Hukumchapa vibao?
Mawazo ya Kishetani hayo, unaanzia wapi kumchapa vibao mkeo eti kwa sababu ya petroli ya shilingi 30,000/= !!! Je, mke sio wa muhimu zaidi kuliko hata gari ?
Hukumchapa vibao?
mapenzi ya msimu
Mawazo ya Kishetani hayo, unaanzia wapi kumchapa vibao mkeo eti kwa sababu ya petroli ya shilingi 30,000/= !!! Je, mke sio wa muhimu zaidi kuliko hata gari ?
Hahaha..alikuwa wapi ndo shida
Ahaa, kumbe ni hilo. Unamwuliza tu kwa maneno matamu mpaka anaona aibu mwnyewe, sio lazima kwa vibao mtu mzima hachungwi, anajichunga mwenyewe.
Mi nina mkono mwepesi sana ndo.maana
Kweli !!!! Ndivyo ulifundishwa kwenye mafundisho ya ndoa, je ina maana na wewe ukifanya kosa, mwenzio anyoshe mkono haraka, hebu jiulize utajisikiaje kama itatokea hivyo.
Una heri sana kama unakumbuka mafundisho ya ndoa mkuu..mimi nakumbuka ya kimila
Mkandara, nakuongezea kitu kimoja walichokisahau kina Juliasi wakati wanakabidhiwa nchi, VIONGOZI WA KIAFRIKA WALISAHAU (AMA WALINYAMAZISHWA) KUOMBA FIDIA ZA UKOLONI, yaani ukoloni unatakiwa ujulikane kwamba lilikuwa kosa la jinai na waliotenda wanatakiwa washitakiwe na walipe fidia, sio kila siku wanatuzuga eti tuna madeni, nasi tuwaeleze wazi kwamba walitukosea na kutuibia hivyo wao ndio wanastahili kulipa!