Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
CDM mtu akitaka kuamua maamuziyake mna mwita msaliti kwahiyo chama ni cha maraika kwamba hao viongozi hawakosei wasisemwe wala kuulizwa? Ben fanya maamuzi yako tanzania tumesha zowea siasa za chuki NB:MKE MBAYA ANAMSHINDA UNAYEMTAFUTA


Mkuu majeraha ya mapanga yashapona??
 
Kabla ya Kikwete shule za sekondari hazijafika elfu mbili, canganya Nyerere, Mwinyi, Mkampa, Mwingereza, Mjerumani na Mwarabu.

Wakati wa Kikwete pekee shule za sekondari elfu tano.

Nani zaidi?

Utayaweza hayo?
Unajua kuhusu Deni la Taifa limefikia wap?

Kiwango chetu kielimu kimefikia wap?
 
Usishike, Usiguse, Usijaribu ,Usionje, haifai kwa matumizi ya mwananchi. Muda wake wa matumizi umekwisha kabisa, NI SUMU HII,
EXPIRY DATE YAKE NI
30/10/2015.
CCM ni SUMU
weka mbali na Watu wote bila kujali ,Rika, Kabila, Dini, Ukoo, Jinsia wala hali ya mtu. (SUMU HAIJARIBIWI NDUGU ZANGU) WATANZANIA WAMEIJARIBU CCM KWA ZAIDI MIAKA 40 LAKINI HAITIBU, INAUA TU! DK. ULIMBOKA, MWANDISH MWANGOSI, NA WENGINE KIBAO IMEWAUA SUMU HII, OCTOBER 2015 KATAA CCM. Tuma sms hii kwa wapiga kura WENGI. Kuiokoa Tanzania. MUNGU IPONYE TANZANIA,
 
Huna uwezo wakunihenyesha wewe kiumbe hata Robo,Hapa unachangia Makaririsho na udini Mwingi.

Vyuo vikuu kabla ya Kikwete havifiki kumi.

Wakati wa Kikwete, chuo kimoja tu, UDOM, kinachukuwa wanafunzi wengi kuliko hivyo vyote alivyovikuta...

Isitoshe, wakati wake vyuo vikuu 50, bado Mloganzila sijakihesabu.

Hapo sasa.
 
Moja ya sera za Chadema ni kupambana na Madrassa.


We kijakazi Wa Kishki acha uchochezi Wa kishenzi huo....

Ndo kinacho wamaliza kuwa fikra duni za namna hiyo....
 
Moja ya sera za Chadema ni kupambana na Madrassa.
CHADEMA haipambani na Madrasa,

Ila Mimi kwa Mtanzania napambana na Viumbe wachache ambao bdala yakttumia elimu nzuri ya upendo na Amani inatolewa Madrasa wanaitumia kupandikiza udini.
 
Vyuo vikuu kabla ya Kikwete havifiki kumi.

Wakati wa Kikwete, chuo kimoja tu, UDOM, kinachukuwa wanafunzi wengi kuliko hivyo vyote alivyovikuta...

Isitoshe, wakati wake vyuo vikuu 50, bado Mloganzila sijakihesabu.

Hapo sasa.


UDOM unajua aliyehakikisha kinajengwa ni Lowassa?

Una habari UDOM imefilisi mifuko ya pension kwa madeni ya ujenzi ambayo serikali haijalipa mpaka Leo??
 
Hivi Ben Saanane na Madrassa vinauhusiano gani wanaukumbi.
 
Vyuo vikuu kabla ya Kikwete havifiki kumi.

Wakati wa Kikwete, chuo kimoja tu, UDOM, kinachukuwa wanafunzi wengi kuliko hivyo vyote alivyovikuta...

Isitoshe, wakati wake vyuo vikuu 50, bado Mloganzila sijakihesabu.

Hapo sasa.
Jitoe kwenye udini tujadili hoja za kitaifa wewe kiumbe na umswalie Mtume.
 
UDOM unajua aliyehakikisha kinajengwa ni Lowassa?

Una habari UDOM imefilisi mifuko ya pension kwa madeni ya ujenzi ambayo serikali haijalipa mpaka Leo??

Awe Lowasa au mjomba'ke Lowasa, mbona hakujenga kabla ya Kikwete kuwa Rais?

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom