Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Haha..usiwe mdogo wa kufikiri.Dunia ya Leo makampuni mengi na nchi zao wanashirikiana na mabenk yao kukopesha hela bank nchi zinazoendelea ili zijenge miundo mbinu ambao kihasilia itasaidia nchi zao kutunyonya,na makampuni yao ndio yanafanya.Hata tusingekuwa na rais kuna miradi mingi sana itajengwa tena na tena.Subiri JK aondoke une km hakuja mtu mwingine na zinajengwa fly over za kisasa...

Cha ajabu ni nini, utakopeshwa kama hukopesheki?

Hayo ma Flyover mbona yameshaanza kujengwa? ulikuwa wapi umelala?
 
Huyu jamaa tangu anusurike Ile ajali naona akili yake haijakaa vizuri!
 
Duu nimeamini kuna shida kubwa Kwa vijana wa Bavicha Yaani matusi Na kejeli kwa Ben Hii Kali sana.

Hakuna busara Hata kidogo ndani Ya Bavicha Wote Ni kama watu waliochanganyikiwa hata hawajathibitisha Lakini matusi kwa Ben lol

Ben komaa Na PhD Yako ndugu yangu umeamini vijana wenzako leo? Umejionea mwenyewe Kumbe Bavicha hampendani kiasi hichi? Poleni Sana
 
Leo nimeamini kuwa Bavicha hawapendani asilani, vijembe, matusi na mipasho kila corner.

Ben leo umejionea mwenyewe live mambo yanavyokwenda kwako.
 
Hadi usawa huu Ben kimya..., nakushauri dogo kuliko kuhamia ACT bore ujiunge chama cha majambazi, waweza pata ubunge au hata kuambulia kuwa mbeba mkoba wa Nape.

Karma is a bitch, so just you know!
 
NYERERE MIAKA YAKE 24 KIGOMA ALIWAACHIA SEKONDARI MOJA,HUYU MZEE NDO MAANA LISU ALISEMA KAZOEA VYA KUNYONGA.dah

mkuu Uriria hebu acha kujitoa akili, hivi unajua kuwa kwa muda huo walimu wa sekondari hata mia tano hawakuwa wakifika? Au ulitaka ajenge mashule walimu wafuate after 20 years?

Hivi unajua kuwa hadi 1993 bado kuna wanafunzi walikuwa wanamaliza darasa la saba na kuwa walimu wa shule za msingi?

FIKIRIA, OVER 30 YEARS HATUNA WALIMU! UNAMLAUMU VIPI NYERERE?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mshikamano ndani Ya Bavicha, HAKUNA umoja baina yao, hakuna Upendo baina yao kila mtu anataka awe Juu Ya mwenzake.

Huwezi kuta vijana wa CCM wanatukanana mitandaoni kama mfanyavyo, CCM mtagombana ndani mkitoka nje ni wamoja na kamwe hamfarakani! Hii Ndio tofauti kubwa baina Ya Vyama vya upinzani na CCM
 
Hii taarifa ama ya ukweli au ya uongo. Maana inaonesha Ben Saanane mara ya mwisho alikuwa JF saa sita na robo usiku. Yeye ana wa-injoi tu.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli uwezo wa BEN SAA 8 ni mkubwa ila hajapata nafasi,wanambania,hata Mnyika hamfikii kwa kila kitu.

Anabaniwaje? Ukweli ni kuwa he's talented brainwise. Ana elimu na anaweza kujenga hoja saaana.

upungufu wake kwenye siasa ni kushindwa kuvamia jukwaa tu! Hawezi siasa za majukwaani

i trust him, na akienda nitamtakia kila la heri
 
Bila kujali ikiwa taarifa hii ni ya kweli au si ya kweli, ninavyomsoma Ben Saanane anafanana sana kimtazamo na ACT kuliko CHADEMA; hofu yangu ni ikiwa watamuamini. Na ikiwa watamuamini, he can better suit with ACT kuliko CHADEMA na hapa sizungumzii masuala ya maslahi bali masuala ya mtazamo au itikadi.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mshikamano ndani Ya Bavicha, HAKUNA umoja baina yao, hakuna Upendo baina yao kila mtu anataka awe Juu Ya mwenzake.

Huwezi kuta vijana wa CCM wanatukanana mitandaoni kama mfanyavyo, CCM mtagombana ndani mkitoka nje ni wamoja na kamwe hamfarakani! Hii Ndio tofauti kubwa baina Ya Vyama vya upinzani na CCM

Bavicha bangi tupu hawawezi kuelewana hata siku moja, Patrobas kijana msomi hawamtaki wanataka muhuni muhuni kama alivyokuwa Heche
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom