Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Namuunga mkono Ben Saanane kuhama CHADEMA maana huko CHADEMA kila akishiriki uchaguzi wowote ule jina lake linakatwa

Ben Saanane CHADEMA sio mama yako,ondoka huko
 
Last edited by a moderator:
Tatizo makafiri hawana akili pia hawafikiri.

Kikwete kafanya mambo makubwa nchi hii.

Hakuna nyerere cha maana alichoifanyia nchi hii zaid ya kuweka mfuko kristo tuh.

Mkatoliki mkapa ndiyo usiseme.

Wizi na ufisadi woote huu umeanzia kwake.

Hawana maana hawa.

AISEE SITAKI KUAMINI KM UCHAFU HUU UMEANDIKWA NA WEWE The Big Show....nilikuwa nakuheshimu na kukuamini sn humu ndani!! Always ulikuwa unamponda na kumlalamika Kikwete kw maamuzi yake ya kutandika bomba la gas kutoka mtwara kuelekea Dar/Bagamoyo, leo hii eti unamsifu kuw kafanya mambo makubwa!! MNAFIKI MKUBWA WEWE NA HUNA AKILI....Kumbe harakati zako za gas kwanza ilikuwa ni uchochezi tu mbele ya watanzania na si kuwa ulikuwa unanena ukweli?! THE BIG SHOW ULAANIWE MBULULA UCYEJITAMBUA UNAYETUMIA DINI KUTUGAWA WATANZANIA. Eti Kikwete kafanya makubwa!! Akili yako ndogo sn ww mjinga....
 
Taratibu mtaanza kuwaelewa makenge wote waliopo JF ambao wamelewa mvinyo wa dini sasa wamebong'oa wala hawajielewi kama tunawaona.
 
Kigamboni kabla ya Kikwete walililia daraja, Kikwete analiweka huko na karibu linakwisha. Nnamuomba Kikwete aliite lile daraja "Daraja la Nyerere", kwani walipompindua tarehe 20 alipelekwa kufichwa huko Kigamboni. Iwe kumbukumbu.
Haha..usiwe mdogo wa kufikiri.Dunia ya Leo makampuni mengi na nchi zao wanashirikiana na mabenk yao kukopesha hela bank nchi zinazoendelea ili zijenge miundo mbinu ambao kihasilia itasaidia nchi zao kutunyonya,na makampuni yao ndio yanafanya.Hata tusingekuwa na rais kuna miradi mingi sana itajengwa tena na tena.Subiri JK aondoke une km hakuja mtu mwingine na zinajengwa fly over za kisasa...
 
Tatizo makafiri hawana akili pia hawafikiri. Kikwete kafanya mambo makubwa nchi hii. Hakuna nyerere cha maana alichoifanyia nchi hii zaid ya kuweka mfuko kristo tuh. Mkatoliki mkapa ndiyo usiseme. Wizi na ufisadi woote huu umeanzia kwake. Hawana maana hawa.
Ni ujinga tuu unakusumbua wewe .najua huna akili ila kila siku nashangazwa na kiwango kinachozidi kuoyeshwa.Serikali liyopo ilimchafu sana mkapa makusudi huku ikipotosha uhasilia....Wauliza kwa sasa nini kimewakuta hawamsemi tena mkapa....KWa vile uozo wao umewekwa na Mkapa anaujua kuliko walivyodhani sasa wanaheshimiana.Sasa hivi hata Jk na wapambe hawasemi tena sijui watendani wanamwangusha,baadae wanamhujumu..sasa hivi kimyaaa.....
 
Sio Ben wa mapambano ishu ni kwamb anasema kuwa atagombea Jimbo la Rombo si mtasikia suburi

cc Ben saanane
 
Ni ujinga tuu unakusumbua wewe .najua huna akili ila kila siku nashangazwa na kiwango kinachozidi kuoyeshwa.Serikali liyopo ilimchafu sana mkapa makusudi huku ikipotosha uhasilia....Wauliza kwa sasa nini kimewakuta hawamsemi tena mkapa....KWa vile uozo wao umewekwa na Mkapa anaujua kuliko walivyodhani sasa wanaheshimiana.Sasa hivi hata Jk na wapambe hawasemi tena sijui watendani wanamwangusha,baadae wanamhujumu..sasa hivi kimyaaa.....

Ktk dhambi ambayo serikali ya JK na mtandao wake ulifanya ni kumchafua Sana Mkapa. wakati wanaingia akina JK kihaiba hawakutofautiana na huyu Ayatollah Wa ACT kwa kupenda Sifa....

Walivumisha Sana mambo ili kumzamisha mjomba Ben lakini upepo uliwarudia...

JK atachafuka Sana kuliko alivyo hivi akiondoka magogoni....

Ukiacha misingi mizuri ya kiuchumi ambayo mkapa aliijenga na ambayo inakua sasa kiasi cha akina FaizaFoxy kudhani ni ya JK kumbe ni mkapa....

Government reform kwa asilimia karibu 90 Ilifanyika wakati Wa mkapa... nidhamu ktk ukusanyaji kodi na kuanzisha TRA ni Mkapa ajabu wapambe Wa JK walishindwa ona hayo nakujaribu mzamisha Sana mwenzao but Mungu si Athumani hakuna mwenye ujasiri tena Wa kusimama ahesabiwe ha ha ha....

Ari mpya chaliiii

Kasi mpya chaliiii

Nguvu mpya hoiiiiiii

MAKUSANYO YANAZIDI HUKU UMASIKINI NA UDHAIFU WA SERIKALI KIFEDHA UKIPAA....
 
Last edited by a moderator:
Gesi imetoka haitoki? peleka tigo yako ukachambishwe ----- na wanaume wa shoka.

wamewala nya nyinyi na dada zenu shwaini kabisa wote kimyaa na leo eti unamsifu mkwele.
Soma kitabu cha majini cha marehemu Mwamedi upate sifa tatu za Mnafki ambazo zote unazo.

Zaidi ya kuchamba kwingi na kujichomeka madole ati atoa kinyesi kilichosalia.......kufukuzia ubwabwa na kubeba ndizi kwenye kanzu hana lingine ajualo ktk dunia hii kima huyo....

Angekua na adabu asingethubutu mnyooshea jambio lake Mkapa ati hafai kitu wakati kawawekea daraja MTO Rufiji na kuwaokoa ndugu zake ambao wengine maelfu walipoteza maisha yao kwa kuliwa na Mamba mtoni....

Minyoo yao inawafanya wawe washenzi Sana
 
Mkichukia mnatisha! yasiwe fikia kuchinjana tu...
 
Mkichukia mnatisha! yasiwe fikia kuchinjana tu...

Sidhani Kama chuki yako yaweza zidi yangu ktk viwango vya juu....

Hasa chuki ya kiwango changu IPO ktk mstari Wa wengi kwa maana nachukia kinachochukiwa na wengi ikiwemo ushenzi unaofanywa na hao firauni...

Tofauti na wewe ambaye huchukia Sana wale unaodhani wamekuzidi....wale wasiokusifia au kukuona Wa kawaida na hasa chuki yako IPO ktk vitu usivyo na uwezo navyo kuvipata!!!!

Kuchinjana si jadi yetu labda utuambie wewe mlitaka mfanya nini DMV baada ya kuweka bandiko lake hapa akisema anahama ACT??

Bado Una tabia ya kuchukia unachokitamani kikifanywa na mwenzio then kupigania baadae ukifanye wewe??
 
Last edited by a moderator:
Ktk dhambi ambayo serikali ya JK na mtandao wake ulifanya ni kumchafua Sana Mkapa. wakati wanaingia akina JK kihaiba hawakutofautiana na huyu Ayatollah Wa ACT kwa kupenda Sifa.... Walivumisha Sana mambo ili kumzamisha mjomba Ben lakini upepo uliwarudia... JK atachafuka Sana kuliko alivyo hivi akiondoka magogoni.... Ukiacha misingi mizuri ya kiuchumi ambayo mkapa aliijenga na ambayo inakua sasa kiasi cha akina FaizaFoxy kudhani ni ya JK kumbe ni mkapa.... Government reform kwa asilimia karibu 90 Ilifanyika wakati Wa mkapa... nidhamu ktk ukusanyaji kodi na kuanzisha TRA ni Mkapa ajabu wapambe Wa JK walishindwa ona hayo nakujaribu mzamisha Sana mwenzao but Mungu si Athumani hakuna mwenye ujasiri tena Wa kusimama ahesabiwe ha ha ha.... Ari mpya chaliiii Kasi mpya chaliiii Nguvu mpya hoiiiiiii MAKUSANYO YANAZIDI HUKU UMASIKINI NA UDHAIFU WA SERIKALI KIFEDHA UKIPAA....
Hii heshima ya Seikali hii ya ..MPYA Mpya.......km si Mkapa ingevunjika km ile mikate ya zamani mikugu ila ikipigwa Double Cola unatoka kuvunjwa kwa panga hadi kupigwa km cornflakes.Siku nimesikia kiongozi wa hii serikali mpya kamwita Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi nikajua..yamewafika.
 
Last edited by a moderator:
Mkichukia mnatisha! yasiwe fikia kuchinjana tu...
NI kweli unaogopa huko kuchinjana au unaongea km kawaida yako ukidhani misamiati fulanifulani inakufanya uonekane msomi na mjanja,na mwenye huruma.Matendo yako na kauli zako zinaonyesha wala huoni shida sada kufanya hivyo....kwani unaweza maliza hadi mende.
 
ben ndani ya act ni sawa na zitto ndani ya cdm au shibuda ndani ya cdm na wengineo
 
===>Naona CDM wanapenyeza mamluki taratiiibu ACT,
1. swali ambalo kila siku huwa najiuliza vijana woote walioko CDM na CCM kuna nafasi ngapi za ubunge (majimbo)?
2.Na je kuna ulazima wa kila kijana ambae ni mashuhuri mfano Ben Saanane apewe nafasi ya kugombea ubunge?
===>Kwa kweli nimeamini kuna wanasiasa wachache sana ni wa kweli,tuwe makini sana tinapoelekea kwenye uchaguzi wa mwezi oktoba,wachumia tumbo ni wengi sana.
 
Last edited by a moderator:
===>Naona CDM wanapenyeza mamluki taratiiibu ACT, 1. swali ambalo kila siku huwa najiuliza vijana woote walioko CDM na CCM kuna nafasi ngapi za ubunge (majimbo)? 2.Na je kuna ulazima wa kila kijana ambae ni mashuhuri mfano Ben Saanane apewe nafasi ya kugombea ubunge? ===>Kwa kweli nimeamini kuna wanasiasa wachache sana ni wa kweli,tuwe makini sana tinapoelekea kwenye uchaguzi wa mwezi oktoba,wachumia tumbo ni wengi sana.
Ben akienda anaweza siwe Mamluki kwao pengine kachoka,pengine nafsi ipo finyu,pengine ni mashinikizo ya serikali ili awe salama.Pengine kaona hela nyingi ya Atatoullah..km kapewa kifuko toka kwa wawekezaji ili ahakikishe CDM haiingii kuja pangua mikataba ya kishenzi.Ila angekuwa MAWAZO ningewaonea huruma ACT..ccm wanamjua alichowafanya.Kichwa yeyote iliyopiga kwata na Lema tangu TLP si nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
labda akatafute ubunge Kigoma huku Rombo hana mchango wowote Ben saa nane ni msaliti tokea enzi za akina zitto Rombo hatuwezi chagua debe tupu kama ben
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom