Amu ndo vivyo nilivyokelewa au? ebu fafanua kwanza....etii....
Vitz ni gari yetu mi namshauri ampe tu kama mimi nilivyopewa.
Asa litampendezajeeeee.
Yeye atafute at least harrier au nissan xtrail
Hehehhe...nsamehe dear. Ni kwamba bado sijamalizia mkopo.
mpeleke tu mkuu!nitakuwa nampa yangu
mpeleke mbanane na kavtz chenu kwa zamu!!!
Amekosea sana, alipaswa akuambie..."Bby, Naomba uninunulie ki-vitz halafu unipeleke driving school"Weweeee...acha fujo mama...haka kavitz kenyewe bado nakatwa mshahara na mhindi, huko driving skuli alafu ukimaliza uendeshe gari ya nani? Hebu tulia huko Ala!
Hapa mi nacheka tu tusio.na.magari tutakoma....hatupati kitu
Mwanaume unaendesha vitz?? Gari ka kiatu cha mtoto