Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Kaomba kupelekwa driving school tu umeshamtangaza,akiomba ubadilishe kadi ya gari isome jina lake je?
Tatizo umenunua Vitz akajua umemnunulia yeye,ungeleta Range wala asingeota kuiendesha.
 
Kaomba kupelekwa driving school tu umeshamtangaza,akiomba ubadilishe kadi ya gari isome jina lake je?
Tatizo umenunua Vitz akajua umemnunulia yeye,ungeleta Range wala asingeota kuiendesha.

He he kantangazeeeeeeeeeee usipontangaza nakutangaza wewe.
Upo my dada nimekumiss
 
hahahahha....kuna mwingine anafungua bonet kabisa kuzuga.......,alafu anajifanya yuko buzy na simu.... mkuu lazima ushakutana nayo hiyo..hehehe ..aisee

Hiyo ni kweli Mkuu, alinipigia simu na kuniambia gari haliwaki, nikamchukua fundi wangu kama unavyojua magari ni kama binadamu, unakuwa na daktari uliyemzoea halafu unamwita Daktari wako kana kwamba anakutibu wewe tu. Sasa kufika fundi akafungua boneti, akaniambia washa gari, na mimi nikiwa na panic, bila kuangalia mshale wa wese nikapiga start, gafla naangalia mshale umelala na taa inawaka, nikamwambia fundi,naona mshale wa mafuta uko chini na taa inawaka. Bahati nzuri kwenye buti kulikuwa na kidumu cha lita 5, ndio kuchukua Boda boda, kuwahi "Victoria" na kurudi kuweka wese gari ikapiga start kama ndio kwanza inaingia kutoka Japan !!!!!
 
wewe siongelei njaa ya tumboni naongelea kwenye walet loh... nikippata kwenye walet tumboni napata pia

Sasa ya tumboni si lazima ianzie kwenye wallet.........kama hutaki we sema tu lakini vitz inatosha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom