Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Malisa GJ
"Ben Saa nane kama upo hai jua kuna watu wanakulilia, wanakuombea na wanakupigania. Familia yako, mwanao, mzazi mwenzio, rafiki zako, chama chako na taifa lako wote wanakulilia. Siku 100 ni nyingi sana machoni petu wanadamu lakini ni chache machoni pa Mungu. Kama upo hai namuomba Mungu akutunze tuonane tena, lakini kama umelala mauti nakutakia pumziko jema. Kama kuna mtu amedhulumu uhai wako, Mungu atakulipia damu yako kama alivyomlipia Habili. Nafsi yangu ina huzuni sana, lakini najua ipo siku tutaonana tena. Kama si hapa basi mbinguni. Na tutajua ukweli wa yote yaliyotokea kwako."
[HASHTAG]#Siku10BilaBen[/HASHTAG]
[HASHTAG]#100DaysWithoutBen[/HASHTAG].!