! Kukojolewa Quoran, unachoma makanisa ya aina tatu tofauti, huyo mtuhumiwa anasalije katka makanisa hayo yote? Mmesomea kuwachukia wenzenu? Kwa ujumla mnatia aibu.
 
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!

wewee uwez fananisha idad ya wasomi wa kiislam na kikristo,waislam wangekua wamesoma usingekuta wanafanya upuuz kama wanaofanya ckuzote! Hata uwezo kiakili ni mdogo ndo mana hua wanalalamika eti wanafelishwa ktk mitihani ya taifa,watoto wao badala ya kuwakazania shule wenyewe wanawakazania madrasa wakat watoto wa kikristo wanashinda tuisheni.kazi ni kushinda kusheza bao na kunywa kahawa siku nzima.
 
Ikumbukwe kuwa Mkapa ndiye aliye wa radicalize Waislamu na mabomu yake ya Mwembechai! Wakristo kama wangelijua hili basi leo hii wangekuwa wakimlaani Mkapa badala ya kumsifu.
Nyerere na ujanja wake wote alikuwa makini sana kuhakikisha mask yake ya udini haimvuki mbele ya Waislamu.
Kama Tanzania ilikuwa bikira basi jana imevunjwa Kariakoo...chagueni raisi mwingine dizaini ya Mkapa 2015 kama hamtakuja kumkumbuka JK.
 
Najua kwamba una Jazba na Chuki ktk nafsi yako dhidi ya Waislamu. Lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba hayo mawazo ulonayo ni ya kipuuzi na kishenzi. Nitakwamibia ni kwanini.
1. Kama kweli wewe unapenda amani, hapa usingemtukana Sheikh Ponda kwa kumwita mpumbavu. Bilashaka ww ndiye mpumbavu.
2. Unapozungumzia eti muislamu mwenye PhD hawezi kushiriki kwenye maandamano, Je, ww una orodha ya walioshiriki kwenye maandamano? Na unaposema eti hawavai suruali fupi, naomba utambue kwamba kuvaa kwa suruali fupi ama ndefu si kwa lengo la kuchafuka ama kutochafuka kwa miguu ya mvaaji. Je, unataka tukutajie majina ya wenye PhD na MaProfesa wanaovaa suruali fupi??
3. Hivi! Kwa akili yako ulikuwa unategemea kwamba waislamu wote wangeshiriki kwenye hilo lililofnywa na Sheikh Ponda?
Nafikiri kama umesoma/unasoma utakuwa unafahamu kidogo kuwa kwenye taasisi au mradi wowote lazima kuwe na HUMAN RESOURCE na NON-HUMAN RESOURCE. Sasa hao unaowaona wewe hawashiriki kwenye mambo kama hayo ujue kuna namna ambavyo wao wanashiriki.

Achana na Chuki na Roho mbaya.
· Bw. Naipuli fahamu kuwa hakuna Mkristo mwenye chuki na Uislam hapa Tanzania, ingawa kila uchao Muslims mnafanya mihadhara kuukashifu ukristo, hili halina ubishi kwa 7bu hata ww unajua. Shk. Ponda anasemwa vibaya kwa 7bu anayoyatetea ni madai ya kipumbavu kwa hiyo anastahili kuitwa mpumbavu. Kwa akili yako ww mtu anashabikia na kuhamasisha MUSLIMS eti Mufti wa TZ aondolewe kwa nguvu madarakani na kuchinjiliwa mbali, leo hii tumwite mwelevu. Hapana Naipuli, hili haliwezekani!!!!!!!!!!

· Kahamasisha watu (Muslims) kuvamia kiwanja cha mtu kilichouzwa kihalali, naye anajua hilo, je, mtu huyu sio mpumbavu, leo hii tumwite mwelevu. Hapana Naipuli, hili haliwezekani!!!!!!!!!!?

· Kahamasisha Muslims wasishiriki Sensa ya watu na makazi 2012, iliyoitishwa na serikali, kwa kutoa 7bu za kitoto na kijinga. Kumbuka takwimu kwa ajili ya mipango ya maendeleo. Kumbuka takwimu hizi, wasomi wanazohitaji sana. Je, huyu hastahili kuitwa mpumbavu? Hebu tutajia kwa majina ya wasomi wa Kiislam wanaunga mkono ujinga huu katika jamii. Ninakuomba acha ujinga wa kuwachafua wasomi wa Kiislam kwa 7bu ya ushabiki wa kijinga. Bila shaka ww ni mfuasi wa Ponda uko hapa kutetea ujinga wake. je, mtu huyu sio mpumbavu, leo hii tumwite mwelevu. Hapana Naipuli, hili haliwezekani!!!!!!!!!!?
·
Nakutaarifu rasmi kwa project yenu kuleta vita ya kidini hapa TANZANIA imefeli kwa maranyingine, therefore pokea na Nakupa taarifa kuwa na leo hii ninapotuma ujumbe huu WAKRISTO wana mahusiano na WAISLAM na wataendelea na uhusiano wao.
Lkn wale wajinga na wapumbavu wengine mfano wa akina Ponda. Hao nakuassure kuwa watakutana na mkono wa dola, na kwenda kuishi kwenye kambi maalum (jela)

·
muislamu aliyeelimika including mwenye PhD
hawezi kushiriki kwenye maandamano ya kijinga na kipumbavu kama haya ww, ulipata below nini? Inawezekana hata neon PhD hujui ni kitu gani.

· Eti unauliza!!!!!!!!! Je, unataka tukutajie majina ya wenye PhD na MaProfesa wanaovaa suruali fupi?? Taja, unaogopa nini? eboooo!!!

· Waislam wote wenye akili hawezi kushabikia uvunjifu wa amani in the name of islam. No, no, no I say it again no!!!!!!
Wanaoshiriki katika kadhia hii ni wahuni, wajinga na wapumbavu wakiongozwa na Ponda. Serikali ni muhimu akadhibiti uhuni na upumbavu huu katika jamii yetu
 
Back
Top Bottom