Bendera ya Zumaridi

Bendera ya Zumaridi

Huwa anabadilika sura mzuka ukimpanda yaani ile nguvu ya yeeezebuli ikimvaa
 
Sema huyu mfalme ana msambwata si wa nchi hii. Ngoja nihamie kanisani kwake nishibe macho
 
Bongo burudani haziishi..

Nikimalizana na michakato ya Ukraine, nitaingia Mwanza hapo nimtafute huyu mama...
 
Kachapwa fimbo na kuwekwa ndani Leo mama zumaridi.polisi wawewapa kichapo waumini pia na kuondoka na mama na baadi ya wafuasi
 
Religion Brains wash ndo biashara inayolipa sana.
 
Back
Top Bottom