Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
IJUMAA ndio hii imetimia,saa 72 zilizosemwa hazijatimia..? Maamuzi magumu bado yana editiwa mpka mda huu...Tunaomba kujuzwa ..
 
Mwanasiasa na nguli wa siasa nchini BEN SAANANE anatarajia kuchukua kadi ya chama cha ACT-WAZALENDO leo saa kumi jioni.BEN anatarajia kuchukua kadi hiyo makao makuu ya ACT-WAZALENDO akiwa ameambatana na wanachama wengine wapya 20.BEN anakualika kuja makao makuu ya ACT-WAZALENDO ili uje ujionee mwenyewe.
Tukio hili tutakuletea matukio yote kupitia hapa.BEN amekuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu na mwandishi wa Mbowe na aliweza kuandika chochote alichoambiwa na MBOWE na kufanya chochote alichoelekezwa.
 
Kwa hiyo Ben Saanane atakuwa ametumwa na Mbowe kuhamia ACT, maana kama siku zote unadai alikuwa anafanya chochote anachoambiwa na Mbowe, basi hata
hili ni hivyo hivyo?
 
Mwanasiasa na nguli wa siasa nchini BEN SAANANE anatarajia kuchukua kadi ya chama cha ACT-WAZALENDO leo saa kumi jioni.BEN anatarajia kuchukua kadi hiyo makao makuu ya ACT-WAZALENDO akiwa ameambatana na wanachama wengine wapya 20.BEN anakualika kuja makao makuu ya ACT-WAZALENDO ili uje ujionee mwenyewe.
Tukio hili tutakuletea matukio yote kupitia hapa.BEN amekuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu na mwandishi wa Mbowe na aliweza kuandika chochote alichoambiwa na MBOWE na kufanya chochote alichoelekezwa.

Kawa mwanasiasa nguli toka lini? zaidi ya jf ni wapi kwengineko anajulikana? hana impact yoyote huku field
 
Mwanasiasa na nguli wa siasa nchini......

BEN amekuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu na mwandishi wa Mbowe na aliweza kuandika chochote alichoambiwa na MBOWE na kufanya chochote alichoelekezwa.

Kinachomfanya awe mwanasiasa nguli ni kumwandika Mbowe? Mweh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom