maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,455
- Thread starter
- #61
Umenishauri vizuri, lakini unawezaje kuwaweka mbali na hiyo kitu wakati tayari wameshaijua? Sio ilitakiwa uwaepushe kabla hawajaijua ?Huyu Ben 10 anaumiza sana akili ya wazazi hasa wenye boys. Pale kwangu Nina 2 boys, yaani Kila kitu chao wanataka Ben 10. Mmoja ndo hadi shule wanamwita Ben 10. Tumeshanunua sana hizo games za Ben 10 mpaka tumechoka. School bags, saa, jackets, shoes,........, usipoleta vya Ben 10 wala hujawabamba, Yaani huyo Ben 10 ni janga. Kama utaweza kumweka mwanao mbali na Ben 10 utakuwa umefanya la maana sana. Kama unataka kumwingiza kwenye huo ulimwengu basi kila la heri
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums