Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,990
- 46,464
Nimesoma post umeandika kwa unyonge sana eti Ben hana furaha Chadema.Hilo pigo kwa bavicha lipoje?
Hilo ni pigo kwako na Bavicha.
Nimesoma post umeandika kwa unyonge sana eti Ben hana furaha Chadema.Hilo pigo kwa bavicha lipoje?
Inategemea kama ID yako inavyojieleza Pilao tu Chali.
Kwa hyo ulipoenda Madrasa ndipo walipokukaririsha Upunguani?
Aliwanzalo Mjinga ndilo litakalomtokea ID yake ni kielelezo cha IQ yako ilipoishia.Tulia ndugu yangu, vijana wengi sana hapa wanajitambulisha makamanda wa CHADEMA kutafuta kazi/ nafasi ndani ya chama, wakizikosa ndio utawasikia wanahama, wanahaha.. usizungumzie pilau ndugu hatujuani mimi sitafuti kitu hapa... nafanya kazi kwa bidii na kwa mikono yangu na Mungu ananineemesha kila uchwao, sitegemei hata senti ya mwanaume toka nimalize form four..jiulize wewe ulikuwa wapi miaka hiyo, na hawa wasaka tonge wako hapa wa kujiita makamanda njaa walikuwa wapi..hata kazi za uhakika hawana.... unategemea watadumu chadema hata siku mbili na umri unakwenda?
Wewe Ni Punguani kama Wenzio Mnaolialia tu huku Mkileweshwa na Pilao.
Madrasa na Madarasa ni tofauti wewe kiumbe Mfuasi wa Mtume.Wewe hujaenda kwenye madarasa? ulisoma chini ya mkamba?
Umeshikwa Mpaka Akili na Na hekaya za Mtume kiumbe wewe.Kwi kwi kwi teh teh teh, anelia hapa ni nani?
Sisi pilau yatutia usingizi. Wewe yakutia nini? kulia?
Hahahahaaaa yaani itafikia muda niache tu bifu na wewe yaani hata mafundisho ya mungu umeanza kuyaacha Faizyfox
Kamanda naona umechanganyikiwa Ben kuondoka Chadema.Madrasa na Madarasa ni tofauti wewe kiumbe Mfuasi wa Mtume.
Punguani ni wewe IQ Ya Madrasa.Swali rahisi sana hilo. Hutaki kukopa ili wananchi wako wakienda Mwanza au Bukoba kutoka Dar wapitie Kenya, wakishikwa na Al Shabab? utasema nini?
Kuna mijitu humu ni mipunguani ya ukweli.
Aliwanzalo Mjinga ndilo litakalomtokea ID yake ni kielelezo cha IQ yako ilipoishia.
Swali rahisi sana hilo. Hutaki kukopa ili wananchi wako wakienda Mwanza au Bukoba kutoka Dar wapitie Kenya, wakishikwa na Al Shabab? utasema nini?
Kuna mijitu humu ni mipunguani ya ukweli.
Yale yale kuaminishwa Madrasa kujitoa Muhanga ndio kwenda Mbinguni Jitambue Wewe kiumbe.IQ unaijua wewe ta..ira? au unakurupuka tu hapa... tulia unyolewe Alex.. wewe unavyohaha tu hapa nimekuzidi kila kitu, hadi points za JF, hadi Likes, sasa jiulize nani ana IQ ndogo hapa...
Unapotoa kejeli kwa Madrassa kumbuka Chadema wapo watu waliopita Madrassa kina Prof Safari, Salum Mwalimu, na UKAWA wapo kina Prof Lipumba, hawa wote wana upeo mdogo?
Toka nje ya Elimu ahera utaandika maneno yanayoeleweka wewe kiumbe.