Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Umeona ee, full majanga.
Watoto hawadhaminiki kabisa, mimi mwanangu ana mipira mingi lakini kila akiona mpira dukani analilia.
Sasa nikaanza utaratibu wa kutembea na mipira kwenye gari ili tukishuka anatoka nao ameushika lakini kila akiuona mpya bado anautaka.
Na akishapata mpya ile mingine anaiacha kwa muda.