Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Binafsi namshukuru Mungu Yehova (Muumba wa mbingu na nchi) kwa hiki kinachotokea leo. Leo tumejionea wazi wazi kile kilichokuwa kimefichika. Naomba wote (wakiwemo wanaojadiliwa hapa) tutafakari yafuatayo:

  1. Hakuna anaepinga kuwa kuliundwa kundi la kuchafua viongozi wa CHADEMA (na kuwachonganisha Mh Mbowe na Dr Slaa) intended beneficiary akiwa ni Mh Zito Kabwe.
  2. Kumekuwa na threads nyingi tu humu za kuwachafua viongozi wa CHADEMA na kudai kuwa Mh Zito anaandamwa/anachukiwa ndani ya Chama. Hata viongozi wa ccm na wapenzi wake wamekuwa wanashadidia "kuchukiwa" kwa Mh Zito (japo nikiri awali nilichukulia kuwa ni sehemu ya "singo" ya "ukanda, udini na ukabila" wa CHADEMA -rejeeni kauli ya mukama wakati wa msiba wa Mzee Bob Makani)
  3. Hakujawa na kauli kutoka kwa Mh Zito kukanusha kuwa yeye anaandamwa (nitafurahi kuonyeshwa ushahidi ili kuthibitisha kuwa nilichosema hapa si sahihi).
  4. Ben Saa Nane kakiri na KUTUBU kuhusika (na watajwa hawapingi) kuhusika na mkakati wa kuwachafua viongozi wa wakuu CHADEMA.

So what do these four issues tell us? Mh Zito, you need to own up this sad state of affairs. You may actually be innocent, but your (including of those who have been doing their best - which has so far achieved to reinforce the negative perspective on your part) deeds and words hardly help your cause. Simama hadharani, own up and let us move forward.

Mchange, Taswira, Juliana et al; Ben (au inawezekana ni mjumbe mwingine) katuambia ana ushahidi na anakusudia KUUTOA KWENYE VIKAO VYA CHAMA, so why can't you guys wait and nail him there if you are so sure of what you are telling us here?????

Kunasehemu watu wamesema walikuwa wanawahafua slaa na mbowe?Mbona unatunga uongo usio kuwepo.Kilicho zungumzwa hapa ni PM7 nasio hicho unahoturubuni
 
ngumu sana kueleweka hasa kama mmeshtukizwa kutoka usingizini kama mchange alivyofanya....TUMWAMBIENI BEN ASEME HICHO KIKUNDI CHAKE CHA PM7 KILIKUWA NA LENGO GANI?.
 
YAWEZEKANA U MGENI KWENYE SIASA ZA CHADEMA, MIGOGORO YA CHADEMA HAIKUANZA BAADA YA UCHAGUZI KAMA UNAVYODAI...LABA NIKUKUMBUSHA KIDOGO...
1. Walianza na kaborou, wakamshambuliaaaaaa mpaka akahama chama.
2. wakahamia kwa akwilombe, naye wakamshambuliaaaa mpaka akahama chama
3. wakaja kwa kina Mzirai, Mng'ong'o na wenzao wakawashambulia mpaka wakawafukuzza uanachama..
4. lakini kubwa zaidi ni CHACHA WANGWE, walimshambulia, wakamwita msaliti, amenunuliwa, amehongwa mpaka akauawa kitatanishi tatanishi, cha kushangaza ni kwamba baada tu ya kuuawa kwake wakaacha kumuita msaliti, akaanza kuitwa KAMANDA...
5. Wamehamia leo kwa zitto, wanamshambulia ili ahame chama, kinachowauma sasa in zitto kuwapuuza, ndio maana wanalazimika kubuni kila aina ya njia za kumshusha lakini wanashindwa....

kitu cha msingi na kuzingatia ni kwamba kwenye chadema woooooote wanaweza kuitwa wasaliti isipokuwa wawili tu.
Uko sahihi na hii imetokea ili kupoza madhara ya kadi mbili za uanachama' naamini ktk kweli na chama kitasonga mbele na madiwani wa mwanza 2taendelea nao ukiwa upande wa kabwe tarajia haya na c vinginevyo.
 
Habari, nimeona mchango wangu huu niuanzishie uzi ili tujadiliane kwa mapana..

Mpaka tuufikie tunaouita ukombozi wa pili, basi tuna kazi na safari ndefu sana!

hapa inaonyesha hukua na nia thabiti ya ukombozi na ni mtu uliyekata tamaa,yaani 2015 ni safari ndefu?basi kwa taarifa yako ukombozi uko karibu hasa baada ya wasaliti wazuia ukombozi kama ninyi kuvuliwa nguo.

Kama vijana tunaweza tukainuka na kuanza kuporomosha mashtaka na kutaja majina ya watu bila hata facts, basi kazi ipo ndugu zangu.
mlipokuwa mnatoa kashfa kwa slaa na mbowe hapa jamvini mlikuwa na facts?

Ufahamu wangu ni kuwa ili tufanikiwe kuwaondoa CCM madarakani lazima tufanye kazi hiyo kama timu moja, mawazo yangu ni kuwa hatutaweza kufikia hatua yoyote ikiwa tutakuwa na vijana wa namna hii.
hili ndio unalijua leo?wakati wenzenu wanaendelea na m4c nyie mnaongelea kumuweka zitto madarakani,iko wapi team work unayoisema?

Vijana wa aina ya Ben Saanane wanaoweza kukaa, kutengeneza mgogoro, kubuni njia za kuuendesha mgogoro, kutafuta suluhu na hatimaye kwenda kuuza huo mgogoro kwa viongozi wengine huku akiamini kuwa anakinusuru chama hakika anakosea sana.

Vijana wa aina ya Saanane ambao kazi yao nikutumia muda na akili zao nyingi kuwarubuni na kuwagombanisha vijana wa chama na viongozi wa chama ni hatari pengine kuliko ukoma.
inakuaje ujitenganishe na saanane tena baada ya yeye kukiri ukweli juu ya uhuni wenu?ni kweli tunawaogopa wote kwa ujumla wenu,lakini ukiacha saanane aliyekiri makosa yake hadharani nyie mliobaki ni wa kuogopwa kuliko kimeta(anthrax)

1. Naomba niweke wazi hapa leo, kuwa sikuwahi kumfahamu mtu anayeitwa Ben Saa nane kabla mwezi wa nne 2011.
sijawahi kumsikia jina wala kumuona sura yake.(hawezi kubisha kwenye hili)
haya yalioko kwenye bold yalisemwa na zitto pia,sielewi kwa nini mnapinga kumtambua saanane..naamini ukweli utajulikana sooon

2. Ben ndiye alikuwa wa kwanza kunipigia simu, kati kati ya kipindi cha kampeni za uchaguzi wa BAVICHA - 2011 mimi nikiwa nagombea uenyekiti na yeye akiwa ni mgombea wa kimkakati(alitumwa na baadhi ya viongozi kuja kuuvuruga uchaguzi-uthibitisho upo) ambapo aliponipigia simu na kunieleza kuwa tuna haja ya kukaa kama wagombea na kuangalia namna tunaweza shiriki salama kwenye huo uchaguzi kwa madai kuwa amepata tetesi makao makuu wanamgombea wao na wanajiandaa kukata majina ya watu, jina lake na langu yakikiwemo. Nilimsikiliza na kumpuuza.
saanane ameshakiri hilo liloko kwenye bold!sio kawaida kwa mgombea kusikiliza na kupuuza hasa kwenye taarifa zinazohusu kuenguliwa kutoka kwenye uchaguzi...labda wewe ndiye uliyekuwa mgombea wa kimkakati.

3. Baada ya hapo sijawahi kuwasiliana nae tena ben saa nane, mpaka usiku wa siku jina langu limekatwa na kamati kuu ya chama, tena aliwasiliana na mimi kupitia grayson nyakarungu, aliyekuwa swahiba wake…cha kusikitisha ni kuwa mwana mkakati ben aliwashauri mwampamba, nyakarungu na kisandu kuungana, akanishirikisha na mimi. Huku nikijua dhamira yake kuwa ni unafiki. Nikamsikiliza kwa kuwa sikuwa tena na cha kupoteza (nimeshaenguliwa tayari).

