Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Duuu pole sana mkuu Ben Saanane na Mungu awape faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu!
 
Last edited by a moderator:
Hii Gari mbona ni hiace? Huyu aliyeweka hii picha kaitoa wapi


RIP Faith and Allan

Bora wewe umeona hata hiyo Hiace.wengine hatuoni picha yoyote sijui itakuwa imenyofolewa?!
 
Pole sana Kamanda Ben Saanane hakika Mungu ana makusudi yake,R.I.P makamanda wetu hakika pengo lenu ni kubwa mno,inauma!!
 
Last edited by a moderator:
Serikali za mitaa tu hivi,jee huo uchaguzi mkuu si ndio makamanda mtatolewa kafara mpaka muishe lol!!!
 
Pole sana ben,inaumiza sana kumpoteza mpendwa wako,pole sana na. mungu awalaze mahali pema peponi.!
 
RIP Faith and Allan

Bora wewe umeona hata hiyo Hiace.wengine hatuoni picha yoyote sijui itakuwa imenyofolewa?!

Hakuna picha za hiyo ajali, picha zilizopo hazina uhusiano kabisa na hata hivyo hakupigwa Tz.
 
Habari tulizopata muda huu ni kuwa Ben Saanane amepata ajali mbaya eneo la Maili moja Kibaha wakielekea Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya kampeni pamoja na Marafiki zake wawili.

Gari inayomilikiwa na Allan Meshili aina ya Prado T377ACG iligongwa na gari nyingine na kupoteza mwelekeo kisha ikavaana uso kwa uso na gari ya aina ya scania ya mafuta.



Kuna watu wapo eneo la tukio watatutumia taarifa zaidi
===================

JamiiForums imethibitisha kutokea kwa ajali hii, Ben yupo salama lakini Patrick anadaiwa kuwa katika hali mbaya sana.

Taarifa zaidi zitafuatia

Pole sana Ben, poleni wafiwa Mungu mwenye kufariji kuliko yeyote yule atawafuta machozi.
 
Pole sana Kamanda. R.I.P wapendwa wetu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom