Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

teh teh ndo wanawake wa mjini hao pambana nao full challenges

Heheheh......huoni kilasiku wanakuja kulalamika jinsi wanavyopigwa chenga huko mtaani.......hahaha. usipokua makini walahi utauza azamcola hapa mjini
 
Hiyo ni kweli Mkuu, alinipigia simu na kuniambia gari haliwaki, nikamchukua fundi wangu kama unavyojua magari ni kama binadamu, unakuwa na daktari uliyemzoea halafu unamwita Daktari wako kana kwamba anakutibu wewe tu. Sasa kufika fundi akafungua boneti, akaniambia washa gari, na mimi nikiwa na panic, bila kuangalia mshale wa wese nikapiga start, gafla naangalia mshale umelala na taa inawaka, nikamwambia fundi,naona mshale wa mafuta uko chini na taa inawaka. Bahati nzuri kwenye buti kulikuwa na kidumu cha lita 5, ndio kuchukua Boda boda, kuwahi "Victoria" na kurudi kuweka wese gari ikapiga start kama ndio kwanza inaingia kutoka Japan !!!!!

Hehehehhe...sio mchezo... unamuacha na nusu tank asubui akikurudia jioni taa inawaka...alafu sasa unakuta ndio katikati ya mwezi mfukino una elfu tano...kudadadeki.
 
Hivi kweli vitz ya kuja kupigia kelele humu.
Khaaaa jamani je akikopesheka tractor sijui itakuwaje.

amu kweli trector daslamu wapi na wapi........sasa nimekuelewa wewe utakua umewazoea wakulima.......hehehehe..ila kwa kweli wanapesa......
 
mwanaume ni kutafuta anunue gari na pia anipe hela ya matumizi

Hehehehehe.........ndio maana mnaliwaga 0713....maana jamaa anataka kukutumia ipasavyo kwa jinsi anavyokuhudumia....kwa hiyo sasa wewe utakua unashinda tu home unaangalia bongo muvi.....hehehehe duh! haya bwana.
 
Range vitz zote zinafika club... ben ukija mchepuko mwingine ambao hujaugegeda unauomba wewe mwenyewe ukaufundishe.
 
Eeeh ...hii nimeikubali. Kweli kabisa, kuna pale masaki pale karibu na koko bichi...kuna kauwanja naonaga masela wanawafundisha wasishana....au ndio trick yenyewe nini? aiseee.....mkuu umenifungua macho.
 
Hehehehehe.........ndio maana mnaliwaga 0713....maana jamaa anataka kukutumia ipasavyo kwa jinsi anavyokuhudumia....kwa hiyo sasa wewe utakua unashinda tu home unaangalia bongo muvi.....hehehehe duh! haya bwana.

hapana na mimi naenda kazini
 
Hiyo ni kweli Mkuu, alinipigia simu na kuniambia gari haliwaki, nikamchukua fundi wangu kama unavyojua magari ni kama binadamu, unakuwa na daktari uliyemzoea halafu unamwita Daktari wako kana kwamba anakutibu wewe tu. Sasa kufika fundi akafungua boneti, akaniambia washa gari, na mimi nikiwa na panic, bila kuangalia mshale wa wese nikapiga start, gafla naangalia mshale umelala na taa inawaka, nikamwambia fundi,naona mshale wa mafuta uko chini na taa inawaka. Bahati nzuri kwenye buti kulikuwa na kidumu cha lita 5, ndio kuchukua Boda boda, kuwahi "Victoria" na kurudi kuweka wese gari ikapiga start kama ndio kwanza inaingia kutoka Japan !!!!!

Hukumchapa vibao?
 
Ivi kwa mfano ka baby walker umekopa kwa mhindi kisha unafanyiwa ubandidu wa ivo tarehe hazisomi..unamfanyaje kwa mfano

Unajua seriously ni ngumu sana....kuna watu wana mikopo zaidi ya asilimia 70 ya mishahara yao kwa ajili ya kuendekeza ubandidu...ni noma.
 
Ndo maana vibao vinahusu...afu ukute katokea vijibweni kwa mchepuko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom