Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,554
Mungu kumtumia Shetani? jamani hizi dini zenu mmefundishwa kweli au?
Wewe kwa mawazo yako unafikiri ni shetani kama shetani?.
Mungu kumtumia Shetani? jamani hizi dini zenu mmefundishwa kweli au?
Ewe punguani, wachana na hizo porojo.
Waambie wenye kudai waje kupiga mnada lami.
Unaongelea madeni? hivi wewe utakopeshwa kama hukopesheki?
Nyerere alikuwa wapi asikope wananchi wake wasiteseke?
Mwinyi alikuwa wapi asikope wananchi wake wasiteseke?
Mkapa alikuwa wapi asikope wananchi wake wasiteseke?
Hivi wewe wanao leo wakiwa hawana nyumba ya kuishi utaogopa kwenda kukopa? Na utaendelea kunyanyaswa na wenye nyumba? ukifa utawaachia nini? makalio yako?
Punguani wahed.
Hivi Ben Saanane na Madrassa vinauhusiano gani wanaukumbi.
CHADEMA haipambani na Madrasa,
Ila Mimi kwa Mtanzania napambana na Viumbe wachache ambao bdala yakttumia elimu nzuri ya upendo na Amani inatolewa Madrasa wanaitumia kupandikiza udini.
Selasini anapiga kelele baada ya wakili Evod Mmanda kutangaza nia. Selasini hana raha.Kuna kipindi Selasini alimsifia JK wakamuita msaliti.
Naam Ben akijipanga vizuri na ACT anaweza kuchukuwa jimbo kirahisi sana.
Ben kuhamia chama kingine ni haki yake ya msingi, silisemei hilo. lakini hicho unachosema kinamhamisha "mission" za chama , hayo ni maneno tuu hata kwenye khanga yapo.
ha ha ha!hawa wapuuzi unawaweza sana.Naona hoja hauna umebaki kunijadili mtoto wa madrasa.
Je kama yupo kijijini na huko hakuna network? Hata haya mnayozungumza nyinyi pengine yeye hayajui?
mwenye namba ya said kubenea anipatie plz,muhimu sana
yote yanawezekana na yupo huru,na kamwe sitomwita msaliti,japo atakuwa kawasaliti watu.walioamini mabadiliko kupitia yeye,bt pia ikumbukwe kila mmoja analengo lake lilimfanya aingie kwenye siasa na kujiunga na taasisi flani ya kisiasa,bt msimhukumu kabla
wa ukae, tatizo si vijana wa Bavicha; tatizo ni JF kuvamiwa na kuwa kama kokoro; how I wish those good old days would come back when JF had people who could read between the lines! Lugha staha haipo tena, hekima imepewa likizo, uvumilivu umepotea na sasa hoja za nguvu ndizo zinatawala. Watu kama Ben Saanane ni wachache sana humu JF wanao uwezo wa kuwaelewa...naomba tuvute subira...
kwa miye punguani nitawaachia makalio yangu
Nyerere kaachia madaraka miaka 30 iliyopita na hata `wasomi' hawakuwepo! Hili ulilifikiria? Iwapo 30 years toka ang'atuke walimu hawatoshi
Pia Nyerere alisema ". . . haya madini yaacheni mpaka watu wangu watakapopata ufahamu"
Kigamboni kabla ya Kikwete walililia daraja, Kikwete analiweka huko na karibu linakwisha.
Nnamuomba Kikwete aliite lile daraja "Daraja la Nyerere", kwani walipompindua tarehe 20 alipelekwa kufichwa huko Kigamboni.
Iwe kumbukumbu.