asante sana kamanda mchange kwakuleta huu ufafanuzi,maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe,suala la ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo,huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono zitto,nazidi kusisitiza kwamba ben saanane anatumia uongo kuuaminisha umma kwamba anamfahamu zitto kitu ambacho hata nafsi yake nina hakika inamsuta.ben acha kukimbia kivuli chako,sio rahisi kumchafua zitto kama unavyoweza kudhani,japo mnajitahidi sana lakini hamtofanikiwa.palipo ukweli uwongo hujitenga .
Bw. Mchange, nina kaswali kamoja tu kadogo.
Kama ulishambaini Saa Nane kuwa mtu wa hatari, mbona uliendelea kuwasiliana naye? Mimi watu kama hao huwa nawapotezea mara moja, lakini inaonekana umeendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na mtu huyu ambaye tangu mwanzo hukumwamini.
Juliana Shonza napenda utuambie watanzania kuwa 1. kwa nini ulishiriki kwenye kikundi hichi? 2.Je mlikua mna matarajio gani ndani ya kikundi hichi? 3. kwa nini haukuwa tayari kuanika haya kabla ya nyie kupishana na Saa nane??asante sana kamanda mchange kwakuleta huu ufafanuzi,maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe,suala la ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo,huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono zitto,nazidi kusisitiza kwamba ben saanane anatumia uongo kuuaminisha umma kwamba anamfahamu zitto kitu ambacho hata nafsi yake nina hakika inamsuta.ben acha kukimbia kivuli chako,sio rahisi kumchafua zitto kama unavyoweza kudhani,japo mnajitahidi sana lakini hamtofanikiwa.palipo ukweli uwongo hujitenga .
Juliana shonza naona alikimbia baada ya kuona kikundi niha kihuni,Muasisi Ben saanane.Juliana Shoza napenda utuambie watanzania kuwa 1. kwa nini ulishiriki kwenye kikundi hichi? 2.Je mlikua mna matarajio gani ndani ya kikundi hichi? 3. kwa nini haukuwa tayari kuanika haya kabla ya nyie kupishana na Saa nane??
BEN SAANANE NJOO HAPA,
Wewe ni muaisis wa kundi la kupindua chama ambalo baadae likakukimbia,Kwanini unakihujumu chama kiasi hiki?
Pesa za mahotelini huwa unatoa wapi?
Kiongozi gani mkuu ndani ya chadema anakutumia
mbona mimi nimemuelewa vizuri sana mkuu, kama anasema kuwa SAA NANE amewaingiza KING WENZIE sasa anataka kuwaacha kwenye mataa.
tuvute subira tusikie mengi zaidi
Taswira,MCHANGE,Habari.
Hivi ni kwanini wewe na Ben saanane hamuelewani,?
Kwanini Dr.slaa anakuogopa sana wewe?Unatabia gani ya kuwafanya wakukimbie.
Hongera kwa kumuanika Ben saanane na usaliti wake,Umenikumbusha INDIA alivyowasaliti watanzania wenzake.
Vita ni vita muraa. Tutafika tu kwenye Standard Temperature and Pressure(S.T.P). Baada ya kudokoa nyama gizani, wameanza kutajana hadharani.
Taswira,
Wewe umejulia wapi kwamba Dr. Slaa anamwogopa Mchange? Au ndiyo yale yale ya kuchafua uongozi wa chama?
kama alivyosema mchange ndivyo, basi naona saa nane anatakiwa atoe ufafanuzi zaidi kuhusu hii mipango yao. vinginevyo watakiingiza chama kwenye migogoron isiyokwisha na kutufanya sisi tusio wanachama kuendelea kudharau bupinzani. kuna haja ya vijana wetu kuanza kufundwa kisiasa
naona kama unataka kututoa kwenye mjadala vile?..samahani lakini, hao uliowataja sioni kama wana husiana na masala yaliyoandikwa hapa saana ukiondoa bwana mchange ambaye ni mtoa mada. ukianza habari za hivyo unakuwa tayari umechagua upande na hautaweza kujadili kwa haki...hebu tuendelee kujadili huu mtanange wa kambi mbili zinazokinzana
Mjadala gani sasa? Hapa hakuna mjadala, jambo liko wazi kwamba Zito kachafuka kwa kuhusishwa na conspiracies za kuhusu kuvuruga chama chake. Mi naona storyline zote za pande mbili zinakubaliana katika hilo. Wanachotofautiana ni kwamba upande mmoja wa akina Saanane umetubu na kukiri wazi, upande mwingine upo kwenye denial, self righteous na hautaki kutubu.
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.Bw. Mchange, nina kaswali kamoja tu kadogo.
Kama ulishambaini Saa Nane kuwa mtu wa hatari, mbona uliendelea kuwasiliana naye? Mimi watu kama hao huwa nawapotezea mara moja, lakini inaonekana umeendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na mtu huyu ambaye tangu mwanzo hukumwamini.