Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Poleni sana! Mungu awaponye ili tuendeleeena mapambano ya kuijenga nchi yetu. watuotungulia mbele ya haki Mungu awajalie awaweke mahala pema! Wametutangulia,nasi tupo nyuma yao.
 
pole sana mdogo wangu Ben, namwomba YESU akuongoze upitapo katika bonde la uvuli wa mauti
 
Pole sana Ben Saanane Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Jamani ni mtu mwenye roho ya namna gani anayeweza kuzungumza maneno ya namna hii wakati wa ajali? Bila shaka atakuwa mchawi. Chuki nyingine hazifai kabisa.

Mwenyezi mungu mwingi wa rehema akulipe kinyume cha maombi yako. Yeriko na Ben saa nane mungu awapunguzie machungu ya mliyoyashuhudia ya vifo vya wapendwa wetu mbele yenu na awanusuru kwa kila ovu liwe la kupangwa au vinginevyo na sie tumewaweka kwenye maombi. Poleni sana viongozi wa chadema/ukawa na wanachama wote. Mapambano yaendelee.
 
r.i p marafik wa ben! mkuu ben pole sana kamanda.
 
Usione binadamu tunakutana nao tunaishi nao lakini wengine wana roho mbaya kupindukia, ni bora hata wachawi. Mwanasiasa au mwanachama wa chama chochote anaejua nini maana ya siasa huwa likitokea tatizo la upande wa pili anaacha tofauti zilizopo na kuungana kuwa kitu kimoja kwa mda ule...

Chuki za namna hii ni za ukada tu wa chama au na mambo binafsi? Kwa sababu najua kwenye siasa hicho kinachogombewa kikimalizika watu huanza tena kuchekeana. Lakini ikifikia mtu kutaka mwenzake afe au kumwua, basi huyo tena ana roho nyingine. Laiti watu wangejua kuna maisha baada ya haya iwe ni motoni au mbinguni.
 
Pole Kamanda Ben Saanane ,Poleni wafiwa,Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un,we belongs to god and to him we shall return,jina lake lihimidiwe,rip allan and faith.
 
Last edited by a moderator:
Mhhh unaendeshaje wakati huna?
Mission town mkuu!! Pole sana Ben kwa huu msiba mkubwa uliokupata Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu! RAHA YA MILELE UWAPE EEE BWANA, NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE, WAPUMZIKE KWA AMANI.................!!
 
Back
Top Bottom