Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Bila kujali ikiwa taarifa hii ni ya kweli au si ya kweli, ninavyomsoma Ben Saanane anafanana sana kimtazamo na ACT kuliko CHADEMA; hofu yangu ni ikiwa watamuamini. Na ikiwa watamuamini, he can better suit with ACT kuliko CHADEMA na hapa sizungumzii masuala ya maslahi bali masuala ya mtazamo au itikadi.

Kwahiyo huyu Ben naye ni muumini wa Uayatoullah?

Si kweli brother, mimi naweka akiba ya maneno kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Hadi usawa huu Ben kimya..., nakushauri dogo kuliko kuhamia ACT bore ujiunge chama cha majambazi, waweza pata ubunge au hata kuambulia kuwa mbeba mkoba wa Nape.

Karma is a bitch, so just you know!

Kwani akiungana na sisi wanaharakati tusio wanachama wa vyama vya siasa hawezi kulitumikia Taifa?

mtu kama Hellen Kijo Bisimba umri unamtupa mkono tunahitaji damu mpya kama Ben pale.

Huko Ccm kina Mwampamba na Tambwe Hiza type wameishia wapi?
 
Kwahiyo huyu Ben naye ni muumini wa Uayatoullah?

Si kweli brother, mimi naweka akiba ya maneno kwa sasa.
Hilo la u-Yatollah ni mfumo tu sawa na nchi moja inapoamua kuwa na Rais mwenye mamlaka wakati nchi nyingine PM anakuwa ndie mwenye mamlaka kuliko Rais. Hili la Ben Saanane naangalia mtazamo ama itikadi bila kujali ikiwa itikadi husika ni mzuri au mbaya; au kama nilivyosema hapo bila kujali ikiwa habari hizi ni za kweli au hapana! Nakumbuka wakati ule niko just a young boy, nilikuwa very impressed na chama cha Profesa Shayo kimtazamo and I was about to join them!
 
Last edited by a moderator:
Porojo Zetu zimezidi, Ben katulia Kimya akiwaangalia, na anacheka sana, knowing that he is man who can make a difference, kwa namna hii issue yake ilivyo tawala mitandaoni.

Bw Ben your survey n study is complete, YES u r popular go for what ever is in your mind u have a good chance of success, whether ni kugombea Ubunge au kuhama chama all is possible for u, you have lots of followers. Good Luck young man
 
Nimesoma post umeandika kwa unyonge sana eti Ben hana furaha Chadema.

Hilo ni pigo kwako na Bavicha.

Naona sasa unapungukiwa na uwezo wa kutafakari. Pigo kwangu??!! Huyu Ben mimi aniachie pigo/aachie pigo bavicha ambayo imempiga chini kwenye chaguzi kuu mbili tofauti!!!???? Nadhani unatania.
 
Wewe unaleta habari za madrasa ili uzi ufungwe ukidhani ni suruhisho la kubakiza kanisa lenu la Chadema hai.

Naona kawagusa mnapiga yowe.Hatuna mafundisho ya kupandikiza ubaguzi Bali makanisani huhubiriwa upendo na amani ndo maana Imeandikwa MTU akikunyang'anya kanzu MPE na joho, pia ikanenwa kuwa " kazi ya kuhukumu na kulipa visasi no ya Mungu pekee
 
Kwani akiungana na sisi wanaharakati tusio wanachama wa vyama vya siasa hawezi kulitumikia Taifa?

mtu kama Hellen Kijo Bisimba umri unamtupa mkono tunahitaji damu mpya kama Ben pale.

Huko Ccm kina Mwampamba na Tambwe Hiza type wameishia wapi?

Hana lolote huyo ben,,mpumbavu mwenye uroho wa umaarufu,madaraka.hana lolote alilowafanyia watanzania,wanachadema,wala wana rombo. Kutwa kushimda mitandaoni kutafuta cheap political scores.
Bavicha na chadema ni kubwa mno kusumbuliwa na mwendawazimu kama huyu.
 
mtu mwenyewe kauchuna. lkn si wslikuwa kwenye harakati za pamoja muda mrefu? wacha wakaliendekeze libeneke
 
mtu mwenyewe kauchuna. lkn si wslikuwa kwenye harakati za pamoja muda mrefu? wacha wakaliendekeze libeneke

Ulitaka awajibu matahira msiojitambua/?
Siku zote mwerevu hunyamaza.
Na hilo ndo jibu
 
Naona sasa unapungukiwa na uwezo wa kutafakari. Pigo kwangu??!! Huyu Ben mimi aniachie pigo/aachie pigo bavicha ambayo imempiga chini kwenye chaguzi kuu mbili tofauti!!!???? Nadhani unatania.

Masahihisho: Uchaguzi wa pili ni katiba ya chama ndio ilimuondelea sifa ya kuwa mgombea kwa kigezo cha umri, hata Ccm Nape Nnauye pia Ccm kigenzo cha umri kilimuondoa kugombea Uenyekiti wa Uvccm.

Ndio maana watu wenye akili timamu na tunaotunza kumbukumbu vichwani mwetu huwa hatusumbuliwi na wanasiasa uchwara kama Zitto and likes.
 
Ni kweli, uchaguzi wa kwanza alipigwa chini kwa sababu za uadilifu. Akasimamishwa miaka kadhaa kugombea uongozi ndani ya Chadema. Kundi hilo hilo alilohusika nalo wakati wa uchaguzi wa kwanza ndilo speculations zinamhusisha nazo. Tofauti ni kuwa mwampamba na shonza wao wananyonya titi linguine, mchange, nyakarungu na Gwakisa wao wananyonya titi linguine lakini kwa mama huyo huyo mmoja. Nadhani aende tu anapopataka. Hakuna tatizo kwa chadema kisiasa...
 
Kweli nimeamini kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila kuna tamaa binafsi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom