Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

ni jambo la kujiuliza kwa kweli mpenz wako anaomba umlipie driving school na hana gari je ana maana gani? ataendesha gari gani? au ndo aanze kukusumbua umnunulie gari? my foot
 
Hahaha hebu google...unakaa dar kweli?

hahahahha....aisee. mkuu wewe ni bingwa ......du! huku ntaenda siku moja yaani napenda kigamboni lakini sijawai kufukiria kama kuna sehemu kama hii......mkuu kuna machimbo sana nini huku
 
Acha kabisa tumeona mengi kijana.....hahha sio mbaya siku moja moja ukafika ukajiridhisha...maisha ndo haya haya
 
Ni kweli aisee....ila kigamboni ni pazuri asiee....natafuta nyumba nihamie huko. huwa weekend zangu nyingi napoteleaga huko narudi jumatatu.
 
Ndo umpeleke mchuchu wako uko akajifunze kuendesha vitz bana
 
NAMTUMBA ninunulie vogu nimechoka haka kabebiwoka kako....

Kaizer ninunulie nyumba bunju nitakaa tandale hadi lini?
 
Last edited by a moderator:

Vaislay nilikuagizia Harmer ila Maharamia wameiteka Meli. Lakini usijali tutaenda wkend pale posta mpya kwenye showroom yao tukanunue kitu new brand. Alafu tafuta eneo zuri tuanzishe Yard uakuuzia magari.
 
oooh.... how swit of u my Darling, Ndo mana siachi kukupenda...:mwaaah::mwaaah:
 
Attachments

  • 1459672_514764195287611_1273658191_n.jpg
    1459672_514764195287611_1273658191_n.jpg
    14.2 KB · Views: 41

Similar Discussions

Back
Top Bottom