Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

Sitaarajii kusikia wakati huu kuwa kilicho kabidhiwa ni kipeperushi au kikaratasi kama maneno ya enzi Ileee,bila shaka Sasa itasomeka ni taarifa rasmi na barua ya kiofisi kati ya ofisi mbili tofauti na yenye vigezo vyote ya kiofisi🤔
Kama hajaambatanisha mihutasari ya vikao vya maamuzi ya chama basi itakuwa ni kipeperushi kingine tu!
 
Hata "Kimbaumbau" nae ni tatizo tu kwa ustawi wa Demokrasia kwenye Nchi hii.
 
Tunashukuru tumtakie mh.spika utekelezaji mwema wa maazimio ya Baraza kuu la CDM na kutekeleza katiba ya JMT
 
Hii nguvu wanayotumia kadema dhidi ya covid 19 wangeitumia kulinda kura zao kwenye chaguzi wangekuwa na 70% ya wabunge na wawakilishi!

Mlitaka wafanyeje. Maana kila wanachofanya unapinga. Aisee ila Chadema kwakweli Ni Mungu tu anawalinda maana maadui ni wengi Sana.
 
Hii nguvu wanayotumia kadema dhidi ya covid 19 wangeitumia kulinda kura zao kwenye chaguzi wangekuwa na 70% ya wabunge na wawakilishi!
Unatumia matope kuwaza, hivi kwa akili za kawaida wanaotumia nguvu ni CHADEMA au CCM. Mbona watu mnaropoka tu,kama huna hoja jamani ni busara ukakaa kimya.
 
Back
Top Bottom