Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
Mchezo anaoufanya ben saanane na mamuya naujua sana,ndio maana nipo kolikoli kuwaumbua hapa.Nasubiria jambo moja litamkwe na mm nipigilie king ya mwisho.
Namsapoti zitto hadi tone langu la mwisho kwasababu wamekuwa wakimsakama kuanzia gazeti la mwanahalisi ambalo linamilikiwa na mtu wa chadema na aliyeandika makala zote ni kiongozi wa juu wa chadema,lakini hawakumshinda zitto.
Wamekuwa na tabia ya kumtenga na kumsakama ili hali wao wana akadi za ccm nyuma.
We ndo sijakuelewa kabisaaa.asante sana kamanda mchange kwakuleta huu ufafanuzi,maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe,suala la ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo,huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono zitto,nazidi kusisitiza kwamba ben saanane anatumia uongo kuuaminisha umma kwamba anamfahamu zitto kitu ambacho hata nafsi yake nina hakika inamsuta.ben acha kukimbia kivuli chako,sio rahisi kumchafua zitto kama unavyoweza kudhani,japo mnajitahidi sana lakini hamtofanikiwa.palipo ukweli uwongo hujitenga .
Taswira,
Wewe umejulia wapi kwamba Dr. Slaa anamwogopa Mchange? Au ndiyo yale yale ya kuchafua uongozi wa chama?
Mchange, kwanza uandishi wako umekosa mtirriko mzuri wa mawazo hata kama kuna ukweli wowote kati ya unayoyazungumza itakuwa ngumu sana ujumbe wako kueleweka. Pili, naona unataka kujisafisha lakini hausafishiki. Ona hapa ulichoandika:
"2. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni patriotic movement seven na akakifupisha PM7.
3. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE "
Unajua nini Mchange, watu wote wenye akili hawawezi kukuamini kwa haya unayoyaandika. You are being too pretentious, unatungatunga tu vijistori vya kubumba na watu wengi waliojiunga humu JF ni watu wazima wenye akili zao, wanaweza kupembua pumba na mchele. Zako hizi ni pumba.
Hapa kuna kitu hata huyu Taswira anasound kama kuna kitu ana-cover up..
Easy! Hawa wanaoanza kwa kusema flani simfahamu wanajulikana rangi zao,hawasumbui umma!What the f$##@#!!
Watu
wanafiki kama Ben
hawafai kushirikiana nao kwa jambo lolote,ni hatari kwa afya ya kikundi
chochote,viongozi wa siasa wasiwaendekeze wauza maneno kama
hawa,watawapoteza na kuleta migogoro isiyokuwepo,watu kama hawa ni
wakuwapuuza tu.
Lakini hii pia ni changamoto kuwa Chadema bado haijakomaa,kuwa na
makundi ndani ya chama chenye watu wenye akili timamu ni jambo
lisilozuilika,haiwezekani wote mkafikiri sawa,uongozi ni kuweza
kuwaunganisha wote hawa kwenye lengo la pamoja,ukishindwa hili na
kuegemea upande ni udhaifu kwa uongozi.
What the f$##@#!!