Masikini ya mungu BEN akawahadaa vijana wa watu (Mwampamba na Nyakarungu) wakaenguliwa huku yeye akiwa ni wa kwanza kukiri kuwa wameamua kuongeza nguvu
.
kwa nini kila mara unapinga kuwasiliana au kukutana na saanane?kwa kinywa chako unakubali hili ndio lilkuwa genge lenu la wachumia tumbo na wasaliti wa chama!halafu unataka kutuaminisha kuwa harakati zenu ndio zilianzia hapa,je ukiletewa ushahidi wa harakati zenu kabla ya hapa utapinga?
4
. Unafiki wa Saanane uliendelea siku ya tatu baada ya kuisha kwa uchaguzi wa BAVICHA maana baada ya kukatwa jina langu, wanafiki wengi walifikiri ningetoa tamko la kukipinga chama ama kuhama chama, sikufanya hivyo, kwangu mimi uchaguzi ule haukuwa ligi, ilikuwa ni mechi tu ya kirafiki. Hapo mwenyekiti wa chadema wilaya ya Kibaha akaomba kukutana namimi, nikakubali, nikakutana nae ubungo plaza, tukiwa hapo tulikuwa na mwampamba na nyakarungu, aliposimuliwa saa nane kuwa tunaenda kukutana ubungo Plaza, akaandika humu jamii forums kwa kutumia ID fake yake kuwa tumekutana na mimi nina mpango wa kuhama chama
itaje hiyo ID fake ya saanane....si umeamua kuweka ukweli hadharani.
5. Kwa kipindi chote hicho saa nane alikuwa anaitisha vikao vya kila aina, saa nane anatukana na kutoa kejeli za kila aina kwa viongozi wa kuu hasa katibu mkuu na mwenyekiti (lengo ni kutaka kluthibitisha kuwa kuna vijana wanawapinga viongozi hawa). Ninataja maeneo machache ambayo saa nane alipenda kuitishia vikao vyake, KWA JOHN FEDHA-KINONDONI, BLUE PEARL HOTEL-UBUNGO PLAZA na LUCH TIME HOTEL-UBUNGO EXTERNAL….naomba nikiri hadharani hapa, si mimi, mwampamba wala Juliana anayemsema aliyewahi kwenda kukutana na saa nane akajinunulia kinywaji wala chakula…kwa saa nane huwa tukifika tunakula, tunakunywa mpaka tunapochoka saa nane yeye hulipia-tukambatiza jina tukamwita manji. (lakini siku zote nimekuwa nikiwaambia wenzangu kuwa kaeni chonjo na huyu jamaa ana kazi maalum---leo wamejionea)
katiba ya chama na dhamiri yako inakuambia nini mara unapogundua kuna mamluki ana ''kazi maalum'' ndani ya chama chako au kundi lako?

SAA NANE NA ZITTO

Nimeshtushwa sana na maandishi aliyoyaandika Saanane leo, hii inatokana na ama kuchanganyikiwa au kujihami kutokana na kushushuliwa na kuonekana mwongo. Naomba nieleze vizuri hapa.
nilitegemea ushutushwe na maneno ya vitisho vya kichawi vilivyoletwa na bosi wako TUNTEMEKE MKUU(zitto)

1. Ben Saanane ndiye alikuwa muitishaji mkuu wa vikao vya hotelini(makutano) akiwa na saa yake ya kurekodi aliyonunuliwa na kiongozi mmoja wa chama kwa kinachoitwa kazi ya ushushu. Yeye ndiy aliyekuwa mwenyekiti wa vikao na mwandishi wa kila kinachosemwa.
bado unaendeleza kashfa kwa viongozi wa chama..kweli hii ni hulka yenu.kama uliweza kugundua hili saa ya kishushushu basi nachelea kuamini na wewe ulikuwa na kifaa chako cha ushushushu ulichopewa na TUNTEMEKE MKUU(pengine cha kupiga ramli)

2
. Ni BEN SAANANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ''patriotic movement seven'' na akakifupisha PM7. Akashawishi kikundi hicho kizunguke nchi nzima kuhamasisha viongozi wa huko kufanya mageuzi ndani ya chama. Saa nane unafiki utakupeleka pabaya.
ina maana wewe si mmoja wa hilo kundi la washawishiwa??hii hawaondolei makosa hata kidogo,wewe ulitaka kundi lijianzishe lenyewe?hivi ben ana miaka mingapi na wale walioshawishiwa wana umri gani?sioni kama ben ana kosa kwani aliwashikia bastola?

3. Ni BEN SAANANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE (kwa kuwa nilikuwa naijua dhamira yake niliendelea kumkeli)

nadhani ulikubaliana na dhamira ya ben kwani ilishabihiana na dhamira yako!

6. Ni BEN SAANANE ndiy aliyekuwa anasisitiza tuombe kukutana na zitto kabwe ili tumuombe ufadhili wa kufadhili kikundi chetu kilichoasisiwa na SAANANE na akanipa jukumu la kuhakikisha ninamwambia na kumshawishi zitto tukutane nae tufanye nae kikao, sababu yake kubwa ni kwamba Zitto ni rafiki yangu sana na itakuwa rahisi kumpata. Hapa tulirumbana sana, mimi nilielewa dhamira yake na nikiri leo hadharani kuwa nilimshauri zitto asikubali kukutana na kikundi hiki, na niukamwambia kabisa kuwa lengo la kikundi hiki ni kuthibitisha makundi ndani ya chama.-leo yametimia.
majuto ni mjukuu!!haya tuambie basi Zitto(TUNTEMEKE MKUU) alikujibu nini na baada ya kukujibu uliendelea kumshauri nini?

Niseme hapa kuwa wote kwa pamoja, saa nane na zitto kila mmoja ameniambia kwa mdomo wake kuwa hawajawahi kuonana uso kwa macho, zitto yeye anasema kuwa anaweza akakutana leo na saa nane barabarani na akapishana nae bila kumfahamu.
kwa nini mnakanusha kuonana na saanane ?hapa nakumbuka petro alimkana yesu mara ya tatu na jogoo likawika!! Ben Saanane njoo uthibitishe huku.

Kwa mtiririko wa matukio ulivyo, na kwa jinsi SAA NANE alivyoandika mashtaka yake dhidi ya zitto huku akizani anamchafua, hakika amejidharirisha sana.
aliyedhalilika ni 'TUNTEMEKE MKUU' na nyie mnaomtetea bila kujenga hoja.hakuna anyepinga kuwa saanane sio msaliti lakini kinachoendelea kuudhi ni upuuzi mnaofanya wa kukanusha haya.njooni haraka muombe radhi kwa umma!

Kumshambulia zitto kwa mashtaka ya uwongo namna hii kuna mfanya zitto awe na nafasi ya kuonekana anasingiziwa mamba mengi sana hasa ndani ya chama.
ndio ....zitto anasingiziwa uchawi!!

Kwa mimi ninayemfahamu Saanane nje na ndani, na ninayefahamiana na kufanya kazi na Zitto, kwa mashtaka haya ya uwongo, basi hakika nitazidi kumuamini Zitto
.
huwezi kuacha kwa kuwa umelishwa yamini kwa mganga...chezeya mtu imeaga kwao wewe!!thubutu kumsaliti uone kama kuna kiroboto kitaishi hapo kwenu.

Napata mashaka kama anakielewa anachokisema, huwezi kumtenganisha zitto na uongozi wa chama. Zitto ni naibu katibu mkuu wa chama, hivyo sio rahisi kumchafua zitto ukaacha kukichafua chama.
zitto keshachafuka na chama kinasonga kwa nguvu ya umma!kwa hiyo mliona kumchafua Dr slaa mngekiacha chama salama...shame on u!

Nimemwona saa nane anajitetea kutishiwa kuuawa, saa nane, ZITTO akiwa na mimi amenusurika kuuawa kwa ajali ya gari hivi karibuni tukitokea morogoro kwenda iringa(siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu nyerere) baada ya wapinzani wake ndani ya chama kwenda kufungua nati za tairi la nyuma ili afe, kweli zitto ameaga kwao, kweli zitto hataweza kufa kwa mipango ya mungu, hatukufika mbali tuliushtukia mchezo tukarudi morogoro mjini na zitto akaendelea na retreat yao mpaka kesho yake tukarudi dar wala hakuitangaza hii sababu aliwadharau na mbinu dhaifu.

Sio rahisi kuitoa roho ya mwanadamu mwenzio, sio rahisi kumuua zitto kama mlivyojaribu mara kadhaa na timu yenu ..
nimefuatilia post za mijadala hii na kuona aliyeanza kujihami dhidi ya kifo ni zitto na sio saanane.
tabia hii inaitwa delusion of persecution a delusion that one is being attacked, harassed, persecuted, cheated, or conspired against.

mwisho naomba urudi kwa zitto akupe cha kuandika kwani hujajibu hoja ya saanane.sana sana umethibitisha kuwa alichosema ni kweli.mbaya sana badala ya kuomba msamaha kwa sisi wananchi bado mnaendeleza propaganda zenu za TUNTEMEKE style....ondokeni chadema mkajiunge na mafisadi wa magamba.
 
Last edited by a moderator:
kwa mala ya kwanza nitaweka nilichokiona ktk post zote kuanzia ya mamuya,Saanane na hadi hii ya mchange' ni kwamba kwa kawaida yai likipasuka kiini chake hapo 2natalajia kupata kifaranga'but hilo yai likipasuka kuanzia nje ya cover litakuwa limeharibi na hatutarajii chochote' .

Hawa vjana wote wana2mika, last wk saanane alim2humu julliana jana kaja na zitto nasema binafsi nguvu hizi mngezielekeza vijijini hakika mngepata wafuasi huko kwa hadhari 2 ni kuwa cjawahi kumsikia huyo zitto aki2kana viongozi wenzake kama ambavyo ckuwahi kumsikia Chacha Wangwe aki2kana viongozi.

Kilicho mtesa Wangwe ndicho kinachomtesa Zitto kupigania usawa na haki na pesa kugawanywa hadi kwenye matawi kuendeleza uhai wa chama.

Na katika hili hata sitashangaa mzee Arfi alipo2pa kadi ya chama chini na wakijitoa wote hawa 2naotaka hakutakuwa na chama.

siku nyingine uwe unaabdika kiswahili sahihi, hii facebook style sio kabisa.
 
Mimi nimefundishwa kuwafahamu wanafiki. Hasa ninapokuwa naongea nao uso kwa macho saa nane kwangu alikuwa mnafiki kwa hiyo sikumpa nafasi hata chembe.

7. katika kipindi chote hiko sijawahi kumsikia mwana mkakati saa nane akiwasema vizuri viongozi wa chadema. Mtu pekee aliyekuwa anamsifia alikuwa ni zitto.

SAANANE acha tabia ya KUBUNI MGOGORO, KUUANZISHA, KUUENDELEZA, NA KISHA KUUTUMIA KAMA CHANZO CHAKO CHA KUPATA PESA.

SAA NANE, Waislam wanasema sifa za mnafiki tatu (ayatul munafiq tharasa).
1. akiongea huongea uwongo..
2..akiaminiwa hajiaminishi/hudhiaki..na ..
3..akiahidi hatimizi..
Haya maneno ya kwenye rangi ni hatari...Mnafiki umjua Mnafiki mwenzie!!
 
Kwanza nimefurahi kuona kondoo wa bwana wanazidi kkurudi zizini,

Maelezo yako yote yamekuja kuthibitisha tu kile alichokisema Ben Saanane na Mamuya,

Kimsingi unacholalamika ni kwanini wamewageuka tu,

Karibu sana kundini bila shaka nawe umejirekebisha!

Bosi wenu Zitto anajutia, yupo msalabani anavuna alichopanda!

Furaha yako niyakinafiki kijana,Naona unawakaribisha watu wasio karibishika.Wapi amethibitisha maneno ya mamauya na ben saanane zaidi ameonesha namna Ben saanane alivyokuwa fundi wa mihezo michafu kuanzia India na hadi hapa nchini
 
Kwani hutu tu vijana tuna nyadhifa gani huko Chadema? Tupilia mbali wote, wanacheza danadana tuu

hapa! Halafu ndio mnataka na miaka yenu 30 muwe raisi wa nnji hii, tupa kuleeeee
 
Damu ya watanzania maskini wanaokiamini Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuwa ndiyo may be kitawakomboa itawatesa sana, wote ambao mmeshiriki mambo haya hakika ni muda wa kutubu.
 
Naomba msaada yeyote aniwekee ule uzi uliomuibua Ben saanane na usaliti wake kule india kwa watanzania wenzetu na kukimbia na hela
 
Binafsi namshukuru Mungu Yehova (Muumba wa mbingu na nchi) kwa hiki kinachotokea leo. Leo tumejionea wazi wazi kile kilichokuwa kimefichika. Naomba wote (wakiwemo wanaojadiliwa hapa) tutafakari yafuatayo:

  1. Hakuna anaepinga kuwa kuliundwa kundi la kuchafua viongozi wa CHADEMA (na kuwachonganisha Mh Mbowe na Dr Slaa) intended beneficiary akiwa ni Mh Zito Kabwe.
  2. Kumekuwa na threads nyingi tu humu za kuwachafua viongozi wa CHADEMA na kudai kuwa Mh Zito anaandamwa/anachukiwa ndani ya Chama. Hata viongozi wa ccm na wapenzi wake wamekuwa wanashadidia "kuchukiwa" kwa Mh Zito (japo nikiri awali nilichukulia kuwa ni sehemu ya "singo" ya "ukanda, udini na ukabila" wa CHADEMA -rejeeni kauli ya mukama wakati wa msiba wa Mzee Bob Makani)
  3. Hakujawa na kauli kutoka kwa Mh Zito kukanusha kuwa yeye anaandamwa (nitafurahi kuonyeshwa ushahidi ili kuthibitisha kuwa nilichosema hapa si sahihi). Rejeeni posts za TUNTEMEKE.
  4. Ben Saa Nane kakiri na KUTUBU kuhusika (na watajwa hawapingi) kuhusika na mkakati wa kuwachafua viongozi wa wakuu CHADEMA.

So what do these four issues tell us? Mh Zito, you need to own up this sad state of affairs. You may actually be innocent, but your (including of those who have been doing their best - which has so far achieved to reinforce the negative perspective on your part) deeds and words hardly help your cause. Simama hadharani, own up and let us move forward.

Mchange, Taswira, Juliana et al; Ben (au inawezekana ni mjumbe mwingine) katuambia ana ushahidi na anakusudia KUUTOA KWENYE VIKAO VYA CHAMA, so why can't you guys wait and nail him there if you are so sure of what you are telling us here?????

Hakika ni kweli.
 
Damu ya watanzania maskini wanaokiamini Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuwa ndiyo may be kitawakomboa itawatesa sana wote ambao mmeshiriki mambo haya.

mambo gani wameshiriki??Kwani hicho kikundi kilisimama?Kilifanya kazi au walimkimbia Ben saanane.
 
Kwani si mumtaje huyo anaemtumia Ben kumchafua zito? Mbona ben anaeleza yupo tayari kusema mbele ya viongozi wa CDM?
 
Haya maneno ya kwenye rangi ni hatari...Mnafiki umjua Mnafiki mwenzie!!

Ndio maana Mhange anasema Ben saanane anamchukia sana kwasababu alikuwa anamharibia mishe zake za kuwaingiza watu kwenye king.
 
Inaonekana viongozi wa CHADEMA wamemtuma Ben,jana walikesha kwenye ile thread kuangalia upepo unakwendaje hapa simuoni hata mmoja.

Hata kama ametumwa its job well done .Amefanikiwa kulichunguza kundi haramu.Na sasa amewaumbua.Job well done.
 
Kwani si mumtaje huyo anaemtumia Ben kumchafua zito? Mbona ben anaeleza yupo tayari kusema mbele ya viongozi wa CDM?
Nadhani yupo wazi mbona ameshavuliwa nguo huyo,Nani asiyemjua.
 
Ughaibuni watu kama Ben saanane wanapigiliwa misumari kwenye mbao za matangazo.Ni hatari kwa taifa kuwa na vijana wadogo wanaosafirisha umbea kuwavuruga viongozi wa kitaifa.

Naanza kunusa ID mpya kwa ajili ya kumshughulia Saanane!
 
mchange, inaonekana wewe bado upo hicho kikundi AMBACHO MWENZAKO SAANANE AMEAMUA KUTOKA NA KUTUELEZA UKWELIIII. Sasa zamu yenu wewe na Zito kutoka pia, na kutubu kwa dhambi zenu za kukisaliti chama......
 
Hata kama ametumwa its job well done .Amefanikiwa kulichunguza kundi haramu.Na sasa amewaumbua.Job well done.

Kundi haramu aliloliasisi yeye mwenyewe na walipo mkimbia,akaamua kuja kukimbila polisi kumchafua Zitto ili hali hakuna sehemu zitto anatajwa kushiriki/kuonana/kufanya chohote na huu upuuzi
 
Back
Top Bottom