ALAIMU
Member
- Jul 4, 2011
- 15
- 1
hata mimi sikusema dini ya mtu, nilizungumzia ponda na uamsho.
Namjua ponda kwa uchochezi wake na si kwa dini yake. Hayo ya dini ya ponda mimi sijayasema.
Naijua uamsho kwa kadhia iliyofanya zanzibar na sio kwa dini yake.
Wewe umerukia kwenye dini kwa kuwa ndio silaha ya watu wajinga. Facts kwao hazina maana zaidi ya imani. Ukifuata facts utakubaliana na mm kuwa ponda ni mpumbavu na ndio maana anaamini kuwa haki yake ataipata kwa mnunuzi badala ya aliyeuza.
Kuhusu wasomi, huo ni upuuzi mkubwa mkuu. Jambo lililofanyika haliwezi kamwe kufanywa na mtu mwenye elimu nyingine zaidi ya ile aliyonayo ponda. Hebu niambie ikiwa unaamini yule dr. Twalib ngoma anaweza kwenda na kundi la watu kudai mali ya waislamu ambayo tayari imeshauzwa?
Hata wewe ni mjinga, nitakwambia kwa nini. Kama unadhani kuna wasomi wa imani kama yako, mbona usijiulize kwa nini wao hawashiriki mambo yale aliyofanya ponda kama si kwa sababu ni mambo ya kijinga?
Wote walioko pale na walioshiriki vurugu hizi ni vijana waliofeli maisha baada ya kuzaliwa wengi kwa mzazi mmoja kiasi resources hazikutosha kuwaendeleza, wamama waliokata tamaa ya maisha na wanazuoni wa madrasa ambao madarsa ya elimu ya magharibi yamewaacha, kama alivyo ponda mwenyewe.
Sidhani mtu na phd unayoisema anaweza kuvaa suruali fupi. Atajiuliza tu maswali madogo; nivae suruali ichafuke mguu ubakie safi au nivae fupi isichafuke lkn mguu ujae vumbi.
Mwenye phd anajua kuwa ukimpa juma mali akulindie, juma akaiuza kwa jabiri basi unayetakiwa kumdai ni juma na sio kwenda kumfanyia fujo jabiri.
Kutetea ujinga hakuwezi kufanywa na mtu mwenye akili
mkuu safi sana ,hoja nzuri sana
tatizo la hawa waislamu,wengi wao badala ya kujenga hoja wanaishia tu kutukana
kwa mfano,badala ya huyo jamaa kukaunta agyu hoja zako nzuri anaishia tu kutukana
sasa hapo kuna elimu kweli. Viongozi waislamu tukianzia na marehemu omari juma hadi sasa shein
,vuai nahodha,dhaifu kikwete,bilali hata kafu mkereketwa ustaadh mandevu kila mara wanawaambia badala ya kulalamika,waislamu wanapaswa kuiga ya wakristo kwa kujenga shule nzuri,vyuo,hospitali
na miundombinu mingine na kuwapeleka wana wao wao shule ili waelimike na kupata nafasi nzuri za ajira na fursa zingine za maendeleo kama wakristo
wao hawafanyi hivyo. Wanaishiaa tu
kujenga vijimadrasa
kila siku kuimba takbir
kuwapeleka wtt madrasa badala ya madarasani
kila siku kulalamikia wakristo
kupongezana ujinga na upumbavu
kuwasikiliza viongozi wao uchwara (ponda na farid) ambao hata hawatambuliwi na jumuia kuu za dini yao
kumtetea mungu(?) kwa kutukana,kuua,na kuharibu miundombinu ya dini nyingine
kuwaita wakristo kafir kumbe hata wao kwa wakristo ni makafir tu
wanashindwa kujua kwamba mungu wanayedai wanamtetea hatetewi kwa mauaji
tatizo jingine ni kwamba jk anawalealea sana hawa. Ingekuwa enzi za komandoo na mkapa mbona wangeipata fresh sana tu (kama walivyoipata fresh kipindi kile hadi wakaenda ukimbizini mombasa shimoni). Huyo ponda mwenyewe alipondwa kwelikweli hadi akakimbilia kwao kigoma kujificha. Karudi juzi kati tu mwanzo wa utawala wa jk.
Wanadekezwa sana hawa. Laiti kama...................