Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Mkuu, si afadhali akurudie ofisini mshale wa wese ukiwa chini, mwingine anakupigia simu na kukuambia Dear, gari imeharibika haiwaki, ukienda unamkuta amekaa kivulini anakusubiri, ukiangalia unakuta mafuta yameisha hata hajui kama ni mafuta.

hahahahha....kuna mwingine anafungua bonet kabisa kuzuga.......,alafu anajifanya yuko buzy na simu.... mkuu lazima ushakutana nayo hiyo..hehehe ..aisee
 
Ni PM na bank account number yako au M-pesa number yako.......sasa dear with this money are you going to make your hair? or to start your own saluni.

to make ma hair only... i want to facial, nioshe miguu, ninyoe nyele za kwapani na kule.... , nitinde nyusi hapo bado naongeza hela nyingine hiyo haitoshi
 
to make ma hear only... i want to facial, nioshe miguu, ninyoe nyele za kwapani na kule.... , nitinde nyusi hapo bado naongeza hela nyingine hiyo haitoshi

Ok nimekuelewa sasa fanya hivi...hair,facial na miguu nawaachia saluni....za kwapani na kule nletee.......ok nakutumia sa ivi.
 
hapo sawa kakomalia vitz loh.. afu unaweza kuta mrefu na mwili mkubwa akishuka kwenye gari unajiuliza hivi humu ndani ya gari kuna shimo/... loh embu tafuta gari za kiume mpe bidada aendeshe

hahahahaa ya kiume tatizo mkwanja miss chagga
 
Huko hata sita click...... kwani jamani vitz ndio inagegeda au dushe.......kwani unafikiri huyu mwenzako hawaoni hao wenye hayo ya 300K......katia nanga atiii...kila akichungulia anaondoka na kapu la magoli....

Hivi unaelewaje mtu akiandika 300k??
he he magoli yananoga ukitoka hapo utembelee ma.---- si kukimbizana na dalalada
 
ndo umuache ben wa watu azichangechange no matumizi kuanzia sasa lol

Hehehhehe....kwa kweli itabidi iwe ivo maana watu washasema eti gari yangu ni baby walker......watu sio wazuri kabisa
 
Hivi unaelewaje mtu akiandika 300k??
he he magoli yananoga ukitoka hapo utembelee ma.---- si kukimbizana na dalalada

Hahaha sasa...kumbe unajua alafu unajitoa ufahamu tu....mwenzio vitz anaiona kama vogue.....eti ebu nieleweshe hiyo 300k ndio nini....ntoe ushamba ushamba dear.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom