Bendera ya Zumaridi

Bendera ya Zumaridi

opot opot

Senior Member
Joined
Dec 17, 2018
Posts
110
Reaction score
139
Yule mama aliefungiwa Huduma mfalme Zumaridi kwa mbwembwe nyingi za vyombo vya ulinzi mbona mmemruhusu sasa kufanya Huduma pasipo manjonjo kama mlivyofanya pindi ile? Alikuwa kakosea nini?

Tofauti yake na hawa mitume na manabii wanaouza maji na chumvi kama yeye iko wapi??mbona hamuwakamati nao?

Mimi naishi Jirani na huyu mama Zumaridi, wakati wamefungiwa hata kusali walikuwa hawasali, sasa wamefunguliwa kelele mwendo mdundo.yani toka SAA nane waimba kale ka wimbo "benderaaaa ya zumaridiiii sasaaa INA pepeaaa...sasa INA pepeaaaa pepeaaaaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimuona nabii Tito kaunga juhudi na green wear..!
 
Nilisema humu. ,Zumarid anaonewa. ,na atafunguliwa tu maana matapeli kama.kina mwamposa , gwajima ,Kakobe n.k walipitia misukosuko kama hiyo
 
Amefikia bei huyo. Sasa ataunga mkono utendaji mkuu, Kumbuka Gwaji, Kobe, Mwingi na wongineo wote. Walipoitwa tu, mbona wamekaa kimyaaaa utadhani hawapo Tz.
 
Mwenye audio ya ilo songi atupie basi na sie tusikie
 
Back
Top Bottom