Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Naona sasa unapungukiwa na uwezo wa kutafakari. Pigo kwangu??!! Huyu Ben mimi aniachie pigo/aachie pigo bavicha ambayo imempiga chini kwenye chaguzi kuu mbili tofauti!!!???? Nadhani unatania.
Unaweza kuongea chochote dhidi yangu hizo ni fikra zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Ben Saanane kawachanganya sana Ufipa.
 
[MENTION]HOPECONFORT[/MENTION], mimi nimeamua ku reserve comments zangu hadi hayo masaa 72 aliyoyasema yafike!
 
Unaweza kuongea chochote dhidi yangu hizo ni fikra zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Ben Saanane kawachanganya sana Ufipa.

Akiwachanganya wewe inakuhusu vipi?
 
Ati kwani Ben SAA nane ndo nini hasa ktk siasa ya nchi yetu.
 
umofia wana jf,

habari nilizoponyezewa na rafiki wa karibu na ben saanane,ameniambia jamaa anataka kuamia act kwa sababu ameona kuna kila dalili ya kunyimwa jimbo la rombo.
fika salama uendako bwana ben saanane.
 
Ben saa 8 katumika sana.lkn viongozi wanamzarau sana.kaka ben maisha popote kafulila walisema atafutika lkn ameibuka shujaa,tafuta nafasi ya kuonekana uonyeshe kipaji chako kilicho fichwa.
 
BEN SAA 8 KATUMIKA SANA.LKN VIONGOZI WANAMZARAU SANA.KAKA BEN MAISHA POPOTE KAFULILA WALISEMA ATAFUTIKA LKN AMEIBUKA SHUJAA,TAFUTA NAFASI YA KUONEKANA UONYESHE KIPAJI CHAKO KILICHO FICHWA.i
 
...huwa maisha yanakuwa magumu sana ikiwa lengo la kuwa mwanachama ni wewe kuwa kiongozi.
 
Unaweza kuongea chochote dhidi yangu hizo ni fikra zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Ben Saanane kawachanganya sana Ufipa.

Sasa hapa najibu nini? Anyway, asante na hongera kwa kuongeza post
 
Cha ajabu ni nini, utakopeshwa kama hukopesheki? Hayo ma Flyover mbona yameshaanza kujengwa? ulikuwa wapi umelala?
Cha ajabu nikwamba unakopeshwa ktk miradi inayowasaidia wao sana...ktk miradi ya kipumbavu sana ambayo CCM iliingia kichwakichwa ni ile ya kuwasalipia wachina TAZARA ili wao na wachina wafaidike..matokeo yakoe imefikia mahali haikulipa wachina wanasema watasamehe na kujenga upya tena.Ndio miradi km hiyo uchina inatukopesha inayolenga uwekezaji wao, na wanatupiga riba na wanatumia watu wao kuzifanya.Huo ndio urafiki kwa akili yenu...huko ni kukopesheka lazima mkopesheke....
 
Chadema Bavicha mnamchukia sana Ben sijui aliwafanya nini
 
Ben saa 8 katumika sana.lkn viongozi wanamzarau sana.kaka ben maisha popote kafulila walisema atafutika lkn ameibuka shujaa,tafuta nafasi ya kuonekana uonyeshe kipaji chako kilicho fichwa.

BEN SAA 8 KATUMIKA SANA.LKN VIONGOZI WANAMZARAU SANA.KAKA BEN MAISHA POPOTE KAFULILA WALISEMA ATAFUTIKA LKN AMEIBUKA SHUJAA,TAFUTA NAFASI YA KUONEKANA UONYESHE KIPAJI CHAKO KILICHO FICHWA.i

Post mbili same content deferent caps, inaonekana umevurugwa na unatumika mbele na nyuma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom