Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

[h=2]Huyu ndio habib nchange.[/h]
Na Mwanahalisi

Masalia ya Zitto yapukutishwa CHADEMA

Na Alfred Lucas - Imechapwa 01 June 2011
Printer-friendly version

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ililazimika kujigeuza mahakama ili kusikiliza malalamiko dhidi ya wagombea nafasi ya uenyekiti wa baraza la vijana la chama hicho (BAVICHA).

Katika kusikiliza malalamiko hayo, Kamati Kuu iliwateua wanasheria wake mashuhuri, Mabere Marando na Profesa Abdallah Safari kuwa majaji wa kuendesha kesi ya Habibu Mchange aliyekuwa anawania nafasi ya mwenyekiti.

Mchange ambaye anajitambulisha kuwa ni mfuasi wa naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe lilalamikiwa na mwenyekiti wa BAVICHA mkoani Mwanza, Liberatus Mlebele kukiuka maadili ya uchaguzi, ikiwamo kusafirisha wajumbe wa mkutano wa uchaguzi kutoka mikoani hadi Dar es Salaam.

Ndani ya CC, Mchange alilazimika kujibu tuhuma moja baada ya nyingine ikiwamo malalamiko ya kushindwa kuwajibika yaliyofunguliwa na katibu wa BAVICHA jimbo la Kigamboni.

Katibu huyo alimtuhumu Mchange kushindwa kutimiza wajibu wake kwa kile alichoeleza, “Tangu achaguliwe kushika nafasi ya mwenyekiti wa BAVICHA wilayani humo hajahudhuria vikao.”

Mjumbe mmoja wa CC amedokeza gazeti hili kuwa Mchange ambaye alionekana kuwa na wafuasi wengi, alikatwa kwa kuwa alishindwa kujitetea mbele ya mahakama ya CHADEMA.

Kwa mfano, kati ya 20 Mei na 25 mwaka huu, Mchange alituma zaidi ya Sh. 2, 561,000 kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa vijana kutoka katika mikoa mbalimbali nchini. Fedha hizo zilitumwa na Mchange mwenyewe kupitia mtandao wa M-Pesa na Tigo Pesa.

Namba ya Mchange iliyotumika kusambaza fedha hizo, ni 0658 178678. Alianza kutapakanya fedha kwa wajumbe 11 Mei 2011 saa 10:44.58 ambapo kiasi cha Sh. 28,500 zilitumwa kwa mmoja wa wajumbe wenye simu Na. 0659 374206.

Baadaye saa 11:04.24 alituma Sh. 15,500 kwenda Na. 0659 374206 na kisha 20 Mei 2011 saa 14:03.04 alituma Sh. 19,000 kwa mwenye Na. 0713 866650.

Tarehe 23 Mei 2011 saa 10:56.06, nyaraka zinaonyesa Mchange alituma Sh. 50,000 kwenda kwa mwenye Na. 0713 867745; tarehe 21Mei 2011 saa 11:54.47 alituma Sh. 40,000 kwenda kwa mwenye Na. 0717 268576 na saa 12:41.48 alituma Sh. 81,000 kwa mwenue Na. 0714 038536.

Wengine waliotumiwa fedha na Mchange; ni wenye Na. 0712 511508 aliyetumiwa Sh. 26,000 na mwenye Na. 0713 606169 aliyetumiwa Sh. 10,000 ambaye alitumiwa fedha hizo, saa 22:24.31.

Nyaraka za M-PESA zinamuonyesha Mchange akimtumia Peter Shiyo, mwenyekiti wa BAVICHA wilayani Maswa Sh. 50,000. Fedha hizo zilitumwa 23 Mei 2011 saa 16:39.

Tarehe hiyo 23 Mei 2011 saa 18:48, Mchange alituma kiasi cha Sh. 30,000 mwenyekiti wa vijana wilaya ya Singida Mjini, Wilfred Kitundu.

Aidha, siku hihiyo Mchange akitenda kama karani wa benki alituma Sh. 150,000 kwa mwenyekiti wa baraza hilo mkoani Mwanza, Liberatus Mlebele.

Mara baada ya kupokea fedha hizo, Mlebele aliwasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa akimtuhumu Mchange kumshawishi kwa njia ya rushwa ili amchague kuwa mwenyekiti.

Katika barua yake hiyo, Mlebele pamoja na mambo mengine alisema, “Ninakuandikia kwa nia njema kabisa ya kulinda hadhi ya chama chetu nikiomba maelekezo yako kama mtendaji mkuu wa chama.”

Anasema, “Tarehe 28 Mei 2011 Baraza la Vijana wa chama chetu litafanya uchaguzi wa viongozi wake wa kitaifa. Je, sisi wajumbe tumegharamiwa na chama ama wagombea kufika Dar es Salaam kwa ajili ya uchaguzi huu?

Alisema, “Ninauliza hivi kwa sababu tayari mmoja wa wagombea ameshaniagiza kufika Dar es Salaam kwa gharama zake ili kukagua hoteli ambayo wajumbe wa mkoa wangu na kwingineko watafikia hali ambayo ninaihesabu kama rushwa.”

Mlebele alisema katika barua yake, “Niko tayari kutoa vielelezo sahihi juu ya kitendo hiki kama itabidi, ili kulinda hadhi ya chama chetu dhidi ya watu hatari kama hawa.”

Alisema, “Kwa kuwa mimi binafsi sipendi rushwa na siwezi kuvumilia vitendo vya rushwa na kwa kuwa natambua chama chetu kimekuwa kinara wa kupambana na rushwa nchini, ninaomba kamati kuu ichukue hatua stahiki dhidi ya mtu huyu ili kulinda hadhi ya baraza na chama chetu mbele ya wananchi.”

Ni maelezo hayo ya Mlebele yaliyozika ndoto za Mchange kuwa mwenyekiti wa BAVICHA. Taarifa zinasema Dk. Slaa aliwasilisha malalamiko yote mbele ya wajumbe wa CC. Barua ya Mabele iliwasilishwa kwa Dk. Slaa, 26 Mei 2011.

Taarifa zinasema kabla ya CC kujigeuza mahakama ya kusikiliza shauri hilo, mjumbe mmoja alinukuliwa akimtetea Mchange. Hata hivyo, alizimwa na Dk. Slaa aliyesimama kidete kutaka chama chake kichunguze suala hilo na kichukue hatua.

Katika barua yake, Mlebele anasema alifikia katika hoteli ya Bondeni One iliyoko Magomeni. Anamtaja Mchange kuwa ndiye aliyelipa fedha hizo. Alitoa nakala ya kitabu cha wageni kuthibitisha kuwa fedha hizo zililipwa na aliyemteja.

Mchange alikiri mbele ya wajumbe wa CC kuwa ni kweli kwamba simu iliyotajwa kupeleka fedha ni yake; alimhonga Mlebele kiasi kilichotajwa, alilipia sehemu ya gharama za hoteli na alikiri kumuagiza akusanye wajumbe wa mkutano wa uchaguzi.

Kamati kuu ya CHADEMA ilipitisha majina ya wagombea tisa katika nafasi ya mwenyekiti na kisha kukasimu madaraka yake kwa kamati ya wazee kwa hatua nyingine inazoona zinafaa.

Ni kupitia kamati hiyo, ndiko wagombea wengine watatu walifyekwa. Waliopatwa na panga la kamati hiyo iliyokuwa chini ya Edwin Mtei, Bob Makani na mwanasheria wa chama hicho, Mabere Marando, ni Mtela Mwampamba, Bernard Saanane na Grayson Nyakarugu, huku John Heche akionywa na na kuelezwa ikibainika alifanya vitendo kinyume cha maandili, atavuliwa madaraka.

Wote waliokatwa walipatikana na makosa ya rushwa, kutoaminika, kupanga matokeo, makundi na kutumiwa na watu wa kutoka nje ya baraza la vijana.

Akifanya marejeo ya kilichofanyika Jumamosi katika uchaguzi huo uliofanyika ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam, Dk. Slaa alisema chama chake kimeweza kunasua mitego yote ya rushwa iliyopandikizwa na CCM.
 
Huyu ndio habib nchange.

Na Mwanahalisi

Masalia ya Zitto yapukutishwa CHADEMA

Na Alfred Lucas - Imechapwa 01 June 2011
Printer-friendly version

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ililazimika kujigeuza mahakama ili kusikiliza malalamiko dhidi ya wagombea nafasi ya uenyekiti wa baraza la vijana la chama hicho (BAVICHA).

Katika kusikiliza malalamiko hayo, Kamati Kuu iliwateua wanasheria wake mashuhuri, Mabere Marando na Profesa Abdallah Safari kuwa majaji wa kuendesha kesi ya Habibu Mchange aliyekuwa anawania nafasi ya mwenyekiti.

Mchange ambaye anajitambulisha kuwa ni mfuasi wa naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe lilalamikiwa na mwenyekiti wa BAVICHA mkoani Mwanza, Liberatus Mlebele kukiuka maadili ya uchaguzi, ikiwamo kusafirisha wajumbe wa mkutano wa uchaguzi kutoka mikoani hadi Dar es Salaam.

Ndani ya CC, Mchange alilazimika kujibu tuhuma moja baada ya nyingine ikiwamo malalamiko ya kushindwa kuwajibika yaliyofunguliwa na katibu wa BAVICHA jimbo la Kigamboni.

Katibu huyo alimtuhumu Mchange kushindwa kutimiza wajibu wake kwa kile alichoeleza, "Tangu achaguliwe kushika nafasi ya mwenyekiti wa BAVICHA wilayani humo hajahudhuria vikao."

Mjumbe mmoja wa CC amedokeza gazeti hili kuwa Mchange ambaye alionekana kuwa na wafuasi wengi, alikatwa kwa kuwa alishindwa kujitetea mbele ya mahakama ya CHADEMA.

Kwa mfano, kati ya 20 Mei na 25 mwaka huu, Mchange alituma zaidi ya Sh. 2, 561,000 kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa vijana kutoka katika mikoa mbalimbali nchini. Fedha hizo zilitumwa na Mchange mwenyewe kupitia mtandao wa M-Pesa na Tigo Pesa.

Namba ya Mchange iliyotumika kusambaza fedha hizo, ni 0658 178678. Alianza kutapakanya fedha kwa wajumbe 11 Mei 2011 saa 10:44.58 ambapo kiasi cha Sh. 28,500 zilitumwa kwa mmoja wa wajumbe wenye simu Na. 0659 374206.

Baadaye saa 11:04.24 alituma Sh. 15,500 kwenda Na. 0659 374206 na kisha 20 Mei 2011 saa 14:03.04 alituma Sh. 19,000 kwa mwenye Na. 0713 866650.

Tarehe 23 Mei 2011 saa 10:56.06, nyaraka zinaonyesa Mchange alituma Sh. 50,000 kwenda kwa mwenye Na. 0713 867745; tarehe 21Mei 2011 saa 11:54.47 alituma Sh. 40,000 kwenda kwa mwenye Na. 0717 268576 na saa 12:41.48 alituma Sh. 81,000 kwa mwenue Na. 0714 038536.

Wengine waliotumiwa fedha na Mchange; ni wenye Na. 0712 511508 aliyetumiwa Sh. 26,000 na mwenye Na. 0713 606169 aliyetumiwa Sh. 10,000 ambaye alitumiwa fedha hizo, saa 22:24.31.

Nyaraka za M-PESA zinamuonyesha Mchange akimtumia Peter Shiyo, mwenyekiti wa BAVICHA wilayani Maswa Sh. 50,000. Fedha hizo zilitumwa 23 Mei 2011 saa 16:39.

Tarehe hiyo 23 Mei 2011 saa 18:48, Mchange alituma kiasi cha Sh. 30,000 mwenyekiti wa vijana wilaya ya Singida Mjini, Wilfred Kitundu.

Aidha, siku hihiyo Mchange akitenda kama karani wa benki alituma Sh. 150,000 kwa mwenyekiti wa baraza hilo mkoani Mwanza, Liberatus Mlebele.

Mara baada ya kupokea fedha hizo, Mlebele aliwasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa akimtuhumu Mchange kumshawishi kwa njia ya rushwa ili amchague kuwa mwenyekiti.

Katika barua yake hiyo, Mlebele pamoja na mambo mengine alisema, "Ninakuandikia kwa nia njema kabisa ya kulinda hadhi ya chama chetu nikiomba maelekezo yako kama mtendaji mkuu wa chama."

Anasema, "Tarehe 28 Mei 2011 Baraza la Vijana wa chama chetu litafanya uchaguzi wa viongozi wake wa kitaifa. Je, sisi wajumbe tumegharamiwa na chama ama wagombea kufika Dar es Salaam kwa ajili ya uchaguzi huu?

Alisema, "Ninauliza hivi kwa sababu tayari mmoja wa wagombea ameshaniagiza kufika Dar es Salaam kwa gharama zake ili kukagua hoteli ambayo wajumbe wa mkoa wangu na kwingineko watafikia hali ambayo ninaihesabu kama rushwa."

Mlebele alisema katika barua yake, "Niko tayari kutoa vielelezo sahihi juu ya kitendo hiki kama itabidi, ili kulinda hadhi ya chama chetu dhidi ya watu hatari kama hawa."

Alisema, "Kwa kuwa mimi binafsi sipendi rushwa na siwezi kuvumilia vitendo vya rushwa na kwa kuwa natambua chama chetu kimekuwa kinara wa kupambana na rushwa nchini, ninaomba kamati kuu ichukue hatua stahiki dhidi ya mtu huyu ili kulinda hadhi ya baraza na chama chetu mbele ya wananchi."

Ni maelezo hayo ya Mlebele yaliyozika ndoto za Mchange kuwa mwenyekiti wa BAVICHA. Taarifa zinasema Dk. Slaa aliwasilisha malalamiko yote mbele ya wajumbe wa CC. Barua ya Mabele iliwasilishwa kwa Dk. Slaa, 26 Mei 2011.

Taarifa zinasema kabla ya CC kujigeuza mahakama ya kusikiliza shauri hilo, mjumbe mmoja alinukuliwa akimtetea Mchange. Hata hivyo, alizimwa na Dk. Slaa aliyesimama kidete kutaka chama chake kichunguze suala hilo na kichukue hatua.

Katika barua yake, Mlebele anasema alifikia katika hoteli ya Bondeni One iliyoko Magomeni. Anamtaja Mchange kuwa ndiye aliyelipa fedha hizo. Alitoa nakala ya kitabu cha wageni kuthibitisha kuwa fedha hizo zililipwa na aliyemteja.

Mchange alikiri mbele ya wajumbe wa CC kuwa ni kweli kwamba simu iliyotajwa kupeleka fedha ni yake; alimhonga Mlebele kiasi kilichotajwa, alilipia sehemu ya gharama za hoteli na alikiri kumuagiza akusanye wajumbe wa mkutano wa uchaguzi.

Kamati kuu ya CHADEMA ilipitisha majina ya wagombea tisa katika nafasi ya mwenyekiti na kisha kukasimu madaraka yake kwa kamati ya wazee kwa hatua nyingine inazoona zinafaa.

Ni kupitia kamati hiyo, ndiko wagombea wengine watatu walifyekwa. Waliopatwa na panga la kamati hiyo iliyokuwa chini ya Edwin Mtei, Bob Makani na mwanasheria wa chama hicho, Mabere Marando, ni Mtela Mwampamba, Bernard Saanane na Grayson Nyakarugu, huku John Heche akionywa na na kuelezwa ikibainika alifanya vitendo kinyume cha maandili, atavuliwa madaraka.

Wote waliokatwa walipatikana na makosa ya rushwa, kutoaminika, kupanga matokeo, makundi na kutumiwa na watu wa kutoka nje ya baraza la vijana.

Akifanya marejeo ya kilichofanyika Jumamosi katika uchaguzi huo uliofanyika ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam, Dk. Slaa alisema chama chake kimeweza kunasua mitego yote ya rushwa iliyopandikizwa na CCM.

Mods unganisha hii ya Kubenea na thread ya Mchange, nondo kwa nondo hakuna kulala
 
Mbona Msigwa hajashambuliwa? Mbona sugu hajashambuliwa? mbona lissu hajashambuliwa? mbona nyerere hajashambuliwa? . mbona wenje hajashambuliwa?Afteral hao wako potential zaidi kuliko nyie, Dont be myopic, ninyi vijana mna matatizo ya msingi...hizo ndio agenda zenu kuamplify propaganda za CCM.CDM itajengwa na wana CDM wa dhati wanaokipenda chama kutoka moyoni,sio nyie.

Mkuu kaudini mkuu...hawa wote wanasali kanisa moja.
 
Acha kutapatapa jibu swali la Gracious usisingizie fake Ids,umeshikwa pabaya kweli njia ya mwongo fupi,msaliti mkuwa wewe na ZZK na huyo Shonza,jibu hayo maswali uliyoulizwa acha kulia lia

naona unalilia posho hapa
 
ni dhambikatika imani ya dini yangu kujadiliana na SANAMU(FAKE IDS) come up kwa jina lako tujadiliane sawa sawa, naona unataka kuleta nabishano yasiyo na kichwa wala miguu.
soma vizuri maandiko yangu utanielewa..unless wewe ndo uwe SAA NANE mwenyewe.
hivi huyu ni nani kwenye chama,..mimi mbona sikujui?naona unajiingiza kwenye makwapa ya zitto ili na wewe ujulikane!!ok..mshikaji kanitonya kuwa uligombea kibaha koka akakumwaga..najiuliza umakini wa cdm mpaka wamsimamishe mtu kama wewe kugombea ubunge..naenda kuanzisha kampeni kibaha kukuonyesha wewe ni nani na wale waendesha bodaboda ninaoambiwa ndio waliokusapoti kupata hivyo vikura naanza nao..oops mshikaji ananiambia ulichukua mlungula wa koka!!!siamini hili sababu umeonyesha uwezo mdogo wa kudanganya kwa hiyo huwezi kumshinda huyo koka..
ben anasema mlilishwa yamini kwa mganga kwa hiyo hamuwezi kumkana zitto...wachawi wanaruhusiwaje chadema?
mimi sitoki kigoma na wala sijaaga kwetu..
 
Dr.slaa alitukanwa???Kisa kumytuma ben saaanane?

Acha weeeee, yaani fb page za kina Mchange unazikana ivi ivi....au kutukanwa ni mpaka useme ''nyoko Slaa''......Zitto anasema ukanda, Mchange-ukanda, mara bila yeye CDM haisimami, huku sio kumtukana Slaa na chama kweli
 
Mimi wasiwasi wangu ni kwa huyu mtu anaitwa 'Taswira' anaweza ku-collapse kwenye computer maana tokea afungue hiyo ID jana ni bandika bandua amekesha usiku mzima, ina maana huko ujerumani alikoenda si kaenda kushugulikia hela zetu za uswisi? sasa mbona anashinda kwenye computer anatupa 'mawe'.

unampenda sana eeh?Unayesema yupo ujeerumani waulize waliokuwepo kamatti kuu walikuwa na nani\/aha kulishwa povu
 
Ben saanane,mwampamba na Mchange mmeudhihirishia ulimwengu ni jinsi gani mlivyo majuha! Haya mliyoyaanika hapa hayakijeng chama chenu wala hao mlioamua kuwa watumwa kwao. Fanyeni kazi halali na mtapata mali kwa jasho lenu kuliko kuwa makuwadi,wapika majungu na watetezi wa wahujum wa chama hakika hamtoishi maisha ya furaha,nimeufatilia huu mjadala kama ulivyoanzishwa na Exaud Mamuya sijaona tija yoyote kwa mustakabali wa taifa zaidi ya ubinafsi uliokidhiri toka kwenu na uroho wa madaraka kwa Gharama yoyote. Jiokoeni nafsi zenu dhidi ya Damu na Machozi ya wanachadema waliofia chama. waliamin katika ukombozi halisi wa Taifa dhidi ya fikra kandamizi za watawala na maendeleo chanya kwa wananchi wote. Mungu baba ametuonesha na atazidi kutenda ili tuwajue walio wetu na wanafiki kabla filimbi ya 2015 kupulizwa.

Zito...sijaona hekima katika andiko lako.
 
Mkuu kaudini mkuu...hawa wote wanasali kanisa moja.

Hapana Ritz,let us be objective sometimes.wewe hua unakua objective sometimes.Hawa vijana wana matatizo binafsi...sio bure.
 
Last edited by a moderator:
hivi huyu ni nani kwenye chama,..mimi mbona sikujui?naona unajiingiza kwenye makwapa ya zitto ili na wewe ujulikane!!ok..mshikaji kanitonya kuwa uligombea kibaha koka akakumwaga..najiuliza umakini wa cdm mpaka wamsimamishe mtu kama wewe kugombea ubunge..naenda kuanzisha kampeni kibaha kukuonyesha wewe ni nani na wale waendesha bodaboda ninaoambiwa ndio waliokusapoti kupata hivyo vikura naanza nao..oops mshikaji ananiambia ulichukua mlungula wa koka!!!siamini hili sababu umeonyesha uwezo mdogo wa kudanganya kwa hiyo huwezi kumshinda huyo koka..
ben anasema mlilishwa yamini kwa mganga kwa hiyo hamuwezi kumkana zitto...wachawi wanaruhusiwaje chadema?
mimi sitoki kigoma na wala sijaaga kwetu..[/QU
we dogo usiweuke na elimu yako ya uganda mwenye cv ya kaptula,,mbona juzi nilikwambia katafute credit ndo uje humu ndani.siyo kila umzaniye ndiye,na nawaapieni nag'oka na nyie
 
sasa kama hakuwa anahujumu chama kwanini aseme alikuwa msaliti na sasa ameokoka?..
saa nane wa baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 anawezaje kuokoka na kuwashinda watu ambao wamepoteza nguvu, muda na akili zao katika kampeni za kupigania chama?..kama nawe ni mwanachadema hebu nitajie jina lako halisi na ili nikuulize swali...
hakuna jinsi saa nane anaweza kuukwepa huu mtego wake wa kinafiki..saa nane alitaka kutufanya sisi mabwege ili awaambie mabosi zake kuwa kuna makundi ndani ya chama. hakika hakuwa na mikakati madhubuti kufikia malengo yake hayo. ndio maana ilikuwa rahisi kumshukia.....

mlimshtukia too late jamaa ana ushahidi wa video,audio,still pictures,text messages and all that stuff...naona jamaa aliwazidi ujanja,..huyu jamaa ni kama CIA
 
Taswira, malinda, Mchange sikuwahi kuwaona JF kuhamasisha M4C kabisa......pro CCM waliwa-win kwa kuhamasisha M4C indirectly.......sasa nyie CHADEMA ya wapi
 
hivi huyu ni nani kwenye chama,..mimi mbona sikujui?naona unajiingiza kwenye makwapa ya zitto ili na wewe ujulikane!!ok..mshikaji kanitonya kuwa uligombea kibaha koka akakumwaga..najiuliza umakini wa cdm mpaka wamsimamishe mtu kama wewe kugombea ubunge..naenda kuanzisha kampeni kibaha kukuonyesha wewe ni nani na wale waendesha bodaboda ninaoambiwa ndio waliokusapoti kupata hivyo vikura naanza nao..oops mshikaji ananiambia ulichukua mlungula wa koka!!!siamini hili sababu umeonyesha uwezo mdogo wa kudanganya kwa hiyo huwezi kumshinda huyo koka..
ben anasema mlilishwa yamini kwa mganga kwa hiyo hamuwezi kumkana zitto...wachawi wanaruhusiwaje chadema?
mimi sitoki kigoma na wala sijaaga kwetu..[/QU
we dogo usiweuke na elimu yako ya uganda mwenye cv ya kaptula,,mbona juzi nilikwambia katafute credit ndo uje humu ndani.siyo kila umzaniye ndiye,na nawaapieni nag'oka na nyie
now the whole world can agree with me mchange got multiple ID's
 
Mchange, hebu angalia tena kwenye red: Unaona tofauti yoyote? mfano email moja ina tarehe, muda etc. Hiyo nyingine imekuwa cropped!

Pili, kwanini 'FONTS zinatofautiana kati ya email-copy- ya awali na hii uliyoweka sasa?

Tatu, mtiririko wa huo email ulikuwaje? i.e. ni kitu gani kilikuwa kinaongelewa hapo hadi Ben akatuma (au ghost aka-Foward) email kwako?

Nne, PM7 bado ipo hai? kama jibu ni ndiyo, wajumbe wake ni nani, na mara ya mwisho walikutana lini, na malengo ya baadae yakoje? Na kama PM7 haipo ni lini ilivunjwa?

Tano, wewe ulikuwa mwanachama wa PM7? Na kwa mtazamo wako ulidhani PM7 kitaimirisha au kitadhoofisha chama chenu? Na kama ulidhani kitadhoofisha chama, ulitoa taarifa kwa viongozi wako wa juu ili wachukue hatua stahiki?

Sita na mwisho, Kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake. Ben Saanane amekiri kushiriki kwenye mkakati 'hasi' dhidi ya CHADEMA, lakini pia amesema kwa sasa amejitoa. Vipi, wewe uko upande gani?

well done, FJM nadhani mchange akitujibu hapa labda doubts zetu zitaisha...
 
Back
Top Bottom