Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Hahaha....nilishtukia mkuu, ndio maana nimemtosa....hii daslam hii.

kwendraaaaa huko mbona weye unamla papuchii kila mara..kama amejitoa kwako..na ww si ujitoe kwake? kwanii driving sh ngapiii?mpelekee mwenzio huko ataendesha hata bodaboda kama siyo hiyo vitz yako lol
 
charty. mda bado.......asubiri kwanza.
 
Hiyo mjini nasikiaga wanaita baby walker...japo mimi sina hata baiskeli lakini ndo ivo

Kaizer waiite vyovyote lakini asikuambie mtu bwana...gari ni gari. Fanya mpango upate kamkopo hapo.
 
charty. mda bado.......asubiri kwanza.

asubiri nini! siku hizi tunachangamkia fursa kote kotee!! hata mie nikipata rubani...ntamwambia mchuchu anipeleke nkasomee mafunzo ya urubanii! acha ubahili ww jaman
 
Shangaa wewe mpenzi embu mpe ile link ya magari ya ya 300k achague magari aache kugombania na bidada kijivit

Huko hata sita click...... kwani jamani vitz ndio inagegeda au dushe.......kwani unafikiri huyu mwenzako hawaoni hao wenye hayo ya 300K......katia nanga atiii...kila akichungulia anaondoka na kapu la magoli....
 
asubiri nini! siku hizi tunachangamkia fursa kote kotee!! hata mie nikipata rubani...ntamwambia mchuchu anipeleke nkasomee mafunzo ya urubanii! acha ubahili ww jaman
ha ha ha ha ha charty uwii wnawake tumejielewa haki sawa
 
Hahahahha...Zamaulid umenisoma..........anakuomba round alafu after one week.....anakushusha ofisini alafu yeye anabaki na gari....jioni anakurudia....soma gauge ya mafuta sasa....hehehhe

Mkuu, si afadhali akurudie ofisini mshale wa wese ukiwa chini, mwingine anakupigia simu na kukuambia Dear, gari imeharibika haiwaki, ukienda unamkuta amekaa kivulini anakusubiri, ukiangalia unakuta mafuta yameisha hata hajui kama ni mafuta.
 
if u want me t forgive you give me money now 1,000,000 nataka niende saluni

Ni PM na bank account number yako au M-pesa number yako.......sasa dear with this money are you going to make your hair? or to start your own saluni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom